Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

So vizuri kufananisha Rwanda na Tanzania, nenda dodoma ukahesabu wadada watoahuduma poa kutoka Kigali kisha uhesabu na hapo Kigali Kuna wagogo wangapi
 
Sasa wewe Unaweza kukubali kula chakula kibovu wakati kizuri kipo hapo, Wabongo wakija huku soko hakuna
 
ina huzunisha sana! WATANZANIA TUJIFUNZE KWA HAWA
 
Nimeipenda historia nzuri nimejifunzamengi
naomba kujua

1.nani alitoa amri ya kuuawa kwa Waziri mkuuhizi
2. James kabarebe alishiriki sehemu ipi katika harakati hizi.
3.nini mapokeo ya kifo cha rais wa Burundi katika shambulio hilo

tuzidi kuelimishana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeuliza swali zuri Sana kwann waliamua kumuua waziri mkuu hpa napata ukakasi inawezekana wahutu wenyewe ndio walimuua habyalimana
 
Kwa mujibu ya maelezo ya wachangiaji na tafiti mbalimbali nimefikia hitimisho kwamba inaonekana wahutu walitaka wawatokomeze watusi kwa vile watusi walilishwa sumu ya superiority dhidi ya wahutu na makabila mengine na kua vibalaka wa wazungu
So wahutu ili kujiweka salama wakaona vi vyema kuwatokomeza kabisaa.Sasa katika mchakato huo siasa zenye mlengo wa kikabila na unationalist(wahutu) dhidi ya watutsi(waliojinasibu kua super racy kwa propaganda za wazungu na kukubali kutumika kua vibalaka wao)
Wakati wahutu hawajajiandaa na watutsi wakiwa well equipped na funded na wazungu wakakinukisha kwa kudungua ndege ili wapate kisingizio Cha kutwaa madaraka na kufanya mauaji dhidi ya wahutu kwa maelezo kwamba eti wanajitetea ili jamii yao isitokomezwe na hapo lengo lao likatimia.Kwa kua watutsi walikua ni minority wakapata uhalali kwamba hii ilikua genocide against Tutsi
All in all watutsi wamekubali kutumika Kama vibaraka wa wazungu ndio maana hawaaminiki na jamii yeyote hapa maziwa makuu
 
Kagame na RPF yake waliingia kwa gia mbaya sana kutafuna madaraka kitendo kilichotafsiriwa na wahutu ndivyo sivyo na kuanza kuwafyeka watusi wasiokua na hatia na hivvyo RPF wakawa wanaendesha mauaji ya wahutu kwa maelezo kwamba wanawalinda jamii yao na navyoona wakati wanavamia na kutungua ndege waliunderestimate matokeo Sasa walilazimika kuretaliate kwa misingi ya damu ni nzito kuliko maji na kwa kweli lawama zote abebe pk ndo maana anahangaika kuficha ukweli alipata madaraka kwa damu nyingi ikizingatiwa chuki ya kikabila iliyokuwepo toka mwanzo wakoloni walipopanda mbegu
 
Sababu Kama hizo kwenye jamii ni mbaya sana yaani unawaona wenzako nguruwe afu wewe ndo mtu unafaa kuwatawala? Mbaya sana hii superiority complex lazima izalishe chuki ndio maana Nyerere aliwadhibiti wachaga kwa upuuzi Kama huo Hadi kesho wanajionaga wako na akili kuliko wengine unfortunately wamebanwa mbavu wanaishia kwenye mitandao huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…