Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Historia fupi ya Dini ya Kale Waafrika wa Misri wa kale.
Hapo mwanzo Dunia ilikuwa Tupu, na Maji yalijaa juu ya Usowa Dunia.
Siku moja kilizuka kisiwa kilichooitwa Ben ben, na katika kisiwa Hicho
alisimama Atum/ Adam/ Atem/ Atom Binadamu wa kwanza,
Atum akakohoa katika makohozi yake alitokea Mwanaume mwingine aliyeitwa Shu.
Atum akatema mate mate yakamfanya Tefnut, mwanamke wa kwanza.
Shu na Tefnut wakamzaa Osiris, Isis, Seth, na Nephthys.
Osiris na isis wakaoana, na kupewa mamlaka ya kutawala Ulimwengu,
na Babu yao Atum, kitu ambacho kilimuumiza sana Seth,
hivyo alikuza chuki yake siku hadi siku mpaka ikafika
siku akamuua kaka yake Osiris, Hivyo kupata Mamlaka ya Kutaawala Ulimwengu.
Roho ya Osiris Ikashuka chini (Underword) na ikatawala huko.
Huku duniani Isis, mke wa Marehemu Osiris, Akapata Mimba kwa Uwezo wa roho ya Osiris,
Akamzaa Horus/ Heru. Heru Akakuwa akiwa na kisasi kizito
juu ya Seth ambaye alimuua baba yake, Osiris.
Alipokuwa na Umri wa miaka 25 alimfuata Seth na kilichofuata ni
vita kuu iliyorindima kwa masaa kadhaa, ambapo kwenye Ugomvi huo Horus
alipoteza Jicho lake,
na Seth aliuawa. Hivyo Horus/ Heru akawa mfalme Tena na wa ulimwengu,
Huku Baba yake akiwa na Mtawala wa Under world.
hivyo Horus, Isis, na Orisis ndio ulikuwa Utatu mtakatifu wa Mababu wa kale wa Misri.