Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

kina nani mkuu? Mimi ni mtanzania ndio,uache muda uamue wewe ni nani muhutu? sawa we muhutu basi hamia Rwanda tuache sisi na tz yetu.Mimi katika mada hii siwez bishana na mrwanda mana anahaki100 ya kuongelea nchi yake bila kujali ni muhutu au mtusi

mpaka hapo unakosa sifa ya kuwa msomi mkuu unatake sides,unataka wewe ndiye upewe sympathy ya wanyarwanda wakati umejificha tz?! unaijua vita?! umevaa viatu vya wanyarwanda ukajua nini kilitokea? kama hukuwepo kaa chini wote tutulize makalio yetu tusikilize kisa hiki na kama una hoja ijenge sio kwa ubishi

be humble mkuu,maisha hayana formula,unalilia vita wakati hujazika baba na mama Rwanda?! unaijua damu mkuu?! tuna watz wanaishi Rwanda pale wameoa na kuolewa,wanasoma,kuna wanyarwanda tz pia.nani alikwambia Fulani ni mbantu na flank sio una uhakika gani wewe ni mbantu mkuu zaidi ya hizi nadharia?!

Leo watz wanaitwa uhamiaj kujua uraia wao,kesho ww ukiitwa useme ubantu wako utatuambia nn na wakat umekaririshwa tu? be humble mkuu usicheze na nafsi za watu,

MTU yeyote anayeiongoza serikali ana akili kuliko wewe ndiomana yupo pale,they paid the cost to be there.soma history yako mkuu but mwisho wasiku elewa imeandikwa na watu wenye manufaa yao,so who are you ujitie mjuaji kama wakubwa tu hawaongei,ongeza uelewa sio chuki !

Tz tunamakabila kibao huku watu wanachinjana ujaifanya huon hayo kujadili,tuna matatizo yetu kibao ndiomana unamuona huyu binti anakudharau sababu anakwambia ukweli,kwanini tusijadili matatizo yetu hizi historia zaotuwaachi wenyewe mkuu,usikaririshwe mkuu.

hata Leo ukipewa madaraka wewe huwezi Fanya unachofikiria mkuu sababu uongozi hauendeshwi kwa hamaki utafeli ,ndiomana mastermind wa intelejensia wanaongoza nchi na majeshi.kaachini mkuu
Essay nzima unalialia tu sijaona hoja yoyote!!!

Unasema tusijadili ya Rwanda tujadili matatizo yetu!! Sasa umeona lini nimejadili rwanda nje ya thread hii?? Mie nachangia thread kibao tu humu jf intelligence why nikichangia humu inakuwa nongwa??? Au unataka wote tulishwe tu propaganda kma vile watoto wadogo??

Kingine unasema nikijua ukweli nitafanya nni?? Sasa mbona hujiulizi the bold anaandika story ya genocide ili iweje??? Humu tupo kuelimishana so ninavyopinga kwa facts hizi propaganda wenye akili watajua ukweli ukwapi ndio maana mpka leo takwimu nilizoweka hakuna pro-kagame yeyote humu aliyeweza kujibu mmeishia kulialia tu!!

Sisi tunachotaka ukweli uwekwe wazi sio propaganda za pro- kagame mtumie kupotosha watu humu nyie endeleeni tu kujitapa humu ila siku wahutu wakiamka msije kulialia humu maana mnajifanya mnapotezea mateso yao wakati ndio majority

Sina mengi TIME WILL TELL
 
Brother hizo issue za Israel niwewe unazipaisha sisi hatuna mambo hiyo!! Hata tunavyoishi Huku rwanda mambo ya hutu na tutsi hakuna!! Tunasoma wote!! Hayo mambo ya propaganda!! Unazoongelea hatuna!! Kiukweli jamaa una chuki binafsi!! Udictetor!! Mnaujua nyie mnaosoma Habari za opposition!!

Basi tuongelee economy ya rwanda!! Inapanda Au inashuka!!
Economy ya Rwanda ipo vizuri sana tu kwa hilo nawapongeza kagame anachapa kazi sana ni zaidi ya magufuli ILA ni dikteta haswaa na ameua wapinzani wake wengi sana hilo halitabadilika hata mkilialia humu

Kagame kafanya genocide kibao DRC na Burundi!! Ila kwa kuwa yupo madarakani mnamtukuza ila siku akija kupinduliwa ndio yote yatakuwa wazi damu za KIBEHO....UVIRA na KISANGANI zitamlilia daima

NB: Huwa sipendi propaganda ndio maana humu mnaniita mhutu.... Jukwaa la kenya wananiita mjaluo na la uganda wananiita mugganda!! 😀😀 sijui nna uraia wa nchi ngapi
 
Kweli jamaa Ana chuki saana!! Maana Hata tukitumia facts jamaa hakubali!! Wapinzani wanafungwa wakishakuja na mambo ya kuleta kugawanya wanyarwanda!!
Facts gani mie nimepinga takwimu za genocide na niliweka hapa facts zangu mpaka leo hamjajibu mmebaki kulia lia tu

Njooni na majibu tuone nani ndio mbishi na mwenye chuki......tujifunze kujibu kwa hoja sio maneno matupu mjadala unakuwa hauna objective
 
Ukajua mapandikizi utabaki hivyo hivyo!! Sisi Ndo tunapenda! Udictetor wake!! Nchi yetu sio yenu!!
Niko nabishana na mtu asiye na moyo wa huruma!! Unaweza kuona watu wanaua mbele yako ukashindwa kuwalinda unaowaona mbele yako???
Nani hana huruma?? Nyie mnasema wazungu waliacha tutsi wakiuawa ilihali wakati wazungu 14 wanachinjwa na interhamwe RPF haikusaidia what did u expect wazungu wafanye?? Wenyewe walikua ordered waondoke

Mbona hushangai wanajeshi wa UN walishindwa kuzuia RPF kumimina risasi kwa wahutu huko kwenye makambi ya wakimbizi !!

Tuache unafki haya mambo ni ya pande mbili so kma tunataka haki tulaumu pande zote sio pale tu anapokufa mtutsi
 
mwambie mkuu na jamaa Nina walakini kama ni mtz huyu atakua mhutu tu was kigoma huko mana anahasira sio kawaida.sisi watz huku tunawajua warwanda tu hakuna mhutu wala mtusi tz hatutaki hizo propaganda za ukabila usiotuhusu
Shida nyie kila anayekosoa anakuwa mhutu ukikosoa kenya unaitwa mjaluo haya jukwaa la siasa wananiita mchagga!! Seriously nina uraia wa nchi ngapi??

Mie spendi uonevu ndio maana natoka mapovu kupinga propaganda zenu humu mitandaoni wala sina chuki ila sipendi unafki na uonevu

Guys tendeni haki hamtaona watu wakipiga kelele..... Mkiendelea kujiona perfect siku akipatikana kayibanda mwingine mtakuja kujuta

Haya yangu macho
 
Wazungu walikuwa upande wenu wa Hutu ndio maana wakawapa go ahead ya kufanya genocide mbona hawajatetea hoja yenu kuwa nyie ndo mliouwawa zaidi kwenye genocide. Just for the record France ili play a big role kwenye genocide mpaka imepelekea hadi hivi leo Rwanda kupunguza mahusiano yake ya kibiashara nayo.
Wazungu wako upande wetu?? Nani kakwambia kila mkosoa kagame ni mhutu?? Rwigara naye alihoji propaganda za kagame naye mtamuita mhutu!!!

Mbona wazungu wanasema genocide against Tutsi.... kma wako upande wa wahutu mbona hawajawahi kuazimisha huti genocide?? Mbona kagame hapelekwi ICC??Mbona war crime za kagame huko DRC hazichukuliwi hatua??
 
nimekujibu hili swali lako lamwisho mkuu tatizo umebase kusoma kubishana kuliko kuelewa.

nimekwambia hivi,hizo ICC,marekani,CIA ,ufaransa,ubelgiji, nk wote wamenawa damu kuanzia mwanzo kiini cha ishu hii,kwahiyo unategemea nani atazungumzia suala hilo wakati hakuna msafi mkuu? ni sawa na unatafta walopotea wakati mwenyewe umepotea.hao unaowalenga wewe ni sehemu tu ya mchakato mbona the bold kaweka wazi kila kitu mkuu hakuna asiejua wala anaekupinga,tatizo ni wewe unaetafta mwanga mchana!

babu zetu wenyewe walituambia amani haiji ila kwa ncha ya upanga! ili kufika hapa walipo ilibidi wapite humo walikopita.wamefika wametuazigo wachen wapone vidonda vyao,unaleta uchonganishi utakusaidia nini

sisi tulio na nia njema na jirani zetu tunazid kuwaombea mema na ndoto mnazoota nyinyi labda itokee vita ya 3 ya dunia otherwise mastermind tunajua ni ndoto ambazo mtakufa mtaenda nazo kaburini na kumbuka ni 2018 hii endelea kupiga soga
 
“We have to be honest, and acknowledge that a big part of the money in our banks come precisely from the exploitation of the African continent.”

“Without Africa, France will slide down into the rank of a 3rd world power”

Former French President Jacques Chirac .

alafu bado mtu kama zito huelewi tu,ukitaka hiko unachokitafta jiandae kuwaleta wakoloni wote mezani uwahukumu pamoja uone kama utaweza.
 
babu zetu wenyewe walituambia amani haiji ila kwa ncha ya upanga! ili kufika hapa walipo ilibidi wapite humo walikopita.wamefika wametuazigo wachen wapone vidonda vyao,unaleta uchonganishi utakusaidia nini
Umeambiwa na nani kwamba wametua mzigo?? Nani kasema vidonda vyao vinapona??

Shida wengi mnaochangia humu mnasoma tu makala alafu mnaconclude ilihali hata Rwanda kwenyewe hamjafika kufanya utafiti mnaishia kupewa story za mitandaoni tu

Ni hivi Rwanda bado kuna ukabila sana tu nmesoma huko ndio maana natoka mapovu humu.... Wahutu bado wanadharauliwa sana na watutsi sana tu hta fursa za serikalini ni watutsi watupu hivyo bado sababu zilizopelekea genocide ya 1994 zipo wwe unatoa wapi conclusion kwamba vidonda vinapona na kwamba hawatachinjana tena???

Hapa hakuna anayechonganisha ila tunataka tu ukweli ujulikane na sio propaganda za kina the bold za kuonyesha upande mmoja wa story ya genocide huku upande wa pili ukipuuzwa!!
 
“We have to be honest, and acknowledge that a big part of the money in our banks come precisely from the exploitation of the African continent.”

“Without Africa, France will slide down into the rank of a 3rd world power”

Former French President Jacques Chirac .

alafu bado mtu kama zito huelewi tu,ukitaka hiko unachokitafta jiandae kuwaleta wakoloni wote mezani uwahukumu pamoja uone kama utaweza.
Tusiwaingize wazungu kwenye kila kitu tulishapata uhuru miaka 50 iliyopita sasa kwanini tusijisimamie tumekalia kulaumu wazungu kila kukicha!!

Watutsi mtende haki na muwe na usawa jifunzeni kwa Prince Rwegasore mpigania uhuru wa burundi aliunganisha wahutu na watutsi na alioa mhutu ili kuua ukabila na Burundi katika muda wake waliishi kwa amani what's so hard kagame aweke usawa na kuruhusu demokrasia itawale ili maoni ya wananchi yaakisiwe kwenye sanduku la kura!! Anaogopa nni?? Kwanni hataki kukosolewa??

Geez!
 
mkuu kidogo ukiongea taratibu na kistaarabu uaneleweka.umeona sasa unavoyumba unajikuta kwasababu hizi hutaki kujaji yalopita Ila yasasa?! sasa anzia nchini kwako mkuu!! usawa unaousema upo Ila hate has blinded you,na hata kama haupo hauwezi kuja paap sababu wewe na flani tu mnataka hapana!!

nchi imejengwa zaidi ya miaka 50 yote watu wanavuja damu tu finally imetulia then utaruhusu watu wachache waitibue? wachochezi?! hapana!! huwezi kuona kuwa hata mataifa yanje bado yanaplay apart kwamba nini kifanyike na kisifanyike?! ndiomana wanawaletea mara mahakama Mara mini !! fungua akili yako mkuu........kama kuna watu wanaonewa watasikika tu,lakini kwanini tunakuskia wewe tu!! save your energy
 
Umeambiwa na nani kwamba wametua mzigo?? Nani kasema vidonda vyao vinapona??

Shida wengi mnaochangia humu mnasoma tu makala alafu mnaconclude ilihali hata Rwanda kwenyewe hamjafika kufanya utafiti mnaishia kupewa story za mitandaoni tu

Ni hivi Rwanda bado kuna ukabila sana tu nmesoma huko ndio maana natoka mapovu humu.... Wahutu bado wanadharauliwa sana na watutsi sana tu hta fursa za serikalini ni watutsi watupu hivyo bado sababu zilizopelekea genocide ya 1994 zipo wwe unatoa wapi conclusion kwamba vidonda vinapona na kwamba hawatachinjana tena???

Hapa hakuna anayechonganisha ila tunataka tu ukweli ujulikane na sio propaganda za kina the bold za kuonyesha upande mmoja wa story ya genocide huku upande wa pili ukipuuzwa!!
nakujibu jibu ambalo kama wewe ni mhutu utakaa ulitafakari mpaka unakufa kama unavotafakari Siku zote

wahutu hawabaguliwi Ila wanaINFERIORITY towards Tutsi.na hili jambo nimeliona kwako pia bwana zito Jr ndiomana nakwambia wewe unaweza kuwa mhutu.

soma historia yako mkuu chanzo cha matatizo yooote hayo ni inferiority ya wahutu kwa Watusi

kama hujui inferiority ni nini nitakwambia mkuu ,uwoga na hofu kwamba flani ni bora kuliko Mimi hata kama hajasema kitu,haringi anaishi maisha yake.tangu enzi hizo wahutu walihofia uzuri was wahutu(kama unabisha soma amri kumi za wahutu uone inferiority waliyonayo,wanawauliza waname wakihutu je wanawake wakihutu so wazuri? hawawafai? wanawasisitiza waoane wao kwa wao!)

kwahiyo mkuu usawa unaodai wewe upo Ila labda weewe na wahutu wenzio mliogoma kuwa wanyarwanda sasa mnahofia mnakufa mioyoni mwenu mwenu kuwa mbona Watusi,wametawala biashara,serikali na kila kitu,ni mawazo yanayowaua tangu zamani!

by the way Mimi nimekaa Rwanda mkuu tena sio kupita nimekaa pale 6 years so najua nachoongea na Burundi nimefika pia wacha Congo,nakuelewesha kwa maneno simple Ila yatakayokuingia.mkuu wewe unaumwa INFERIORITY kapate tiba !!

nimeona hata maongez yako nyuma unachambua et kigoma Watusi wanajitenga hahahah! Tanzania yetu hii kama wewe sio mrefu unapua ndefu macho flan ukimwambia ni mrwanda hata hakubalian nawe sasa wewe unaongelea habar za wahutu na Watusi!! mkuu unaumwa na ukitaka uchambuz was wahutu na Watusi basi jua Watusi wataonekana bora tu mkuu na hawana dharau Ila wewe ndio wajidharau kuwa haupo sawa nao by the way mi ni mgogo ndugu yangu.karibu area d.
 
...kama kuna watu wanaonewa watasikika tu,lakini kwanini tunakuskia wewe tu!! save your energy
Utawasikia wapi ilihali unasubiri the bold akuletee taarifa za Rwanda ukiwa kwenye keyboard yako magomeni!! What do u expect??

Jitahidi holiday moja uende uvira au gisenyi,nyiragongo,bunia n.k huko ndio utapata maoni ya wahutu juu ya kagame usisubiri humu mitandaoni wala hutowahi ona wakitoka mapovu sababu ya kuogopa sheria kali za mitandaoni ila face to face kutana nao utarudi na mawazo mapya kabisa juu ya kagame na watutsi ila ukikaa humu kusubiri post za watutsi kina GENTAMYCINE na manzi james utaishia kuwa mtetezi wa kagame milele

Ni kma ukisoma historia ya mapinduzi zanzibar utaona waarabu ni mashetani kabisa ila ukifika zanzibar ukapewa story halisi ya mapinduzi utabaki mdomo wazi!!
 
nakujibu jibu ambalo kama wewe ni mhutu utakaa ulitafakari mpaka unakufa kama unavotafakari Siku zote

wahutu hawabaguliwi Ila wanaINFERIORITY towards Tutsi.na hili jambo nimeliona kwako pia bwana zito Jr ndiomana nakwambia wewe unaweza kuwa mhutu.

soma historia yako mkuu chanzo cha matatizo yooote hayo ni inferiority ya wahutu kwa Watusi

kama hujui inferiority ni nini nitakwambia mkuu ,uwoga na hofu kwamba flani ni bora kuliko Mimi hata kama hajasema kitu,haringi anaishi maisha yake.tangu enzi hizo wahutu walihofia uzuri was wahutu(kama unabisha soma amri kumi za wahutu uone inferiority waliyonayo,wanawauliza waname wakihutu je wanawake wakihutu so wazuri? hawawafai? wanawasisitiza waoane wao kwa wao!)

kwahiyo mkuu usawa unaodai wewe upo Ila labda weewe na wahutu wenzio mliogoma kuwa wanyarwanda sasa mnahofia mnakufa mioyoni mwenu mwenu kuwa mbona Watusi,wametawala biashara,serikali na kila kitu,ni mawazo yanayowaua tangu zamani!

by the way Mimi nimekaa Rwanda mkuu tena sio kupita nimekaa pale 6 years so najua nachoongea na Burundi nimefika pia wacha Congo,nakuelewesha kwa maneno simple Ila yatakayokuingia.mkuu wewe unaumwa INFERIORITY kapate tiba !!

nimeona hata maongez yako nyuma unachambua et kigoma Watusi wanajitenga hahahah! Tanzania yetu hii kama wewe sio mrefu unapua ndefu macho flan ukimwambia ni mrwanda hata hakubalian nawe sasa wewe unaongelea habar za wahutu na Watusi!! mkuu unaumwa na ukitaka uchambuz was wahutu na Watusi basi jua Watusi wataonekana bora tu mkuu na hawana dharau Ila wewe ndio wajidharau kuwa haupo sawa nao by the way mi ni mgogo ndugu yangu.karibu area d.
Hahahahaha pita jukwaa la kenya mkuu kaone navyowakosoaga wakikuyu na ukabila wao wanadhani mimi mjaluo!!! Kule jukwaa la uganda nawakosoa sana wanyankole na utawala wao wameniita mugganda!! So ww ukiniita mhutu ni muendelezo ule ule wa kila anayekosoa lazima awe mpinzani wako!! 😀😀😀

Inaweza ikawa kweli wahutu wana inferiority complex lakini haiondoi uhalisia kwamba mnawaburuza sana mfano kagame kuteua nafasi zote nyeti unafkiri wahutu hawatokuwa na inferiority complex?? Kila uchaguzi kagame hataki mpinzani wa kihutu mwenye nguvu unategemea wasiwe na inferiority complex??

The thing is hakuna inferiority bila uonevu hata the bold unayemuabudu kasema watutsi waliwatesa wahutu sana hadi ikapelekea mapinduzi ya 1957 then wwe unasema eti hakuna uonevu ila inferiority??

Nakataa hujakaa rwanda na burundi huwezi kuishi kule alafu ukatoa maoni kma haya...... Unless ulikuwa unaishi ubalozini tu hutoki nje ila ukikaa kitaa hasa na watutsi watakupa mbili tatu juu ya wanavyowachukulia wahutu unaweza tamani uwachape viboko watutsi!!

Anyway we are all blacks tunachotaka ni usawa..... One love Rwanda,one love East africa
 
pamoja mkuu Ila usiwe harsh sasa kwa mabebez
 
Back
Top Bottom