Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia


Bampa to bampa mtaendelea kua maskini tu Rwanda yasonga mbele.Proudly Rwandese nchi ina maendeleo wakati Tz mpaka leo kuna nyumba za nyasi [emoji3]
 
utakuta *Kagame ni Born tactician every move he make means something*

Hujakaa vizuri utasikia "Pk ni master of psychological warfares"

mara pk ni Genius
Too Much bla bla blaaaaa

the bold kaelemea kabisa upande mmoja

King Kagame.andika ya kwako ambayo imeegamia upande unaoupenda.Proudly Rwandese
 
Paul Kagame Again .. hiyo CCM yenu Tz vipi imeacha kuwatafuna halafu sasa hivi mnahubiriwa ccm mpya bombadia zimekamatwa mnapga watu risasi makinikia hamjalipwa Gesi mmetapeliwa.
Wewe ni dem maana naham na kadem anaetoka kwa PK. Nasikia niwatam eti kweli?
 
Paul Kagame Again .. hiyo CCM yenu Tz vipi imeacha kuwatafuna halafu sasa hivi mnahubiriwa ccm mpya bombadia zimekamatwa mnapga watu risasi makinikia hamjalipwa Gesi mmetapeliwa.
Hahahaha sasa mbona hii ni theluthi tu kwa yanayotokea pale milimani
 
Wewe ni dem maana naham na kadem anaetoka kwa PK. Nasikia niwatam eti kweli?

Wanakosaje utamu sasa,hata kama me siwezi kukupa utamu kwa standard zangu haupo hata level 5,Pia sidhani kama kuna baby rwanda ata date na mswahili.
 
Bampa to bampa mtaendelea kua maskini tu Rwanda yasonga mbele.Proudly Rwandese nchi ina maendeleo wakati Tz mpaka leo kuna nyumba za nyasi [emoji3]
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Tuna nyumba za Nyasi lakini hatuna hata mkoa mmoja wenye genocide Memorial....

Hatuadhimishi Genocide kila mwezi wa4...
Tuna sikuukuu ya uhuru,Muungano na baba wa Taifa.

Najivunia UTanzania[emoji171]
 
Si kwa sababu ya msela mwenyewe kijiproud ila pia mitaa ya geita aisee kuna dada poa wengi sana kutoka pande hiyo fanyeni fanyeni basi warudi "ulaya"

Nyuzi tele juu ya Rwanda humu mmekosa kazi za kufanya CCM inawatafuna hamna mbele wala nyumba mnahangaika na vitu sio ya kwenu poleni sana Sisi tunapenda vya kwetu ndio maana hatuangaiki na wengine Rwanda For Rwandese naskia Rais wenu kapendekeza mtuletee Reli safi sana leteni leteni mizigo tuwalipe pesa.
 
Ndio alivyohadithiwa mkuu sema mi napenda tu kumsoma story zake nikiwa nimepumzika ni kama kusikiliza kasuku
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Tuna nyumba za Nyasi lakini hatuna hata mkoa mmoja wenye genocide Memorial....

Hatuadhimishi Genocide kila mwezi wa4...
Tuna sikuukuu ya uhuru,Muungano na baba wa Taifa.

Najivunia UTanzania[emoji171]

Ooooh kumbe hilo tu vipi watu kunywa maji na wanyama watu kulima kilimo cha jembe mpaka leo Tanesco 2018 kukata umeme kila uchao Nchi ina madini lakin njaa ni kali haswa Mwanza na shy town wana ziwa ila maji n nadra kupata huko iringa kuna mbao ila madawati ni shida Wanafunzi hawajui hata Laptop ni nin Hospital hakuna dawa mnapiga wakosoaji wa Serikal risasi nchi inataka kua na shirika la ndege huku ndege imekamatwa Canada mnataka kufika level za Rwandair kwa CEO wa kitz sisi wenzenu tulitoa CEO ethiopia ndio maana shirika liko pale lilipo Africa nzima Proudly Rwandese.
 
Wanakosaje utamu sasa,hata kama me siwezi kukupa utamu kwa standard zangu haupo hata level 5,Pia sidhani kama kuna baby rwanda ata date na mswahili.
Mkuu hapa umekosea wapo wengi sana wanadate na waswahili na kwa kweli mnajua kumganda mtu hadi huruma ila ndio vile nakupa ukweli tu wawazi
Japo sio story nzuri sana 2007 nilienda SA cape town si unajua pale mko wengi sana basi tukaingia ligi na kaka ako mmoja kwa pua ndefu wenu nikashinda ila sasa huyu manzi ye hakujua mi napita tu........anyway sio ya kujisifia maana alivunjika moyo na kuumia na kweli alipenda maana wakati narudi alikubali kuja hadi dar na alikuja.....basi tuishie tu hapo mkuu kwa upendo wa binti yule naomba niwaheshim wote maana aliumia
 

Hata watz wengi galz wanajua kuwaganda watu so umeandika MASHUDU YA pamba.
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Tuna nyumba za Nyasi lakini hatuna hata mkoa mmoja wenye genocide Memorial....

Hatuadhimishi Genocide kila mwezi wa4...
Tuna sikuukuu ya uhuru,Muungano na baba wa Taifa.

Najivunia UTanzania[emoji171]
Mkuu Tz huwa sina sababu ya kuisifia maana ni bonge la nchi asa niongee nini kwa mfano mwaka 2015 kwenye uchaguzi ccm na chadema wametundika bendera kwenye mlingoti mmoja bora njaa kwenye amani kuliko shibe kwenye machafuko afu unadhani njaa ya tz utaifananisha na njaa ya nchi yoyote east africa ni hakuna kifupi bongo ndio paradise kama maskini hat brunei wapo
 
Usijali kama pesa ipo tunakuja tu wala sio issue mbona biashara kawaida sana mkuu tulianza kufanya na waarabu na wahindi ije kuwa rwanda majirani kabisa mbona tutapiga sana.
 

Jipeni moyo mmeacha kupigana risasi na kutupana kwenye viloba kule Coco hakuna anashiba kwenye machafuko Rwanda ndan ya miaka 25 imeipita kiuchumi Tz tuna shirika la ndege linakutoa Kigali au Dsm direct to europe hiv zile bombadia naskia ingine imedakwa ulaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miaka 50 ya uhuru au uhuni
 
Inabidi sasa Rwanda iwe mkoa mpya wa Tz
maana sio kwa kutifatilia huko kama mbunge wa Mkoa wa Rwanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

come on baby... mind yo own business
Umeme unakata,shinyanga hakuna madawati werevaaaaa...
Tz inabaki kuwa Tz na nyinyi mtabaki kuwa wakimbizi wetu sikuzote...mtakaa hapa hapa kusiko na umeme,ndege,madawati na huyo dikteta wenu wa Taifa tangu 1994... aliekuja kuwaokoa mikononi mwa Interahamwe alitoka hapa hapa...

na ndio maana mpaka leo Mna alama ya kujua kiswahili kuwatambulisha kuwa sisi ni shield yenu na ngome yenu....
 
Njoo dm dada[emoji23] [emoji23]
hivi unadhani na mimi nna sura ndefu kama record za genocide?

mm mtoto mzuri ,njoo nikupe picha Dm mama[emoji23][emoji23][emoji23] usidhani kila mtu ni Kunyanza kama ww
Mkuu we ni komandoo[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…