Umkontho we Sizwe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 497
- 466
Si
niunganishe nae ananifaa huyo
Siwaeleweni Nyie wote.mwataka Nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niunganishe nae ananifaa huyo
Siwaeleweni Nyie wote.mwataka Nini?
We mtoto mzuri uko wapi?
Kwanza kwanini hulali??Nipo hapa, niambie..
Bantu is the king of the universeSio kwa hawa mende wanaodharau wabantu
Kwanza kwanini hulali??
VizuriKuna Riwaya ya kijasusi naifuatilia jukwaa la Entertainment. Inaitwa Tai kwenye mzoga..
Vizuri
Wape upendoSio kwa hawa mende wanaodharau wabantu
Well said mkuuWe umetembea sie tumekaa tuna maisha yetu kule hzo tension Mnazijua nyie wasubir pesa ya makinikia Rwanda yasonga mbele.
Acha kuongea usichokijuaa wewe.Hakuna historia ya kweli duniani. Zote zipo biased na huwa inategemea nani katoa ufadhili wa historia.
Nilikuwa Rwanda hivi karibuni. Kule kuna hali ya tension sana. Ni kwamba pengine watu wanalazishwa kuimba nyimbo wasiyoipenda. Ukitaka uishi salama kule sema genocide against Tutsi, usiseme genocide against Rwandans au Hutus. Na for sure wana vidonda sana wale watu... Tuliongea na mdada mmoja alipotupeleka kwenye makumbusho ya mauwaji ya kimbari kuwa kizazi hiki ni ngumu sana kusameheana kwa dhati maana walioua na kuuliwa familia zao wako pamoja mtaani...
Ila nikajiuliza swali moja, kama kweli wanataka kusamehe na kuanza upya, kwa nini kwenye makumbusho wanaongelea habari za genocide against Tutsi, kwa nini isiwe genocide against Rwandans? Haiwezi kuwa trick ya watusi kutawala Rwanda kwa minajili ya kutibu hatred?
Those guys, wanaongea lugha moja, kwa nini hatred ipo hivi? Na kwa style ya utawala wa kule unajenga amani ya mioyoni au kuna hofu ya kifo?
Mungu ibariki Rwanda
Mtoto hujambo?Kuna Riwaya ya kijasusi naifuatilia jukwaa la Entertainment. Inaitwa Tai kwenye mzoga..
Mtoto hujambo?
Kabla ya kukuelekeza hiyo post ilipo, naomba kukuelekeza kwamba hutakiwi kuquote post ndefu namna hiyo.Naombeni kuelekezwa jinsi ya kupata hiyo hiyo post 149..sehemu ya pili.