Historia ya Qur'an

Hizi ni propaganda kama za marekani jikite kwenye maada mkuu soma historia ya quran upate mbili tatu za mtoa maada
Propaganda na wakati ndo ukweli soma historia ya jamii za kiarabu kabla muhammad hajazaliwa

Walikua na bifu kali sana ila walipatana tu kipindi wanaenda kufanya hija alkaaba ndo mda ambao kulikua na aman
 
Wale walikuwa ni wapagan hata baba yake muhammad alikua mpagani muabudu sanamu na walikua wana hiji kwa kuzunguka alkaaba sawa sawa walivyokua wanafanya waislamu leo

Hizo torati, injili walikua hata hawazijui
 
Propaganda na wakati ndo ukweli soma historia ya jamii za kiarabu kabla muhammad hajazaliwa

Walikua na bifu kali sana ila walipatana tu kipindi wanaenda kufanya hija alkaaba ndo mda ambao kulikua na aman
Kabla ya Muhhamad kulikuwa na madudu mengi jamii za kiarabu zilikuwa zinafanya

Kitu watakiwa kujua ni kuwa sio waarabu wote ni waislamu, ni kama wana wa israel na ukiristu, yesu aliwakuta na mila za ajabu akaja na hoja za kumjua Mungu wa kweli miongoni mwao wakamtundika msalabani.

Na sio huyo tu hata nabii Nuhu na watu wake kabla ya Nuhu walikuwa na mila za ajabu ila Nuhu akaja na hoja za dini na kumjua Mungu ila watu wakamfanyia vitimbwi

Mkuu balance hoja acha kujawa na chuki za kidini na propaganda
 
Yesu aliwakuta waisrael tayari wana biblia ni tofauti na muhammad

Alafu nionyeshe sehemu nilipofanya chuki dhidi ya uislamu kusema walikuwa wanazunguka alkaaba na kufunga kama wanavyofanya waisalmu wa sasa ndo chuki

Kwa lugha nyingine muhammad alicopy na kupaste taratibu zote za kusali na mapokeo kutoka kwa wale wapagani mababu zake hata madhabahu yao makka akaichukua
 
Kabla ya Yesu biblia ilikuwa na nani
 
Kabla ya Yesu biblia ilikuwa na nani
Ilikuwepo ndo maana yesu mara ya kwanza anahuburi sinagogi alifungua kitabu cha isaya

Luka 4:16-20
Baadaye Yesu akaenda Nazareti, mahali alipokulia. Siku ya sabato alikwenda katika sinagogi kama kawaida yake. Akasimama ili asome Maandiko. 17 Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifun gua mahali palipoandikwa: 18-19 “Roho wa Bwana yu juu yangu. Amenichagua kuwahubiria maskini Habari Njema. Amenituma kuwatan gazia wafungwa kuwa wako huru, kuwaambia vipofu kuwa wanaweza kuona tena; na kuwaweka huru wanaoonewa, na nitangaze mwaka ambao Bwana atawabariki watu wake.”20 Akakifunga kitabu, akamrud ishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.

Yesu anazaliwa tayari dini ya kiyahudi ipo na wana-biblia tayari
 
Ilikuwepo ndo maana yesu mara ya kwanza anahuburi sinagogi alifungua kitabu cha isaya

Yesu anazaliwa tayari dini ya kiyahudi ipo na wana-biblia tayari
Mkuu kiukweli mm sio msoma biblia kwaiyo hoja za kikiristu siwezi zitolea ufafanuzi hivyohivyo nawewe pia sio msoma quran ndio maana wachukua juu juu tu kwaiyo haina haya ya kubishana cha umuhimu pale tunapofahamu tuwe tayari kufahamishwa zaidi kwa kile tusichofaham

Acha mtoa maada atufahamishe historia ya qu'ran
 
Wakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwaweka waarabu ndani ya utawala mmoja wa kiimani, kabla waarabu walikuwa wakiabudu miungu yao mbalimbali kupitia masanamu Ili iwe rahisi kuwatawala, Majasusi wa Shirika la Jesuit vatican wakaanzisha dini mpya itwayo islam,itakayowaunganisha waarabu wote kiimani mwaka 600 AD. Mapadre watano wa kikatoliki ndio walioandika kitabu cha Quran na kumtafuta mwanamke mfanyabiashara aitwae Bi Hadija na kumpa utajiri. Bi khadija ndie alimtafuta kijana aitwae Muhammad akamkabidhi kwa mapadre wa kikatoliki ndio waliomfunza Quran mapangoni.Ndipo Uislamu ukaenea kwa kasi Sana Katika nchi za kiarabu ambazo zamani zilikuwa ni nchi za Kikristo ukavuka mpaka na kutaka kuingia nchi za Ulaya mashariki kutokea Uturuki Ili kwenda kuiteka Vatican, Majasusi wa Jesuit wakaingia tena vitani wakarudisha nyuma kupitia vita vya msalaba waarabu wakala Sana panga toka vatican wakarudi nyuma, rejea vita vya msalaba na ottoman empire. Majuzi magaidi wa ISIS tokea iraq wakataka kuendeleza mpango ulioshindwa wa ottoman empire kuupenyesha utawala wa kiislamu Ulaya. Wakasambaratishwa na USA na NATO na kumuua Al baghad kiongozi wa ISIS. Huku kundi la ISIL tawi la ISIS Syria likipelekwa kuzimu na ndege za Putin.
Dini zote uzionazo duniani ni tawi la ukatoliki, maprostetant wote ni watoto wa katoliki.
 
Maandishi mengi lkn kubwa umeonyesha ujinga wako kwa kukosa maarifa

Ushauri kwako chief,,,,,wakati mwingine kukaa kimya kutakuheshima zaidi

Asante
 
Wayahudi (Waisrael) wanawakana Waislamu na wakristo kuhusu Hilo
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe Ukatoliki ulikuwepo Kabla ya kristo na hamsemi 😳😳..
Mwaka 600 BC walikuwa Tayari wana nguvu 😳😳🤣🤣🤣🤣
 
kuna aya inayoelezea kuwepo kwa uislam kuanzia kwa Adam?
 
“Nashuhudia kwamba hakuna mungu ila Allah (s.w.t.); na ninashuhudia kwamba Muhammad ni mtumwa na Mtume Wake.”

Muhammad; huyu Mtume mpya wa Mungu, alijishindia mfuasi wake wa kwanza - Khadija– mke wake. Alikuwa ndiye wa kwanza, wa kwanza kabisa kuthibitisha imani yake katika Tawhid (Upweke wa Muumba), na alikuwa ndiye wa kwanza kabisa kumkubali Muhammad kama Mtume wa Allah (s.w.t.) kwa wanadamu wote. Alikuwa ndio Mwislamu mwanamke wa kwanza.

Muhammad “aliutambulisha” Uislamu kwa Khadija. Alimuelezea maana yake, na akamuingiza kwenye Uislamu.

Heshima ya kuwa mtu wa kwanza katika ulimwengu mzima kushuhudia Upweke wa Allah
(s.w.t.) na kuukubali utume wa Muhammad, ni ya Khadija kwa wakati wote.

F.E. Peters Anasema:

“Yeye (Khadija) alikuwa wa kwanza kuukubali ukweli wake wa wahyi wake (Muhammad), mwislamu wa kwanza baada ya Mtume (s.a.w.) mwenyewe. Alimtia moyo na kumsaidia Muhammad wakati wa miaka migumu ya mwanzo ya mahubiri yake ya hadhara, na katika miaka ishirini na tano ya ndoa yao hakuoa mke mwingine. Ndoa yao ilikuwa, kwa kiwango chochote cha akili cha kuamua, ni uwiano wa mapenzi na vilevile ubia wa ushirikiano. (Allah (s.w.t.)’s Commonwealth, New York)

Kama ilivyoonyeshwa kabla, Ali Ibn Abi Talib, alikuwa akiishi wakati huu na walezi wake, Muhammad na Khadija. Wale vijana wawili wa Muhammad na Khadija – Qasim na Abdullah walikwisha kufa katika uchanga wao. Baada ya kifo chao, walimchukua Ali kama mtoto wao. Ali alikuwa na umri wa miaka mitano alipokuja nyumbani kwao, na alikuwa na miaka kumi pale Muhammad alipofanywa Mtume wa Allah (s.w.t.) Muhammad na Khadija walimlea na kumsomesha.

Katika miaka iliyofuatia, alijionyesha mwenyewe kuwa ni “matokeo” bora sana ya malezi na elimu ile Muhammad na Khadija waliyompa.

Sir William Muir:

‘Mara tu baada ya kuijenga upya Al-Kaaba, Muhammad alijiliwaza mwenyewe kwa kupotea kwa mwanae mdogo Qasim kwa kumchukua Ali, mtoto wa rafiki yake na mlezi wake aliyetangulia, Abu Talib. Ali, wakati huu akiwa sio zaidi ya miaka mitano au sita ya umri, alibaki daima baadaye na Muhammad, na walionyeshana upendo wa baba na mwana.’ (The life of Muhammad, London, 1877)
 
Mbona wewe hujakaa kimya wakati hujui lolote? Jibu joja zangu kama wewe siyo boya tu
Maandishi mengi lkn kubwa umeonyesha ujinga wako kwa kukosa maarifa

Ushauri kwako chief,,,,,wakati mwingine kukaa kimya kutakuheshima zaidi

Asante
.
 
Anatoa ufafanuzi zaidi kuhusu Madina ambapo Uislam uliasisiwa mji ulio kilometa 500 toka Mecca

View: https://m.youtube.com/watch?v=nIJIT-pXI-8

Source : Nabii Eliya Ilyass
Huyu jamaa nakumbuka siku waliyomfukuza Uislamu..

Aliita Jopo la Ulaamaa Na Masheikh wa Madhehebu yote/Wawakilishi halafu akawaambia eti yeye Hamza amekuja kwenye Mwili Yeye ni Nabii Ilyassa (Nabii Elisha)..

Alipigwa Spana Na kufukuzwa kwenye uislamu Juu...

Akaanzisha Dini yake Yenye mchanganyiko wa Uislamu na Ukristo 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…