Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Kuna watu hawataki kuamini tulio hili lakini ndio hali halisi, kazi yetu si kuthibitisha bali kutoa fursa kwa marafiki zake wote marehemu kutoka heshima zao zamwisho
 
Kuna watu hawataki kuamini tulio hili lakini ndio hali halisi, kazi yetu si kuthibitisha bali kutoa fursa kwa marafiki zake wote marehemu kutoka heshima zao zamwisho
Mhhhhhh mnanichanganya sana nilikuwa namfuatili kwenye ule uzi watu weusi ndio walioleta ustarabu ulaya alikuwa anajua kujenga hoja vizuri na alikuwa smart sana kichwani nilimkubali sana kama kafa rest in paradise mwenyenzi Mungu atamfufua siku ya mwisho Dunia ni sehemu ya kupita tu
 
Mbona account inajieleza ni mwanamke kuhusu kufa kwa kweli ata mimi nipo njia panda
Sikuwahi kufuatilia akaunti yake ila stori zake nimesoma sana na kweli heshima kwake.
Kama ni kweli amefariki rip na natamani ningemjua kwa sura.
 

Nyabhera uko wapi ndugu yangu ???
Kwenye huu mchezo wa RPA Nyerere alihusika sana sanaa, sema huwa hatuzungumzi.
 
Aaaah kuna mjadala mzuri hivi halafu nimeukosa daaah. Nakumbuka Wanyarwanda pale ICTR walikuwa hawanipendi kweliii kisa haya mambo. Hii issue ilitoa uhai wa Prof Mwaikusa masikini (May he rest in Peace)
Mkuu malcom nakuona unapita kimyakimya kwenye uzi muhim kama huu yaani ni sawa na unasikia njaa alafu unaona mtu anamwaga chakula πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ embu fanya kweli basi utumalize kiu chetu hta kma itakulazimu ufungue uzi mpya nawe utie maoni yako juu ya experience yako kwenye case ya Rwanda genocide.
 
Mkuu kitu gani tena nitakachokisema hapa, wewe hukijui ?? Isitoshe umeishi na kusoma nao kabisa. Mimi hapa nategemea kujifunza kutoka kwenu ninyi wataalamu.
 
Mkuu kitu gani tena nitakachokisema hapa, wewe hukijui ?? Isitoshe umeishi na kusoma nao kabisa. Mimi hapa nategemea kujifunza kutoka kwenu ninyi wataalamu.
Haaahahaha mkuu hata Yesu alikuwa mmoja ila kuna version 4 za story yake yaani vitabu vya injili..... Nliosema hmu ni amaterue version ya story ila nyie mliopo kwenye system mnayajua mengi zaidi yaani advanced version mfano hapo umemtaja nyerere Nimechoka kabisa!!
 
Wala mimi sijui lolote mkuu, ninachofanya nikutazama na kujifunza tu.
 
They murdered mwaikusa, but why??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…