Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

hiyo akili ndogo kama ya kuku ni ya kusaka pesa? wenye akili za kusaka pesa hawasemi. Pili hamna Mnyerwanda mwenye akili ndogo kama hiyo yako. Mwulize mama alichukulia wapi mimba haramu iliyokuja kuzaa mjinga kama wewe.

Komaa komaa na mimi utapata umaarufu humu JF maana wengi ambao wanaotokwa na povu na mimi hasa watanganyika wanapata umaarufu jf mzee baba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] STFU
 
Proudly Rwandese,Thank you Kagame and RPF for Liberation of Rwanda hii leo Rwanda inapiga hatua kwa kasi Rwanda yasonga mbele zaidi na zaidi.Asante The bold kuimaliza makala hii kiroho safi kabisa.Ila Kagame atabaki ndio kiongozi wangu wa Kiafrica wa muda wote Au nimwite GOAT. [emoji1534]
 
Hii episode ya mwisho kachakachua, issue ya kudungua kaipotezea na vitu vingi kuachana navyo sijui kama ataviweka kwenye kitabu labda
Hongera kwa makala nzuri your simply talented kwenye kuelezea ila kwa hizo paragraph hapo juu Mungu anakuona!!!
Mkuu hili tulitegemea baadhi yetu atamaliza kwa style hii

Hongera yake ,kwa simulizi nzuri
 
Ikifikaga hapo kwenye NANI ALIDUNGUA NDEGE Kuna kuwa na chenga chenga sana ... Hata Kaka mkubwa nae katupiga Chenga ya mwili ....
Mwandishi kanikasirisha sana, kaanza vizuri katikati ya uhondo kuzingua japo simlipi ila angekuwa jirani ningemtanga ngumi ya shingo, hawezi kuchezea watu wazima namna hii, nmepaniki [emoji35] [emoji83] [emoji83]
 
"Ameshauriwa " asiongelee swala la udunguaji wa ndege na amepokea ushauri" lakini akamalizia kama wengi walivyotabiri kwa KUMPAKA MAFUTA PK ..... Mimi binafsi nilikuwa nafatilia nijue hapo kwenye NANI ALIDUNGUA NDEGE haya mengine ya kumpamba PK yapo tumeshayasoma sana lakini kwenye kutungua ndege kila andiko linapakimbia..... Kuna kitu kikubwa sana hapo labda kinafichwa kikijulikana watachinjana upya.... Acha tufunike kombe mwanaharamu apite
 
Kitabu kinaanza na ile iliyopewa jina lafumbo!mmmh nimesoma liwaya nyinyi tu,lakini siamini kama vipepeo weuzi ni liwaya tu yaubunifu.maana ukiiangalia kiundani ni kamavile umeongelea siasa ya tz.nakuwatisha baazi ya watu.ila imekaa poa
 
Watu mmepaniki mlitaka stori iishe vipi naona kama mlikua mnasubiri iwe vipi ila andike ya kweny Asante the bold wachamshe bongo hawa watanganyika wasome vitabu watapata wanachotaka kufurahisha moyo wao Suala mambo haya yashapita miongo 2 sasa hivi Rwanda inapiga hatua kubwa katika maendeleo na kuwacha watu flan wanajiita wana Amani toka miaka 60 lakini umeme elimu maji ni tatizo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Proudly Rwandese,Thank you Kagame and RPF for Liberation of Rwanda hii leo Rwanda inapiga hatua kwa kasi Rwanda yasonga mbele zaidi na zaidi.Asante The bold kuimaliza makala hii kiroho safi kabisa.Ila Kagame atabaki ndio kiongozi wangu wa Kiafrica wa muda wote Au nimwite GOAT. [emoji1534]
Ila we n arrogant Sana haya ya kujisifia Sifia na kuwaona wengine takataka na wasiofaa inaonesha ndio sababu ambayo pia ilichangia pia mauaji hakuna binadamu atakayekubali kutezwa na kudharauliwa utu wake hii mentality muifute hakuna binadamu aliye bora tena mtu mweusi haya mambo ya kujigawa ndio yaliletwa na wakoloni ndo yanatucost mpaka sasa "divide and rule" na nyinyi mkajazwa ujinga eti sijui waisrael sijui nini all n black melonin yetu ndio race yetu siku Mtutsi akiacha kumdharau mhutu mtaishi vizuri lakini muendelezo wa dharau can lead to another kimbari hata kagame analijua hilo ukabila n ujinga na yy ajue Rwanda sio mali yake Aachie madaraka kwa amani isije tumika nguvu
 
Proudly Rwandese,Hili povu kafulie mapazia ya jikoni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watutsi ndio hawa akina Jestikilla,akina Gentamycine,etc?

Kupitia hawa wawili tu nimeelewa kwanini hawakuelewana na wenzao Wahutu..I can see why.

Jestikilla na Gentamycine kwanza wana matusi mpaka basi...Wanatukana for the sake of it...Kujisifu halafu na dharau...Cha ajabu ukiangalia thread zao zinaonesha wana akili ndogo sana...Hilo ndio ajabu...

Ila sio wote,kuna Watutsi smart kama Munyambo P,etc...These guys are smart,class act dudes!!

Kulikua na tatizo kubwa...sishabikii genocide ila hawa Watutsi wana mapungufu yao makubwa kama wanadamu,they should check themselves.

RIP wote waliouawa kinyama...Mungu wao atawatolea haki.
umeona mkuu?? mi mwenyewe nimejaribu kufanya ka utafiti kangu kadogo kuanzia huku mtaani hadi mitandaoni nimegundua hawa watutsi wana matatizo yao na kama haupo makini kuishi nao ni kazi sana lazima mpishane tu..
 
Achana nao hawa wivu umewajaa wakitabiri kua kutakua na shida tena hawajui sasa hv tuko hatua 100 mbele wao wakiwaza vyoo vya shule sie tunawaza kufunga kila shule solar na umeme wa uhakika nchi nzima na maendeleo makubwa kwenye tekinolojia na masuala ya Anga. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Rwanda itasonga mbele zaidi na zaidi kwa staili yoyote Godbless Rwanda. Proudly Rwandese.
eti nchi nzima...!! wanyarwanda hamna utofauti na wakenya..!
afu we demu sio mnyarwanda wala nini,we ni mbongo tu unatuzingua..!
 
eti nchi nzima...!! wanyarwanda hamna utofauti na wakenya..!
afu we demu sio mnyarwanda wala nini,we ni mbongo tu unatuzingua..!
Huyu ni kahaba na chokoraha mmoja tu hivi ,wala msijiumize vichwa .........kuna huyu na yule mpuuzi mwingine anayejiita Gentamycine kuna siku nilimpa makavu sivumiliagi upumbavu mimi .............Shenzi kabisa mende hawa wenye zero IQ watu tunajadili vitu vya msingi humu jamii Forum wao ni upuuzi tu ........Eti mtutsi sijui usenge gani so what ? ..........Hizi ID fake zinaficha mengi sana , Mods sijui wanafanya Nini waliangalie hili hatuitaji hawa mende wapuuzi humu , hili ni jukwaa la Great thinkers , Kila mtu akileta ukabila humu hili itakuaje ? Hawa wapuuzi Jestikilla na Gentamycine upuuzi wenu pelekeni Facebook na sio humu ............ Shenzi type !
 
u.s.e.n.g.e gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
imebidi nicheke
 
Back
Top Bottom