kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
Rwanda Nziza[emoji121]Achana nao hawa wivu umewajaa wakitabiri kua kutakua na shida tena hawajui sasa hv tuko hatua 100 mbele wao wakiwaza vyoo vya shule sie tunawaza kufunga kila shule solar na umeme wa uhakika nchi nzima na maendeleo makubwa kwenye tekinolojia na masuala ya Anga. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Rwanda itasonga mbele zaidi na zaidi kwa staili yoyote Godbless Rwanda. Proudly Rwandese.