zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ndio nauliza kama sababu ni habyarimana kulubaliana watutsi ilipelekea wampimdue Why not 1992 na 1993 ila 1994?? Mbona huko nyuma alifanya mazungumzo hawakumuua ila 1994 ndio wamuue???Jibu lipo hapo ambapo hawakuishia kumuua yeye tu, wakaua na pm, speakers na mawaziri wengine nyeti kisha wakamsimika mkuu wa majeshi awe ndo mrithi wa madaraka yote ili hutu power ikamilishe mission, can't you see??
Kingine nmeuliza kwanni kagame hajawahi kupinga testimony ya RPF general katumba nyamwasa!! Aliishia kulialia kuwa ni MSALITI ila hakujibu kabisa facts zake kuhusu jinsi RPF walivyotungua ndege ya habyarimama
Mahakama zote zimeconclude kuwa mwenye kesi ya kujibu ni kagame zote mbili ya spain na france ehy hata mhutu sikusikia akishutumiwa?? Ina maana wote wamsingizie kagame tu?? Kingine mashahidi wa kesi ile wengi waliuawa au walikimbia kutokea mahakamani kma walihusika wahutu kwanni kagame awatishe wale mashahidi?? Why awaue??