Duu! kweli hii ni historia ambayo ni nzuri sana! Hongera Kichuguu! unaweza kuandika thesis yako kuhusu hizi note pamoja na sarafu....kwa sababu zimepitia katika mifumo tofautitofauti kiutawala na kiuchumi...kwa mfano kuanzia mika ya 1980s' kulikuwa na mgogoro wa kiuchumi ambao ulilazimisha nchi zetu kushusha thamani ya sarafu....unaweza kuona katika mageuzi ya kiuchumi na kukubaliana na IMF na World Bank kwenye utawala wa mwinyi shilingi yetu ilishushwa thamani ndiyo ikatengenezwa note ya sh 5,000 na sh. 10,000/- Au vilevile unaweza akaandika kitabu..lkn tatizo watu wetu hawapendi kusoma vitabu. Big up sana