Historia ya Kiwanda cha Tanganyika packers mpaka kuja kuwa Kanisa la maombi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
SERIKALI YA CCM KAMA SIYO KUROGWA NI NINI?

Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.

Eneo lote la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa linatumika kuwapokea na kunenepeshea ng’ombe

Walipoletwa kutoka mikoani kwa treni wakiteremshwa stesheni ya Pugu, baada ya mwezi wanaswagwa kupelekwa Kawe kuchinjwa na kuchakatwa.

Kutoka Mloganzila kwenda kilipo kiwanda wakati wa kuswagwa, waingereza waliita COWS WAY (njia ya ng’ombe). Waswahili wakashindwa na kuita “KAWE”

Tanganyika Packers (TPL) kilikuwa kiwanda kikubwa, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje mpaka kwa malkia wa Uingereza,

Kilikuwa kiwanda tanzu cha shirika la LEMCO (Liebig’s Extract of Meat Corporation) linalofadhiliwa na Uingereza, ambalo lilianzia miaka ya 1860 Uruguay.

Liebig ni heshima ya baba wa (Organic Chemistry), Justus von Liebig. Jengo la machinjio la LEMCO lipo kwenye orodha ya Urithi wa Dunia wa UNESCO.

Sehemu kubwa ya nyama kutoka Tanganyika Packers iliuzwa Ulaya hususani katika nchi ya Uingereza. Watanganyika walipata ajira katika kiwanda hicho.

Kiwanda cha Tanganyika Packers kilijengwa na wakoloni kutoka Uingereza 1945 na kilitoa zaidi ya ajira 2,500 ambapo 1,200 zilikuwa ni ajira za kudumu.

Walifanya kazi kwa shift, walichukuliwa kwa mabasi kazini. 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa.

Kiwanda cha TPL kilizalisha nyama za mabuchani, mafuta ya kutengeneza sabuni, damu ilikaushwa na mifupa ilisagwa na kuwa chakula cha kuku,

Pembe na kwato za ng’ombe zilichemshwa kwenye boiler zikatoa gundi, kiwanda pia kilisindika nyama na maharage kama ox-tail beans, ngozi nk

Katika vita ya Kagera 1978-1979, kiwanda kilitumika kuwalisha wapiganaji vitani. Chakula cha kusindika kilitoka kiwandani kwenda uwanja wa vita.

Mwaka 1975 Serikali ya Mwl, J.K. Nyerere ilitaifisha kiwanda cha Tanganyika Packers na kukifanya kuwa mali halali ya Serikali ya Tanganyika.

Baada ya Serikaki kutaifisha kiwanda, uzalishaji na ubora wa nyama iliyosindikwa ulipungua kwa kiasi kikubwa sana kwa kukosa utaalam na ufundi.

Serikali walinyimwa leseni ya kusafirisha nyama iliyosindikwa. Walinyimwa (phytosanitary certificate) kuthibitisha ubora wa vyakula vya package

Waingereza wakawanyima cheti cha ubora na usafi wa nyama inayozalishwa. Soko la Ulaya ambako ndiyo walikuwa wanunuzi wakubwa likapotea.

Soko la ndani likawa gumu kiwanda kikaanza kusambaza nyama zake kwenye mabucha ya ndani ya Dar es Salaam na baadae kiwanda kikafariki 1993

Taratibu kiwanda cha Tanganyika Packers kikaanza kufariki. Baadaye kilibinafsishwa kwa mbunge wa Kawe, hata hivyo aliishia kuuza mashine na vipuri.

Mbunge wa Jimbo la Kawe wakati huo alitokana na CCM, aliitwa Zainuddin Adamjee. aliposhindwa Kukiendeleza akaamua kung’oa mitambo na vipuri.

Mapaa, madirisha, milango na vifungashio vilipelekwa Mapambano (veterinary) na kupimwa kama vyuma chakavu na mapaa kuuzwa kama used.

Picha chini, zinaonesha ng’ombe wakiwa Tanganyika Packers kabla kiwanda hakijataifishwa. Video kushoto inaonesha gofu la kiwanda hicho lilivyo leo

Leo pale Tanganyika Packers palipokuwa KIWANDA kilichotoa ajira zaidi 2000, pamefunguliwa KANISA. Watu wanauziwa udongo na mafuta na maji.

Leo pale Tanganyika Packers watu ndiyi wanakondoo na wanajipekeka wenyewe machinjioni. Wananyeshwa maji na kulishwa udongo wakielezwa ni UPAKO.

Kanisa hilo la MWAMPOSA (wao wanamuita MTUME) linawaombea maelfu ya vijana waliomaliza vyuo vikuu wakakosa ajira ili wapate ajira kwa maombi.

Maelfu ya vijana wanakesha na kufunga kwake, wananunua mafuta na maji ya UPAKO wapate KAZI. MWAMPOSA anajenga hoteli kubwa MBEYA.

Aliyewaroga watawala wa CCM na watanzania alikufa zamani na dawa ya kuwasaidia aliitupa katikati ya bahari na haiwezi kupatikana leo au kesho.

Mazombi. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

C&P from X by MMM
 
(Liebig’s Extract of Meat Corporation) l
Mazungumzo yaanze waitwe, Tukae meza moja, tuone tu nafanyaje!,
°mwekezaji aje na program za kuprocess,
-ngozi
-Kwato
-pembe
-chakula cha mifugo (kuku), kwa damu za ngombe!
-vyakula vya mbwa na paka!
 
c&p from X by MMM

Ni Cow way siyo Kawe.
 
Tuonyeshe kiwanda hata kimoja cha chadema
 
Labda serikali tukufu inaua vitu kama hivyo ili kufuta kabisa kumbukumbu za mkoloni
 
Mbongo ukimpa kiwanda kama hicho anaanza kwanza kupanga mipango ya kuiba. Meneja anawaza kula, waziri anawaza kula. Mkubwa yoyote akiwa na shughuli anaenda kudaka ng'ombe bure. Unakuta jeshi, shule, na taasisi zingine zinaanza kukopa nyama halafu hazilipi, vurugu mechi kabisa. Nyerere alikuwa anadhani watu wote wamestaarabika kama yeye.
 
Wenzetu wanageuza makanisa kuwa sehemu za kuzalisha pesa sisi tunageuza sehemu za kuzalisha pesa makanisa 🤔

Ukifika ohio kaskazini mashariki mwa marekani , kuna kanisa liligeuzwa bar, ( Nobel creature youngsstows ohio
Screenshot_2024-08-16_142328.jpg
 
Tanganyika parkers kilikuwa moja ya viwanda bora Tanganyika vilivyotoa bidhaa iliyohitajika ndani ya nchi na Duniani kwa ujumla.
Nakumbuka mwaka 1982 nikielekea jeshini Songea nilinunua kopo tano za nyama ya Tanganyika parkers iliyosindikwa ikiwa kama mlo nikiwa safarini. Kumbukumbu nzuri ya Tanganyika baada ya uhuru. 😆
 
Back
Top Bottom