zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Bantu empire?? Unafkiri wabantu wana tabia za kujiskia kma cuishites kiasi kwamba waanzishe empire yao watawale wengine?? Ushawahi sikia ethiopia wanajiita waafrika?? Hizo tabia za kujiona so special zimeanzia kwa ethiopia waliozitoa israel so hakuna cha bantu empire coz wahutu hawana mawazo hayoOk ok kwahio the same ni hutu empire ama bantu empire ili kulinda interest kama unazozitaja hapo juu? Kama sio hema empire basi inakuwa bantu empire, huu ni ujinga wa kiwango cha Lami Hivi tukirithishana ujinga wa namna hiyo kwa next generation unadhani kutatokea nini? Ni heri kufikiri mwisho wa jambo kabla hujalianza
Ila watutsi ndio wana mawazo hayo kisa wanajiona minority!!