Historia ya mababu weusi wa kale kuhusu Imani

Historia ya mababu weusi wa kale kuhusu Imani

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,734
Reaction score
1,709
Historia fupi ya Dini ya Kale Waafrika wa Misri wa kale.

Hapo mwanzo Dunia ilikuwa Tupu, na Maji yalijaa juu ya Usowa Dunia.
Siku moja kilizuka kisiwa kilichooitwa Ben ben, na katika kisiwa Hicho
alisimama Atum/ Adam/ Atem/ Atom Binadamu wa kwanza,
Atum akakohoa katika makohozi yake alitokea Mwanaume mwingine aliyeitwa Shu.
Atum akatema mate mate yakamfanya Tefnut, mwanamke wa kwanza.

Shu na Tefnut wakamzaa Osiris, Isis, Seth, na Nephthys.
Osiris na isis wakaoana, na kupewa mamlaka ya kutawala Ulimwengu,
na Babu yao Atum, kitu ambacho kilimuumiza sana Seth,
hivyo alikuza chuki yake siku hadi siku mpaka ikafika
siku akamuua kaka yake Osiris, Hivyo kupata Mamlaka ya Kutaawala Ulimwengu.

Roho ya Osiris Ikashuka chini (Underword) na ikatawala huko.
Huku duniani Isis, mke wa Marehemu Osiris, Akapata Mimba kwa Uwezo wa roho ya Osiris,
Akamzaa Horus/ Heru. Heru Akakuwa akiwa na kisasi kizito
juu ya Seth ambaye alimuua baba yake, Osiris.

Alipokuwa na Umri wa miaka 25 alimfuata Seth na kilichofuata ni
vita kuu iliyorindima kwa masaa kadhaa, ambapo kwenye Ugomvi huo Horus
alipoteza Jicho lake,
na Seth aliuawa. Hivyo Horus/ Heru akawa mfalme Tena na wa ulimwengu,
Huku Baba yake akiwa na Mtawala wa Under world.
hivyo Horus, Isis, na Orisis ndio ulikuwa Utatu mtakatifu wa Mababu wa kale wa Misri.
 
Attachments

  • IsisNursingHorus.jpg
    IsisNursingHorus.jpg
    23.1 KB · Views: 151
Nmepanga kumwita mtoto wangu wa kiume jina la Horus..!
 
Wazungu wengi wanayafuata mambo haya
 
Hivi unaweza kunipa history ya huyu ISIS. na Horus na mm nikawafaham kwa undan
Kwa kweli uki Google ndiyo uta enjoy zaidi. ...it is magical really. .
 
It's inside out feeling. ..sio outside in kama mafundisho mengine. ..
b67ee3089c13a4d5fffbcd66ff85c228.jpg
 
Hata kwa ufupi tu nielezee nilipita Wikipedia wakaniletea manyoka nyoka
Google. .OSIRI ISIS HORUS. .zitatokea information nyingi tu but your subconscious mind will choose ambayo itakufaa wewe na maisha yako kwa ujumla. ...ni spiritual ya kiwango cha juu..na wazungu wamechanganya sana ili usiweze kuelewa vizuri but your intuition will guide you through. ..kama unaona inakuboa achana nayo kabisa. ...ujue wazi it was not meant for you. ...binadamu tuko tofauti sana. .ndiyo maana HESHIMA NA BUSARA NI MUHIMU SANA
 
Nimekuelewa mkuu nitafuatilia, halafu muda umeenda lala
 
Back
Top Bottom