Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

Pole sana ila hongera kwa jitihada zako
Hiyo 2 million kaa na mkeo mpe uhalisia wa uchumi wako sasa kuwa akuvumilie muda wa kulipa utalipa ukipata la haujapata hakusamehe .

Mengine hayo mepesi kama umepambania hayo ya mwanzo.
Shukran san wife ni muelewa mno huwez amin hajawah kunidai ata siku 1 iyo ni me mwenyewe ndo namkumbushia tu kuwa nitamlipa izo hela zake na kw uwezo wa M/Mungu hautomaliz mwaka huu nitamlipa
 
Huu ni mwaka 2023 je ushalipa deni kumbuka AHADI kwa shemeji
 
Back
Top Bottom