Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Jibu lipo hapo ambapo hawakuishia kumuua yeye tu, wakaua na pm, speakers na mawaziri wengine nyeti kisha wakamsimika mkuu wa majeshi awe ndo mrithi wa madaraka yote ili hutu power ikamilishe mission, can't you see??
Ndio nauliza kama sababu ni habyarimana kulubaliana watutsi ilipelekea wampimdue Why not 1992 na 1993 ila 1994?? Mbona huko nyuma alifanya mazungumzo hawakumuua ila 1994 ndio wamuue???

Kingine nmeuliza kwanni kagame hajawahi kupinga testimony ya RPF general katumba nyamwasa!! Aliishia kulialia kuwa ni MSALITI ila hakujibu kabisa facts zake kuhusu jinsi RPF walivyotungua ndege ya habyarimama

Mahakama zote zimeconclude kuwa mwenye kesi ya kujibu ni kagame zote mbili ya spain na france ehy hata mhutu sikusikia akishutumiwa?? Ina maana wote wamsingizie kagame tu?? Kingine mashahidi wa kesi ile wengi waliuawa au walikimbia kutokea mahakamani kma walihusika wahutu kwanni kagame awatishe wale mashahidi?? Why awaue??
 
Usawa unaozungumza upo nchi gani kwa mfano? Hakuna kitu kinachoitwa usawa hapa duniani, haiji kutokea
Ulikuwepo Burundi wakati wa uhuru Tutsi and hutu shared powers equally kwenye field zote za maisha

Usawa upo lebanon ambapo wakristo na waislam wanashare powers partially yaani kuna wizara na fursa zingine na post zimetengewa wakristo ambao ndio minority

N.k

Hivyo usitoe conclusion bila research.... Kwani shida gani mkiwaachia wahutu hta kma ni pandikizi atawale miaka 5 tu kisa mtawale milele?? Kwanni hampendi kutawaliwa na wabantu?? Wakati mko minority?? Jifunzeni ethiopia majority wanapopinga kutawaliwa na minority unfairly
 
mpaka hapo huyu bwana zito Jr ni kichwa kibovu tumwache apige soga peke yake ,mpingana na wengi ni mchawi.sijawh ona mrwanda tz anasema ye ni mhutu au mtusi they are proud Rwandans.bwana zito kilio chako ni cha samaki we don't care
 
Dodoma nilikaa pande za kikuyu kule iringa road ila dodoma ya enzi zile daladala zinaishia mazengo sekondari...... si mchezo!!
mkuu hahahah siwezi kubishia ndio nchi yetu tunajivunia hata Leo hayajabadilika sana mambo,ndio tujadili ya nchini mwetu sio ya watu
 
Nlishaziongelea sana kipindi nipo chuo hadi wakawa wananirekodi ila nliwashtukia mapema nkambana mmoja ndio wakapotezea..... Anyway kukamata kila anayekosoa genocide haiwezi kusuluhisha maana mnazidi kuongeza chuki na visasi maana kma kila mwananchi akiruhusiwa kuongea ya moyoni mtajikuta mnafunga kila mtu ssa cjui jela zitatosha!!!

Watu wanaweza kukaa kimya kuogopa kuuawa ila kumbuka wapo majority hivyo its just a matter of time watachoka na wakichoka watutsi mko million 2 pekee sijui mtazuiaje mafuriko hayo
Acha uongo chuo gani?? Labda vya Congo huko!!

Kwanza Hata ukiongelea mambo ya watutsi na wahutu wanakucheka!! Iyo mambo ilishapita kurudi Labda kwanza tanzania mpate maendeleo ya mikoa Kama minne!!
Au mpaka mjitambue kwanza!! Nakuapia itatokea siku ya kiama tu!!
 
Kama hii ndio hoja mbona mwaka 1990 walishaandikia barua hao RPF warudi kwa amani Rwanda wajenge nchi kwanini asiuliwe mwaka 90 auawe 1994???

Kagame alimuua sababu aliona wakishashare madaraka bado Rais atakuwa habyarimana yye hakutana amani kagame alitaka MADARAKA na hili ni muhimu mlifahamu ndio maana alikuwa yupo radhi wampoteze kamanda muhimu kma Rwigyema ili tu apate MADARAKA.

Wahutu hawakuwa na sababu ya kumuua habyarimana 1994 maana kumbuka kabla ya hapo kulikuwa na mazungumzo toka miaka ya 92 sasa kivp wasimuue huko nyuma ila wamuue kwa sababu hiyo hiyo 1994??? Why??

Kingine nachokataa wahutu kumuua habyarimana kinatoka mdomoni kwa majenerali watatu waliokwisha asi RPF mmoja nyamwasa mwingine alikuwa muasisi wa green party ..... Walisema kipindi ndege ya habyarimana inatunguliwa kagame akawaambia TUSONGE MBELE bila mshangao wowote as if alijua kilichotokea!!!

Maswali ni mengi ila bado hayaleti maana kwanni wahutu wamuue habyarimana 1994 na sio kwenye makubaliano ya kabla ya hapo..... Why huko nyuma wakubaliane na watutsi asiuawe ila 1994 ndio wamuue WHY??
Kwa Nini wahutu walimuua uwiringiyimana hagatha??
 
Nlishasema toka mwanzoni nmesoma primary huko rubavu.. Shule ilikuwa ya wamissionary hii st maurus ipo kanama kule rubavu to be specific njia ya kuelekea basa na nliishi kwa mzee mmoja anaitwa Pascal munyakazi na head teacher alikuwa Fr Rurangirwa Ivan!! Any question?? Au unataka na registration number yangu???

Nakumbuka tukiwa shule kagame alishawahi kuja sokoni pale....baada ya kukuta wahutu wamechachamaa akakiri kuwa WATUTSI waliua wahutu kwenye genocide huko western province hahahaha nkikumbuka nacheka sana ujenerali wote akaufyata akaanza kuomba msamaha ila thr bold cjaona anaongelea genocide against hutu

Hawa kidogo waligusia hii saga pitia usome

Rwanda admits Hutu massacre

Kuhusu familia niliyoishi ilikuwa ya watutsi watupu hivyo kma hoja yako ni kwamba nliishi kwa wahutu ndio maana nlipandikizwa chuki unajidanganya..... Hawa watutsi baadae walikimbilia congo wakaishi huko maeneo ya nyiragongo hivyo nimeona pande zote mbili za haya makabila kabla sijaja na conclusion hivyo usiseme napotosha sema hukubaliani na maoni yangu
Ulivyo ndizi rubavu Kuna sehemu inaitwa Kanama!?? Unajua maana yake Au umeongea tu!!
Ahubwo urumuhutu wuzuye Gira vuba ugaruke tuguhane kubyaha wakoze!!
 
Acha uongo chuo gani?? Labda vya Congo huko!!

Kwanza Hata ukiongelea mambo ya watutsi na wahutu wanakucheka!! Iyo mambo ilishapita kurudi Labda kwanza tanzania mpate maendeleo ya mikoa Kama minne!!
Au mpaka mjitambue kwanza!! Nakuapia itatokea siku ya kiama tu!!
Uwe unasoma post za nyuma nlishasema primary kidogo nlisoma rubavu ila Chuo nlisoma makerere na ndipo nlikutana na wanyarwanda kibao tu maana wamejazana kule kwa kisingizio cha kujiita WANYANKOLE!!

Walikuwa wanasema wazi jinsi ambavyo wao ndio wenye haki ya kutawala rwanda cjui wao ni wazuri sana na wana akili sana kuliko wahutu mwingine akasema hawezi kuolewa na mhutu maana ni matusi kwenye ukoo wao!!! Nlishangaa sana waafrika kubaguana kisa makabila tu!!!

Usibishe kila kitu siku nenda mbarara pale MUST au hata UCU pale mukono wamejazana sana watutsi kapige nao soga uone walivyo na ubaguzi dhidi ya wahutu wa wazi kabisa na wamejaza mashushushu ukidiriki kuwapinga tu wanakurekodi!!!

Kazi kwelikweli ukabila.... Anyway sote waafrika tuwe wamoja tujenge usawa tuache kubaguana
 
Ulivyo ndizi rubavu Kuna sehemu inaitwa Kanama!?? Unajua maana yake Au umeongea tu!!
Ahubwo urumuhutu wuzuye Gira vuba ugaruke tuguhane kubyaha wakoze!!
Kanama ipo western province mkuu ambapo by then wilaya ilikuwa rubavu na makao makuu yake by then yalikuwa gisenyi na ndipo alipokuwa anaishi mwenyeji wangu na makambi ya UN pia yalikuwa huko sasa tunabishana nni?? Mpaka shule nmekutajia si uulize watutsi wenzako au kigumu ni kipi??

Na hapo nilipo BOLD sijaelewa unaongea nni maana sijui lugha yenu mie mbongo orijino.......
 
Ni mauaji yanayolenga kundi flani la watu labda dini au kabila n.k hivyo kama ambavyo wahutu walifanya genocide against tutsi ndio vilevile watutsi nao walifanya genocide against hutu hasa from 1997 to 2003 huko western rwanda na eastern congo ila sijawahi sikia mkiiongelea humu ila mnaongeleaga 1994 pekee ambayo nayo mnadai watutsi waliuawa million 1 ilihali hawakufika hata laki 4 rwanda nzima !!!

Embu tuacheni propaganda tuongee ukweli..... Mtapotosha mpaka lini?? Kwanni kila anayehoji takwimu feki mnamfunga badala ya kumjibu au kumuelewesha?? Mnaficha nni??
Kuhusu rwigara hayo ilikuwa kujitetea kwake baada ya kukuta Wana Miaka kibao kiwanda Chao kina madeni!! Kinakwwpa kulipa kodi!!
Alipoenda kwa Rais hakuna alichosaidiwa!! Akaona bora aingizane kwenye kinyanganyiro cha uraisi akawa anatumia harsh words!! Akiwa anajua kwenye katiba ya nchi kuwa ukileta ukabila unafungwa!!
Ikawa Ndo njia yake ili asaidiwe na western!!
Kuhusu Ingabire nae Ni mtu aliyekubaliwa apige campgne tatizo Lake maneno aliyotumia ili Hari anajua Bado kulikuwa na shida within rwanda!! Bado watu wanachuki then akaendelea kuleta Mada za kichochezi!!

Wengine Akina nyamwasa walikuwa wanataka watutsi waongoze sector zote!! Ila kagame akawagomea! Na akamuweka mkuu WA magereza muhutu aliyejisalimisha kutoka Congo!!
Na ndiyo maana wakina Nyamwasa wakaona jamaa hawasikilizi wakaamua kutoka nchini!!

Kuhusu waliouliwa kambini!! Walikuwa vijana wa kihutu waliokuwa wanatoka kambini na kwenda kufanya mauaji ikiwemo na ya wanajeshi!! Wakiwasaka hawawapati sababu wazazi walikuwa wanawaficha!! Ni vingi hajui bro!!
Nimeamua nikupe kidogo Japo hautaamini!! Ila jua nimeamua kukupa kidogo Labda the blood angefika akaongelea!!
Nimekupa sababu inaonekana Wewe mbishi!! Ukitaka vingi kuhusu hivyo!! Njoo rwanda! Kigali kicukiro tuongee nikuoneshe na ndugu zangu waliopigania nchi mpaka miguu hawana!! Wakuambie jinsi walivyotoka tanzania wakiwa watoto wakaja rwanda kupigania nchi yao!!
Ni ndugu zangu wa damu! Ambao kwao muhutu walikuwa hawawezi kuongea nae!! Ila Sasa wanaongea na kushare Kila kitu
 
Its all becoz of Tutsis mko wachache burundi ila mliwaua sana wahutu hasa 1972 genocide mliua sana wahutu ila hizo hamuongeleagi na hata Rais wa kwanza mhutu kwa kidemokrasia 1992 alipoachiwa madarakana na UPRONA bado mkampindua na kumuua!!! Tokea hapo nchi ikarudi kwenye machafuko

Kma watutsi wote mngekuwa kma prince rwegasore kusingetokea genocide burundi au rwanda ila kwa kuwa hampendi kutawaliwa ilihali mko wachache ndio mmesababisha nchi hizi mbili ziwe za kivita vita

Badilikeni hata uganda mmetawala uongozi kwa miaka 40 ssa hamtaki kuachia makabila mengine Yaani kuanzia airport ya entebbe mpka ofisi za URA hadi border ya busia ni watutsi watupu wanaojiita wahima na wanyankole eboooo siku wakicharuka hao wagganda msije kutafuta mchawi
Burundi hakuna jenocide hacha kupotosha
 
Ulikuwepo Burundi wakati wa uhuru Tutsi and hutu shared powers equally kwenye field zote za maisha

Usawa upo lebanon ambapo wakristo na waislam wanashare powers partially yaani kuna wizara na fursa zingine na post zimetengewa wakristo ambao ndio minority

N.k

Hivyo usitoe conclusion bila research.... Kwani shida gani mkiwaachia wahutu hta kma ni pandikizi atawale miaka 5 tu kisa mtawale milele?? Kwanni hampendi kutawaliwa na wabantu?? Wakati mko minority?? Jifunzeni ethiopia majority wanapopinga kutawaliwa na minority unfairly
Lebanon unauhakika gani!! Kwa sababu hajui ya nchi zao ungekuwa ushatudanganya!!

Una uhakika wako salama??? Hao lebanon wako??

Burundi si hiyo hapo?? Mbona wameshindw???
 
Lebanon unauhakika gani!! Kwa sababu hajui ya nchi zao ungekuwa ushatudanganya!!

Una uhakika wako salama??? Hao lebanon wako??

Burundi si hiyo hapo?? Mbona wameshindw???
Lebanon angalau mkuu udini wamejaribu kuufuta kwa staili hiyo at least wakristo hawawezi anza chokochoko sababu angalau wamegana madaraka na waislam hivyo chuki zimepungua

Hata Rwanda mkimpisha Rais muhutu kwa mara ya kwanza katika historia ya watutsi! Basi hasira za wahutu zitaisha sababu wataona nao wapo level moja na nyie ila kitendo cha kuwatawala na kuwanyima fursa ya kuongoza ilihali ndio majority inaleta chuki na wakipatikana WACHOCHEZI wawili watatu lazma mchinjane

As i always say TIME WILL TELL
 
Uwe unasoma post za nyuma nlishasema primary kidogo nlisoma rubavu ila Chuo nlisoma makerere na ndipo nlikutana na wanyarwanda kibao tu maana wamejazana kule kwa kisingizio cha kujiita WANYANKOLE!!

Walikuwa wanasema wazi jinsi ambavyo wao ndio wenye haki ya kutawala rwanda cjui wao ni wazuri sana na wana akili sana kuliko wahutu mwingine akasema hawezi kuolewa na mhutu maana ni matusi kwenye ukoo wao!!! Nlishangaa sana waafrika kubaguana kisa makabila tu!!!

Usibishe kila kitu siku nenda mbarara pale MUST au hata UCU pale mukono wamejazana sana watutsi kapige nao soga uone walivyo na ubaguzi dhidi ya wahutu wa wazi kabisa na wamejaza mashushushu ukidiriki kuwapinga tu wanakurekodi!!!

Kazi kwelikweli ukabila.... Anyway sote waafrika tuwe wamoja tujenge usawa tuache kubaguana
Ulisoma primary rubavu!! Wewe kabila gani?? Inamaana ulitoka tanzania ukavuka central ambayo Ni kigali ukaingizana pande za huko!! Usitudanganye Wewe sio mtanzania!! Hapo nimekuelewa!! Saana!! Ila St Marius primary Hhhhhhh umenifunga za uso!!!
 
Kanama ipo western province mkuu ambapo by then wilaya ilikuwa rubavu na makao makuu yake by then yalikuwa gisenyi na ndipo alipokuwa anaishi mwenyeji wangu na makambi ya UN pia yalikuwa huko sasa tunabishana nni?? Mpaka shule nmekutajia si uulize watutsi wenzako au kigumu ni kipi??

Na hapo nilipo BOLD sijaelewa unaongea nni maana sijui lugha yenu mie mbongo orijino.......
St Marius primary umenifunga!! Umesoma Mwaka gani?? Hapo?? Ndugu yangu usiwe unadanganya watu!!

Hata mimi tanzania naijua saana Kuanzia kagera mwanza shinyanga tabora mpanda!! Mpaka Dar es salaam!!

So ninaweza kukuambia maeneo Hata Arusha sijawahi kwenda Ila naweza kukutajia maeneo so usidanganye kwamba rwanda unaijua
 
Ulisoma primary rubavu!! Wewe kabila gani?? Inamaana ulitoka tanzania ukavuka central ambayo Ni kigali ukaingizana pande za huko!! Usitudanganye Wewe sio mtanzania!! Hapo nimekuelewa!! Saana!! Ila St Marius primary Hhhhhhh umenifunga za uso!!!
Mie mtanzania pure ila Rwanda ni sababu mzazi wangu mmoja alikuwa anapiga kazi UN ndio maana hamahama ikanihusu na gisenyi huko nilikuja sababu ya makambi ya wahutu na wanyamulenge!!!

Haahahha st maurus sio za uso!! ilikuwa shule ya wamissionary mkuu uliza yeyote wa huko labda watakuwa wanaikumbuka.... Ilikuwa inafundisha kwa english na ilijaa watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya kigeni hasa anglo-phone ila cjajua kma bado ipo au lah ila nmekutajia jina la huyo mwalimu mkuu Fr Rurangirwa ivan ukimtrace utapata details zaidi

Kabila langu baba Mkurya mama muha ila nilikulia kigoma sababu mzee wangu alikuwa anapiga kazi maeneo ya kasulu so shit happened wakaoana..... So nina roots kigoma pia sababu ya upande wa mama
 
Oook

Nimekuelewa!! Ila Miaka hiyo ndugu yangu watu walikuwa Bado Wana kisirani!! Cha kutopendana hasa hasa north Provience Ndo maana wakamuweka muhutu mwenzao awaongoze!! Lakin Sasa hivi wameshakuwa wamoja!! Wanaoana Sema Bado katika 100 hawakosi 2 so msafara wa mamba na kenge wamo!!

Hata wahuko Uganda unaosema Ni wale ambao wazazi wao Bado wanaona ututsi na uhutu deal!! Wakiwa nchi za watu
 
Back
Top Bottom