Usitegemee mtutsi atakupa majibu yanayoeleweka..... Hayo ungeuliza wahutu ila chanzo kikubwa tokea vita ya kwanza ya wahutu na watutsi Rwanda na Burundi hadi congo miaka ya 50 na 60 ni sababu ya watutsi kuwatesa wahutu hasa kutokana na kwamba wakoloni waliside na watutsi kuwatawala wahutu hivyo wahutu wakawa raia wa daraja la pili na hivo kukosa fursa serikalini, elimu, matibabu mazuri , umiliki wa ardhi na biashara n.k hiyo ndio chanzo cha chuki
Na hayo yalitokea kotekote DRC congo huko bunia kivu kaskazini, rwanda na burundi na ndio maana walichinjana na hyo 1994 ilikuwa kilele tu..... Na hata baada ya 1994 huko DRC maeneo ya kivu wahutu walichinjwa kma kuku mwaka 1997 hadi 2003
Anyway yalishapita ila hyo ndio chanzo cha chuki ile