Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Kuna watu hawataki kuamini tulio hili lakini ndio hali halisi, kazi yetu si kuthibitisha bali kutoa fursa kwa marafiki zake wote marehemu kutoka heshima zao zamwisho
 
Kuna watu hawataki kuamini tulio hili lakini ndio hali halisi, kazi yetu si kuthibitisha bali kutoa fursa kwa marafiki zake wote marehemu kutoka heshima zao zamwisho
Mhhhhhh mnanichanganya sana nilikuwa namfuatili kwenye ule uzi watu weusi ndio walioleta ustarabu ulaya alikuwa anajua kujenga hoja vizuri na alikuwa smart sana kichwani nilimkubali sana kama kafa rest in paradise mwenyenzi Mungu atamfufua siku ya mwisho Dunia ni sehemu ya kupita tu
 
Mbona account inajieleza ni mwanamke kuhusu kufa kwa kweli ata mimi nipo njia panda
Sikuwahi kufuatilia akaunti yake ila stori zake nimesoma sana na kweli heshima kwake.
Kama ni kweli amefariki rip na natamani ningemjua kwa sura.
 
466949.jpg

Ahmale Lerato Bonginkosi alias Umkontho We Sizwe: 26 July 1984-07 March 2018
 
Mi naona the Bold umeeandika hii kama propaganda tu. Umekuza sana Role ya Kagame katika vita ya Kagera na Harakati za Watutsi kurudi Rwanda.

Maeneo uliyozidisha chumvi.

Moja Kagame hakuudhuria Mosh Conference. Hakuwa na jina lolote by the time. Si Kagame tu hata Mseveni hakuwa mjumbe Wa kikao husika.

Pili katika serikali ya Kwanza Baada ya Amini kuondolewa Mseveni hakuwa na Ushawishi Mkubwa na alikuwa Naibu Waziri tu.

Tatu umechukua Role ya Nyerere umempa Kagame na Mseveni.

Mpiganaji yoyote Wa RPF humtukuza Kamanda Fred si Kagame. Wote wanakili lebalation was planned, commanded by Kamanda Fred.

Fred hakupendwa kuongoza Rwanda na ukoo wa Ababeega ukoo Wa Kagame ambao ndo walikua inluencial zaidi. Hadi mauti yakamukuta Fred.

Nakusubiri nione utakavyoandika ilikuaje Kagame ambaye hakuwa kwenye commanding position kwenye RPA alikuja kuwa Kamanda Wa RPA mwishon mwa Vita.

Ukirudi Uganda.

NRA ilifaidika na mgogoro wa B. Okelo na Obote. Power ya Jeshi ikagawanyika hiyo NRA ikanufaika na hiyo fursa.

Acha kuandika History of the Victory.

Nyabhera uko wapi ndugu yangu ???
Kwenye huu mchezo wa RPA Nyerere alihusika sana sanaa, sema huwa hatuzungumzi.
 
Aaaah kuna mjadala mzuri hivi halafu nimeukosa daaah. Nakumbuka Wanyarwanda pale ICTR walikuwa hawanipendi kweliii kisa haya mambo. Hii issue ilitoa uhai wa Prof Mwaikusa masikini (May he rest in Peace)
Mkuu malcom nakuona unapita kimyakimya kwenye uzi muhim kama huu yaani ni sawa na unasikia njaa alafu unaona mtu anamwaga chakula 😀😀😀 embu fanya kweli basi utumalize kiu chetu hta kma itakulazimu ufungue uzi mpya nawe utie maoni yako juu ya experience yako kwenye case ya Rwanda genocide.
 
Mkuu kitu gani tena nitakachokisema hapa, wewe hukijui ?? Isitoshe umeishi na kusoma nao kabisa. Mimi hapa nategemea kujifunza kutoka kwenu ninyi wataalamu.
 
Mkuu kitu gani tena nitakachokisema hapa, wewe hukijui ?? Isitoshe umeishi na kusoma nao kabisa. Mimi hapa nategemea kujifunza kutoka kwenu ninyi wataalamu.
Haaahahaha mkuu hata Yesu alikuwa mmoja ila kuna version 4 za story yake yaani vitabu vya injili..... Nliosema hmu ni amaterue version ya story ila nyie mliopo kwenye system mnayajua mengi zaidi yaani advanced version mfano hapo umemtaja nyerere Nimechoka kabisa!!
 
Wala mimi sijui lolote mkuu, ninachofanya nikutazama na kujifunza tu.
 
Mkuu malcom nakuona unapita kimyakimya kwenye uzi muhim kama huu yaani ni sawa na unasikia njaa alafu unaona mtu anamwaga chakula 😀😀😀 embu fanya kweli basi utumalize kiu chetu hta kma itakulazimu ufungue uzi mpya nawe utie maoni yako juu ya experience yako kwenye case ya Rwanda genocide.
They murdered mwaikusa, but why??????
 
Back
Top Bottom