Afu hao mama wanatulea baadae tunawalea maisha muruaaaaaaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji123]mimi nmelelewa na mama...mpaka leo ninae kwasababu huku mapanga hayatumiki kwa kazi -hasi[emoji23]
hatutegemei wanyama kuishi mama....ndio maana unaona watu tuko places hatufanyi harambee ya kuchangia utalii ili tule,tuishi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaha umehurumiwa sana kuna kamoja kalikuwa kanasambaza ushuhuda jinsi kalivyonusurika kina mama church wanalia sana anyway kalipata nguo nyingi sana siku ileHuruma wahurumie ndugu zako vijijini huko wanakula majani na wee umewakimbia umeenda kujibanza kwa shemeji kumbuka anaeumia n dada ako
Asa hapa umeongea nini nenda tu kwenye hio meeting maana umechokaKwani kuna watu wanaishi kwa John na Sara [emoji3]
Hahahaha umehurumiwa sana kuna kamoja kalikuwa kanasambaza ushuhuda jinsi kalivyonusurika kina mama church wanalia sana anyway kalipata nguo nyingi sana siku ile
Asa hapa umeongea nini nenda tu kwenye hio meeting maana umechoka
Nakwambia kweli mkuu mi sikuja rwanda kuangalia mafuvu na misumali afu na nyani ukweli yule jamaa alikuwa anafafanua hata sielewi mi nangoja nirudi tu hotelini napo sikufurahishwa maana ni kama koki za dawasco zilikatikaWale dada poa wa sinza Temeke na kwingineko mshawapa ajira rasmi au mmewapeleka kwenye ngono utakuta nae mama ako alikupatia kwenye hizo biashara so be cool
Home iwacuOngea kauli zooote leo niko hapa against nyie vibaka wa kiafrica,umechinja wangapi wewe n kama wanaume wa Dar hata kuku hawezi chinja,Ila kajifunze kule Twitter hua tunajuaga kusummarize vitu sio essay kama unazoandika zinachosha kusoma.They call it Rwanda we Call it Home.Home sweet Home.
Cc Princes ariana unatakiwa usikise bando kabisa na huu uzi u subscribe kabisa ili kuwanyoosha hawa wapuuzi
Mkuu nilikuwa instagram kidogo nakutana na jamaa wanasema AY anaiwakilisha nchi kuigonga rwanda kwa hiyo asituangushe [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ila leo umenimudu maana hii kazi huwa siiwezi kabisa
Tumemtuma huyu mmoja mkuu ili kuweka heshima ye kama balozi tumempa kazi ya kugonga nchi nzima[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] na paspoti ya kielectronic tumempa anashangiliwa kama mfalmeKatoka mbeya kwenye matoke mpaka kigali kusaka mke zaidi ya Kilomita 3000 Hapana chezea Rwandese.Proudly Rwandese mnasema oooh Tz mna wadada wazuri labda kuvaa mawigi ya china na kupaka Calorite Rwandese ni Pure african.
Tumemtuma huyu mmoja mkuu ili kuweka heshima ye kama balozi tumempa kazi ya kugonga nchi nzima[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] na paspoti ya kielectronic tumempa anashangiliwa kama mfalme
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Sio maneno hayo Ndugu zetu!! We are all EA!! Au kindness na politeness ya kitanzania hamna siku hiziNi heri kuwa masikini ,kuliko kuwa mkimbizi ,ambae unakimbia hata Lugha yako ya Kinyarwanda...
Sio vizuri arianaDawa iingie aliekwambia ana kidonda nani?
Tumekuja kusoma Ya miserable past .... Kwa hali hii ndio maana wahutu waliwa brand kama "inyezi"
Nchi kutoa product kama wewe, hapana shaka ndio maana mlichinjana... maana umekaa kimachettemachette[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
akili zinaruka ruka kama maji ya mwambao wa Pemba[emoji23] [emoji23]
Sasa ulitaka ningange shibe Ndugu halafu hili ni povu la mafuta ya Kula ya Pamba.
Mungu akulinde uvisikie kw engine!! Kuwa na huruma maana Ndugu zetu wameuliwa!! Unaposema hivyo unatukosea heshimaHahahahahahahahahahahahahahahaha
Tuna nyumba za Nyasi lakini hatuna hata mkoa mmoja wenye genocide Memorial....
Hatuadhimishi Genocide kila mwezi wa4...
Tuna sikuukuu ya uhuru,Muungano na baba wa Taifa.
Najivunia UTanzania[emoji171]
Proudly Rwandese
Mama ake ni mnyarwanda!!! Aliyeishi Tanzania so hata huku ni kwaoYani aigonge sawa sawa ila mzee wa comercial hata tuangusha rwanda kazi mnayo aisee