Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Hii hoja ya kizuzu sana. Mtu ameleta hoja kuntu wewe unaleta uchawa. CHADEMA wanahusikaje na kiwanda wakati msimamzizi wa Sera za Maendeleo na Uwekezaji ni Serikali ya CCM.Tuonyeshe kiwanda hata kimoja cha chadema
Hayati Nyerere aliacha viwanda 400 pamoja na hivyo vya Tanganyika Packers , hayati Che Nkapa akavibinafsisha karibu vyote kwa bei kiduchu !Tanganyika parkers kilikuwa moja ya viwanda bora Tanganyika vilivyotoa bidhaa iliyohitajika ndani ya nchi na Duniani kwa ujumla.
Nakumbuka mwaka 1982 nikielekea jeshini Songea nilinunua kopo tano za nyama ya Tanganyika parkers iliyosindikwa ikiwa kama mlo nikiwa safarini. Kumbukumbu nzuri ya Tanganyika baada ya uhuru. 😆
Wewe ni mpumvbavu mwandamiziTuonyeshe kiwanda hata kimoja cha chadema
Inasikitisha sana.Hayati Nyerere aliacha viwanda 400 pamoja na hivyo vya Tanganyika Packers , hayati Che Nkapa akavibinafsisha karibu vyote kwa bei kiduchu !
Matokeo yake tukapigwa Kapa !!
Mwekezaji tena(Liebig’s Extract of Meat Corporation) l
Mazungumzo yaanze waitwe, Tukae meza moja, tuone tu nafanyaje!,
°mwekezaji aje na program za kuprocess,
-ngozi
-Kwato
-pembe
-chakula cha mifugo (kuku), kwa damu za ngombe!
-vyakula vya mbwa na paka!
Ni WelfareKuna sehemu Njombe panaitwa olofea, mtu mmoja akaniambia ni All Affairs ilikuwa ni kwaajili ya recreation ya wazungu baada ya kazi
Onyesha kwanza cha CCM ambayo iko madarakani kwa zaidi ya miaka 60.Tuonyeshe kiwanda hata kimoja cha chadema
Ndio chadema washawahi shika serikari za majiji na halimashari mbalimbaliMalengo ya chadema ni kujenga viwanda?Lini walishika serikali mpaka wake he
Wewe jamaa akili zako ziko timamu kweli? Chadema ni nani?
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaNdio chadema washawahi shika serikari za majiji na halimashari mbalimbali
Unachanganya mambo. Viwanda hivyo vimekufa wakati nchi siyo ya ujamaa tena. Viongozi waliofuatia baada ya ujamaa walikurupuka kubinafsisha bila kujua misingi ya uchumi wa kibepari. Walifikiria kumtafuta mtu mmoja mwenye pesa nyingi anunue na kumiliki badala ya kuuza hisa. Kwa jirani zetu Kenya airways ilikuwa ya serikali lakini walibinafsisha kwakuuza hisa na bado ipo inatamba. Viwanda vyote vile ambavyo vilikuwa chini ya NDC wakati huo vingekuwa bado vipo kama share zote zingeuzwa hata kwa watu wa njeCase ya Tanganyika packers inafanana na ya Tazara, Urafiki hakikuwa kiwanda cha kujifia na kuuza eneo lake kwa watu.
Kuna mambo hayajakaa sawa kwenye ule ujamaa tulioukumbatia tulihitaji viongozi kama kina Kambona, sykes wenye mlengo wa kibepari mapema.
Nyie ndo majuha inabidi mjiulize tulipo wapa dhamana kuendesha hata serikari ya mtaa mlifanya jambo gani?CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Baki na ujuha wakoNyie ndo majuha inabidi mjiulize tulipo wapa dhamana kuendesha hata serikari ya mtaa mlifanya jambo gani?
Nyie ndo majuha wa siasaBaki na ujuha wako
Wamefilisi SUKITA.Onyesha kwanza cha CCM ambayo iko madarakani kwa zaidi ya miaka 60.
Tuonyeshe kiwanda hata kimoja cha chadema