Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng.
Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke wa kwanz pia alibahatika watot 3 wote wa kiume wakubwa zangu.
Mama angu alikua ni mwalim wa skuli ya maandalizi (nursery) sikubahat kuishi na mama angu kwa mda mrefu kwa sabab bahat mbaya aliugua maradh kwa mda mfupi san akapoteza maisha hapo ndipo familia yetu ya ikasambaratika na me nikaangukia mikononi mwa mjomba angu kwa ajili ya kunilea nashukuru Mungu yeye na mke wake hawakunibagua wala kuninyanyasa kwa namna yoyote ile nimeishi kwa mjomba tangu nikiwa mdog mpak nimefikia umri wa kuoa.
Baada ya kumaliza shule kidato cha 4 kwa kupat cheti tu sikubahatika kuendelea. Nilikaa na baba akatak kuniajir kweny kweny biashar yake (filling station) kuuza mafut ya magar nikakataa nikwambia me natak nikafungue duka la viatu so akanielewa akanipa mtaji kdg na nyengin nilivuta kweny acc yng kumbuka nikiwa mdog kbs baada ya bimkubwa kufariki na kwa vile alikua mtumish na me ndo mtot peke wa kiume ilibidi nifunguliwe acc ya bank kwa jina langu na mafao yote ya bimkubwa yakaweka umo sikuruhusiwa kutoa mpk nitimize miaka 18 baada ya kumaliza shule nikawa tyr nimetimiza 18 siku 1 tukaenda bank na mzee kueka sw acc sas nikaruhusiwa kutoa hela nikasafir mpk DSM nikafunga mzigo wa viatu nikarudi frem sikukodi. kuna frem mjomba alikodi aliwapa watu wafanye biashar ikawashinda wakaifunga so me nikaweka mazingir sw nikatia mzigo ikawa kila baada ya miezi 3 nasafir kwenda DSM kuchukua mzigo harakat za kusaka maisha zikaendelea kwa no iyo.
Mzee alikua na wake 2 so daily saa1 usku nina kawaida ya kwenda kumsalimia na kumpatia mahitaji yake anayoyatak.
Nakumbuka Kuna siku alinambie usiku usiku niende kazin kwake kujifunza kaz na kupat uzoefu kwa sabb mfanya kaz wake 1 alikua anazingua ni mwanamke na ni jamaa yatu pia iyo sehem yake ameajir wanae tu hamna mtu baki yaaan so uyo bint akawa anazingua mara aende kazin siku atakazo mar achelew kwenda kazin so ikabidi atafute mbadala wake ambae ni me kumbuk uku me nina biashar yng na nishaanza kuona muelekeo freshii tu
Nitaendelea baadae