Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macron angekuwa mtz lazma huyo bibi angeambiwa kamloga si bureTukiwa form 4,
Kuna jamaa angu MAGNUS aliwahi mtongoza madam wa Field kwa njia ya barua,
Akafunguka kila kitu jins gani anavyomfeel
Kilichotokea Sasa[emoji2],
Madam kumkomesha alikwenda kuisoma barua ya jamaa mbele ya SCHOOL ASSEMBLY.
Jamaa alikula viboko Sana na akapewa suspension ya miez 2[emoji4]
WAAFRICA KWENYE SUALA LA MAPENZI, MAHUSIANO na MAHABA bado Sana.[emoji4]
Niliamua kumpenda mwanamke mmoja tu ambaye ni na do nae, kwa sababu kuna mwanamke nilitokaga nae ile anapanua mguu hata sikuingizaa nikaamua kuondoka, hadi leo naona kinyaa.... Wanawake wapo wananukaDogo atakuwa alipulizwa mqund na ganzi ya ubongo wake yote imeganda dadekii.
Maana wa bibi wana kiarufu flan cha kizee sa kama Jombaa ana kaza basii atakuwa vzrii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Dhara la kwanza ona huyo macron alivyo zeeka kuliko hata huyo bibi
Ulishawahi kusikia japo kwa uchache kuhusu Emanuel Macron Rais wa sasa wa ufaransa? Je ushawahi kusikia kuhusu mke wake?
Ni hivi Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana miaka 43 ndio rais kijana kuliko maraisi wote waliowahi kuiongoza ufaransa
Emmanuel Macron alianza kumpenda mwalimu wake wa darasani aliyeitwa rigitte Trogneux, kipindi hicho Emanuel Macron akiwa na miaka 15 huku Mwalimu rigitte Trogneux akiwa na miaka 39
Lakini Walianzisha mahusiano yao rasmi baada ya Emanuel Macron kutimiza miaka 18....licha ya jitihada mbalimbali zilizofanywa na wazazi wa Emanuel Macron ili waweze kuwatenganisha wasiwe kwenye mahusiano lakin hawakufanikiwa
Ukumbuke binti wa Mwalimu rigitte Trogneux alikuwa anasoma darasa moja na Emanuel macron.... Hebu vuta taswira yaan mtu unasoma darasa moja nae halafu ndio mpenz wa mama yako mzazi
Mwaka 2006 Mwalimu Rigitte Trogneux aliachana na mume wake na mwaka 2007 aliolewa na Emanuel Macron ....huku Rigitte Trogneux akiwa na watoto watatu kati ya hao wapo waliomzidi umri mumewe wakati Emanuel macron hana mtoto hata mmoja
Emanuel Macron amezidiwa miaka 24 na mke wake huyo
Emanuel Macron amezidiwa miaka 3 na mtoto wa Kwanzaa wa mke wake
Je, wewe unaweza kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi zaidi ya miaka 20?
Hahahah kumbe macron ndo kazeeka.
UNATAKA PAPUCHI YA MWALIMU WAKO? HAUNA ADABU KABISA WEWESisi waafrika kuna baadhi ya mambo hua tunafeli kwa mfano mwanafunzi akimfuata mwalimu na kumtongoza, mwanafunzi huyo atacheza hatari.
Ila wenzetu mwalimu atamukataa na kushukuru pia kwa swala hilo.
Upo sahihi kabisa mkuuNI BORA KUOA MWANAMKE MZEE AMBAYE ANAWEZA KUKUSAIDIA KUTIMIZA NDOTO ZAKO NA FURAHA YAKO YA MILELE, KULIKO KUOA MWANAMKE KIJANA AMBAYE ATAZIMA NDOTO ZAKO ZA MILELE..... NI KHERI KUOA KAHABA KULIKO MTAKATIFU WA USONI
KUNA WATU MTAGOMA, ILA HUU NDIYO UKWELI
Hapana,siwezi!