Hahahahaha kwanni nionee aibu nchi yangu ni vile hapa ID feki ila mie mbongo pure nitajie kokote TZ nikupeleke..... Ilitokea tu sababu naishi kigoma ndio maana nmekuwa nafuatilia vinchi jirani uchwara vyenye vita kila kukicha kma burundi na congo na rwanda maana mko karibu sana na kigoma ila sijawahi kutamani kuwa mnyarwanda nchi ya kibaguzi na maukabila
Am happy niko Tanzania ambapo kabila lolote naweza kuoa na naweza kuishi mkoa wowote bila kubaguliwa ila sijawahi ona mtutsi rwanda anaoa muhutu toka nizaliwe.... Na hata nliposoma huko mlikuwa mnakaa kimakundi hukuti mtutsi ana mazoea na mhutu hta siku moja na hata makerere rwanda association mlikuwa mnajitenga yaani watutsi kivyao na wahutu kivyao so sad na ni wasomi
21st century mnakuwa wakabila hata aibu hamna