Historia ya mapenzi ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron

Kwa umri walionao sasa, Mama atakuwa ameshafikia kipindi cha kutozaa tena.
Huenda kwa sasa ni hivyo.
Ila sema hao hua hawazai sana hata watoto wawili tu wanatosha
 
Macron angekuwa mtz lazma huyo bibi angeambiwa kamloga si bure
 
Dogo atakuwa alipulizwa mqund na ganzi ya ubongo wake yote imeganda dadekii.

Maana wa bibi wana kiarufu flan cha kizee sa kama Jombaa ana kaza basii atakuwa vzrii

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Niliamua kumpenda mwanamke mmoja tu ambaye ni na do nae, kwa sababu kuna mwanamke nilitokaga nae ile anapanua mguu hata sikuingizaa nikaamua kuondoka, hadi leo naona kinyaa.... Wanawake wapo wananuka
 
Dhara la kwanza ona huyo macron alivyo zeeka kuliko hata huyo bibi
 
NI BORA KUOA MWANAMKE MZEE AMBAYE ANAWEZA KUKUSAIDIA KUTIMIZA NDOTO ZAKO NA FURAHA YAKO YA MILELE, KULIKO KUOA MWANAMKE KIJANA AMBAYE ATAZIMA NDOTO ZAKO ZA MILELE..... NI KHERI KUOA KAHABA KULIKO MTAKATIFU WA USONI

KUNA WATU MTAGOMA, ILA HUU NDIYO UKWELI
 
Sisi waafrika kuna baadhi ya mambo hua tunafeli kwa mfano mwanafunzi akimfuata mwalimu na kumtongoza, mwanafunzi huyo atacheza hatari.
Ila wenzetu mwalimu atamukataa na kushukuru pia kwa swala hilo.
UNATAKA PAPUCHI YA MWALIMU WAKO? HAUNA ADABU KABISA WEWE
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Makoronya alikua anakula muke ya mutu tokea yupo shule.
Hapa amekosa sifa ya kua kiongozi wa nchi kwa utovu wa maadili.
 
We acha tu,nikimchekigi lady Madonna hadi leo mate yananidondoka,kuna mwingine nilikutana naye moshi mjini anauza kwenye pharmacy yake mashaallah!! Kaumbika haswaa,mrembo kabisa yaani,nadhani alihisi tu kuwa nimemtamani,kwenye story story sijui ilikuwaje akaniambia "mimi ni bibi yako eti" kumuuliza umri wake ananiambia ana 68yrs!! Nikachoka,ila hadi leo ananipogiaga simu na kunitania tania,kama vile alishakubali kimoyomoyo
 
Ndoa yao ina miaka 14 from 2007. Na ninavyowaona hawana mipango wa kutengana. Kwa tofauti ya umri wao wanahitaji pongezi kubwa mno. Na wamefanikiwa kimaisha kabisa. Kuna cha KUJIFUNZA Ila ki Afrika utaambiwa ni laana kuoa mwanamke umri sawa na wa mama yako Ila hatusemi wanaume wanaooa wake wadogo umri sawa na wajukuu zao. This is Africa!!!
 
Hapana,siwezi!
Kwahiyo hatapata watt? Huyu macron vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…