Historia ya Kiwanda cha Tanganyika packers mpaka kuja kuwa Kanisa la maombi

Historia ya Kiwanda cha Tanganyika packers mpaka kuja kuwa Kanisa la maombi

Wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kudai uhuru wa Afrika.

Waafrika hasa watanzania hawajawahi kuweza kujiongoza wenyewe, Hawawezi kujiongoza wenyewe na hawatakaa waweze kujiongoza wenyewe.

Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
 
Tanganyika parkers kilikuwa moja ya viwanda bora Tanganyika vilivyotoa bidhaa iliyohitajika ndani ya nchi na Duniani kwa ujumla.
Nakumbuka mwaka 1982 nikielekea jeshini Songea nilinunua kopo tano za nyama ya Tanganyika parkers iliyosindikwa ikiwa kama mlo nikiwa safarini. Kumbukumbu nzuri ya Tanganyika baada ya uhuru. 😆
Hayati Nyerere aliacha viwanda 400 pamoja na hivyo vya Tanganyika Packers , hayati Che Nkapa akavibinafsisha karibu vyote kwa bei kiduchu !
Matokeo yake tukapigwa Kapa !!
 
Case ya Tanganyika packers inafanana na ya Tazara, Urafiki hakikuwa kiwanda cha kujifia na kuuza eneo lake kwa watu.
Kuna mambo hayajakaa sawa kwenye ule ujamaa tulioukumbatia tulihitaji viongozi kama kina Kambona, sykes wenye mlengo wa kibepari mapema.
 
Malengo ya chadema ni kujenga viwanda?Lini walishika serikali mpaka wake he

Wewe jamaa akili zako ziko timamu kweli? Chadema ni nani?
Ndio chadema washawahi shika serikari za majiji na halimashari mbalimbali
 
Case ya Tanganyika packers inafanana na ya Tazara, Urafiki hakikuwa kiwanda cha kujifia na kuuza eneo lake kwa watu.
Kuna mambo hayajakaa sawa kwenye ule ujamaa tulioukumbatia tulihitaji viongozi kama kina Kambona, sykes wenye mlengo wa kibepari mapema.
Unachanganya mambo. Viwanda hivyo vimekufa wakati nchi siyo ya ujamaa tena. Viongozi waliofuatia baada ya ujamaa walikurupuka kubinafsisha bila kujua misingi ya uchumi wa kibepari. Walifikiria kumtafuta mtu mmoja mwenye pesa nyingi anunue na kumiliki badala ya kuuza hisa. Kwa jirani zetu Kenya airways ilikuwa ya serikali lakini walibinafsisha kwakuuza hisa na bado ipo inatamba. Viwanda vyote vile ambavyo vilikuwa chini ya NDC wakati huo vingekuwa bado vipo kama share zote zingeuzwa hata kwa watu wa nje
 
Back
Top Bottom