zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nahisi kuna WASIOJULIKANA wamemfuata inbox maana sio kawaida kabisa leo kapoa sana sikutegemea mwisho utaisha kirahisi hivi i expected moreHii episode ya mwisho kachakachua, issue ya kudungua kaipotezea na vitu vingi kuachana navyo sijui kama ataviweka kwenye kitabu labda
Kuna jambo si bure