GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mzee umetunywesha sumu siyo kweli,unamzungumzia ni Canal mahfudh siyo Tamim! Ndiyo alipelekwa Msumbiji na alifia huko.
acha uongo cuba hupajui, sisi tumeishi.huko fidel hana midle name ya armando ni fidel castro ruz, alikua na akina camilo ciemfuego ,che, echeveria na makamanda wengi. tamim mohamed kapata mafunzo ktk kambi ya playa giron na hana familia msumbiji wala nyumba
Mzee umetunywesha sumu siyo kweli,unamzungumzia ni Canal mahfudh siyo Tamim! Ndiyo alipelekwa Msumbiji na alifia huko.
mkuu ni nani huyo? Muweke wazi basi.
mmh sikuwepo na mi napita tu tunasema mabe au asta la vista, le pronchen demain ilikua longi sana no comment mtoa hoja weka wazi basi umalize mchezo
Maelezo Meeeeeeengiiiiiiiiiiii Kumbe Unataka Tu Kutuambia Na Kututambia Kuwa Umekaa Kama Siyo Kuishi Nchini Cuba Wakati Huna Lolote.
kwahiyo ulitaka kumjua komandoo Tarimo au TamimWadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania.
Je kuna mtu awaye yeyote mwenye ufahamu wa ili Jambo? naomba michango yenu zaidi.
Hapo nilipo-bold ni Colonel ama kwa kimatumbi ni Kanali.
Canal ni kitu kingine kabisa
Kwani Kuna Ligi Tunayoshindania Hapa? Haya Basi Ninayemzungumzia Hapo Siyo Wote Hao Bali Ni Commando Yosso Je Una Jingine Tena?
Sina jingine nilitaka tu kudhihilisha UONGO wako basi otherwise sina cha kujadili na mtu mwongo.
...Ndinani, umenikumbusha mbaaali sana, miaka ya 1983 au 1984 nikiwa shule ya msingi. Nilikua nafuatilia story za hawa jamaa waliokuja kujulikana sana baadae katika 'Kesi ya Uhaini'. Moja ya story ya Captain TAMIM ya kusisimua ni ile katika kukimbia asikamatwe na askari kanzu akaona lorry/gari ya wazi nyuma ikiwa imebeba crate kibao za bia akarukia na kudandia gari lile akaanza kuwavurumishia chupa za bia askari waliokuwa wanamfukuza ili wamkamate..., it is so sad kuwa ultimately akapigwa risasi na kuuwawa!
Two weeks ago nilienda Bukoba, pale airport nilikutana na mwenzao katika kesi ile, kama sijakosea anaitwa Captain Roberts. Wameshakuwa aged sasa hawa watu, unfortunately alikuwa kalewa sana. Angekua katika akili ya kawaida nilitamani kuongea nae nijue wakati huo walikusudia kuifanyia nini nchi zaidi ya kile tulichokuwa tunafanyiwa na viongozi wetu wakati ule...
Hey kwanini waliomuua wasiiitwe mashujaa?Mmenikumbusha mbali kuhusu Komandoo Tamimu. Habari ile ingeweza kutengeneza filamu (based on a true story). Kweli stelingi hafi. Alipouawa Tamimu tu na ladha ya story ikabadilika. Maskini Tamimu! Hivi hakumbukwi kama shujaa?
nadhani aliyemuua ni afisa usalama wa taifa ambae sasa hv ni mwanasheria na mwanasiasa maarufu...
acha uongo na unafiki kama hujui omba uelimishwe kwa taarifa yako tamim alikua captain sawasawa na akina eugene maganga na zakaria hans pop,
Sina jingine nilitaka tu kudhihilisha UONGO wako basi otherwise sina cha kujadili na mtu mwongo.