Historia ya Qur'an

Historia ya Qur'an

Hata hao mitume walikuja kabla ya Muhammad nao walikuwa ni Waislamu, lakini vitabu wakapewa na muongozo kadhalika.

Ulitakiwa ujue kwanza kwanini mitume na manabii huletwa, huletwa kwa sababu na hitajio sio kiholela holela, tu ndio maana Muhammad akaletwa na akapewa Muongozo.

Kwahiyo sababu ilikuwepo.
Taratibu za kusali alishushiwa muhammad kupitia quran inamaana hazikuwepo in first place
Yaani unaweza shushiwa taratibu ambazo zipo tayari acha uongo
 
Hakuna kiumbe anye weza kuitunga Qur'an, unaandika haya sababu huijui Qur'an.

Maneno yaliyomo humo hayatoki kwa kiumbe. Muwe mnafanya utafiti kabla ya kuandika sababu mnaonekana ni weupe mno, kwa kuandika juu ya kitu msichokijua.
Asilimia kubwa ya qurani habari zake zipo kwenye biblia
Kumbuka biblia ipo miaka zaid ya elfu 3 kabla hata muhammad hajazaliwa
 
Uislam ni dini inayofuata maandiko ya Quran na hadithi za mtume.

Je, kabla ya Quran na mtume, walikuwa wanafuata muongozo gani?
Walikuwa wanafata vitabu vingine kama vile Taurati, Zaburi na Injili.
 
Taratibu za kusali alishushiwa muhammad kupitia quran inamaana hazikuwepo in first place
Yaani unaweza shushiwa taratibu ambazo zipo tayari acha uongo
Kila umma ulipewa utaratibu wao wa kusali. Musali alipewa utaratibu, Kadhalika Issa na mitume wengine ila wote hao dini yao ni Moja ambayo ni Uislamu.
 
Kabla ya muhammad hata macca ilikuwa madhabahu ya wapagan hakukua na uislamu
 
Ndugu zangu, najua watu wengi wasio wa imani ya Kiislam hawasomi Quran na wala hawataki kuisoma.

Mimi nimefanikiwa kusoma vitabu vyote viwili, Biblia na Quran. Kwa ujumla Quran imekuja baada ya Biblia, yaani Mohammad kaja baada ya Ukristu kuwepo na Biblia kuwepo. Yesu alipokuja, shughuli yote iliishia hapo, badala yake aliefuata ni roho mtakatifu, baada ya hapo hakuna mtu yeyote aliekuja kuongeza wala kupunguza lolote juu ya neno la Mungu.

Kuhusu Mohamad kushushiwa Quran. Kwa kifupi Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi sana, ni mtu alieisoma Biblia au alikariri kwa umakini na akaja na idea ya kupinga utatu mtakatifu. Ukweli ni kwamba Mohammad alitunga Quran na kuanzisha dini, na msingi wake mkubwa ulikuwa ni kupinga utatu mtakatifu, ukuu wa Yesu na ufufuko wa Yesu, hizo ndio hoja zake kubwa.

Kwanini Quran ni kitabu cha kutungwa na mtu alieisoma Biblia vizuri,au alikariri Biblia?
1. Quran imewataja Wakristu kwa kutumia neno "watu wa kitabu, akimaanisha Biblia"
2. Quran haina muendelezo wa hadithi ambao umenyooka, maneno yake ni ya mkato mkato, ya kuunga unga, pia ya amri. Ndio maana Waislamu wengi hawawezi kukupatia historia ya Musa au Ibrahim, ni lazima waisome kwenye Biblia kwa sababu Quran haina mtiririko
3. Quran ina aya ambazo zimakaa kimajungu, mfano mdogo hii Sura An Nisha 171 ni mfano wa akili ya mtu binafsi akipika majungu Juu ya ukuu wa Yesu, na kukosoa Biblia. Kwa namna Yesu alivyokuja duniani, na maajabu yake yote aliyotenda, hakika hakuna wa kuja juu yake na kuongeza neno. Naweza sema Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili sana, amefanikiwa kushika akili za mamilioni ya watu hata sasa

Sura An Nisha 171

Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.​

Kuhusu Mohamad kushushiwa Quran. Kwa kifupi Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili, ni mtu alieisoma Biblia na akaja na idea ya kupinga utatu mtakatifu. Ukweli ni kwamba Mohammad alitunga Quran na kuanzisha dini, na msingi wake mkubwa ulikuwa ni kupinga utatu mtakatifu, hiyo ndio hoja yake kubwa.

Kwanini Quran ni kitabu cha kutungwa na mtu alieisoma Biblia vizuri,au alikariri Biblia?
1. Quran imewataja Wakristu kwa kutumia neno "watu wa kitabu, akimaanisha Biblia"
2. Quran haina muendelezo wa hadithi ambao umenyooka, maneno yake ni ya mkato mkato, ya kuunga unga, pia ya amri. Ndio maana Waislamu wengi hawawezi kukupatia historia ya Musa au Ibrahim, ni lazima waisome kwenye Biblia kwa sababu Quran haina mtiririko
3. Quran ina aya ambazo zimakaa kimajungu, mfano mdogo hii Sura An Nisha 171 ni mfano wa akili ya mtu binafsi akipika majungu Juu ya ukuu wa Yesu, na kukosoa Biblia. Kwa namna Yesu alivyokuja duniani, na maajabu yake yote aliyotenda, hakika hakuna wa kuja juu yake na kuongeza neno. Naweza sema Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili sana, amefanikiwa kushika akili za mamilioni ya watu hata sasa

Sura An Nisha 171

Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.​

Muhammad ni master wa fabrication hakuna anayemzidi

Hiki kitu watu wengi sana wanekiongelea Story nyingi sana kwenye quran ni fupi na hazina muendelezo wa hadithi ambao umenyooka, maneno yake ni ya mkato mkato, pia ya amri. Ndio maana Waislamu wengi hawawezi kukupatia historia ya Musa au Ibrahim, ni lazima waisome kwenye Biblia kwa sababu Quran haina mtiririko
 
Nyuzi nyingi sana lazima uhakikishe mada ya ushoga ya inakuwepo
Whats wrong with you
Mbona uko obssesed na mamb ya ushoga

Hujanijibu swali langu ??

wewe unawapenda mashoga ?? mbona unakasirika kuwaandika ??au wewe ni mmoja wao ?
 
Ndugu zangu, najua watu wengi wasio wa imani ya Kiislam hawasomi Quran na wala hawataki kuisoma.

Mimi nimefanikiwa kusoma vitabu vyote viwili, Biblia na Quran. Kwa ujumla Quran imekuja baada ya Biblia, yaani Mohammad kaja baada ya Ukristu kuwepo na Biblia kuwepo. Yesu alipokuja, shughuli yote iliishia hapo, badala yake aliefuata ni roho mtakatifu, baada ya hapo hakuna mtu yeyote aliekuja kuongeza wala kupunguza lolote juu ya neno la Mungu.

Kuhusu Mohamad kushushiwa Quran. Kwa kifupi Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi sana, ni mtu alieisoma Biblia au alikariri kwa umakini na akaja na idea ya kupinga utatu mtakatifu. Ukweli ni kwamba Mohammad alitunga Quran na kuanzisha dini, na msingi wake mkubwa ulikuwa ni kupinga utatu mtakatifu, ukuu wa Yesu na ufufuko wa Yesu, hizo ndio hoja zake kubwa.

Kwanini Quran ni kitabu cha kutungwa na mtu alieisoma Biblia vizuri,au alikariri Biblia?
1. Quran imewataja Wakristu kwa kutumia neno "watu wa kitabu, akimaanisha Biblia"
2. Quran haina muendelezo wa hadithi ambao umenyooka, maneno yake ni ya mkato mkato, ya kuunga unga, pia ya amri. Ndio maana Waislamu wengi hawawezi kukupatia historia ya Musa au Ibrahim, ni lazima waisome kwenye Biblia kwa sababu Quran haina mtiririko
3. Quran ina aya ambazo zimakaa kimajungu, mfano mdogo hii Sura An Nisha 171 ni mfano wa akili ya mtu binafsi akipika majungu Juu ya ukuu wa Yesu, na kukosoa Biblia. Kwa namna Yesu alivyokuja duniani, na maajabu yake yote aliyotenda, hakika hakuna wa kuja juu yake na kuongeza neno. Naweza sema Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili sana, amefanikiwa kushika akili za mamilioni ya watu hata sasa

Sura An Nisha 171

Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.​

Umeandika

Kuhusu Mohamad kushushiwa Quran. Kwa kifupi Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi sana, ni mtu alieisoma Biblia au alikariri kwa umakini na akaja na idea ya kupinga utatu mtakatifu. Ukweli ni kwamba Mohammad alitunga Quran na kuanzisha dini, na msingi wake mkubwa ulikuwa ni kupinga utatu mtakatifu, ukuu wa Yesu na ufufuko wa Yesu, hizo ndio hoja zake kubwa.

Swali

Lete ushahidi wa haya maneno yako kwamba Mtume alijua kusoma
 
ARV

Tuendelee na hoja hizi

2. Mungu wake alikuwa nani?
3. Kibla chake kilikuwa wapi?
4. Msikiti wake ulikuwa wapi?
5. Utaratibu wake wa kuswali ulikuaje?
6. Alikuwa akifunga Ramadhan? (Ilikuwa na maana gani kwake?
7. Alikuwa akienda kuzunguruka Kabah? Je Kabah Ilikuwa na midoli au haikuwa nayo

Kwa jinsi nilivyomuelewa aliye uliza mlengo mzima ulikuwa kabla ya Mtume swalla aallahu alayhi wassalamu kupewa Utume au kushushiwa wahyi/ufunuo

Kuhusu Mungu wake alikuwa nani,,, jibu ni moja tu Allah,,, ulimwengu una muumba mmoja tu

Kabla ya kupewa utume hakukuwa na kibla alichofuata,,,, ila ummati za mitume waliopita walikuwa wanafuata kibla chao Kwa maana kufuata kibla hakukuanza kwa Muhammad tu.

Kuhusu msikiti wake ulikuwa wapi, alikuwa bado kipindi hicho hajawa Mtume bado

Kuhusu utaratibu wa kuswali ulikuwa bado hujaanza kwake yeye,,,, ila mitume kabla yale walikuwa na taratibu zao, mfano nabii Mussa walikuwa wanaswali mara mbili kwa siku au walikuwa na swala mbili

Kuhusu kufunga ramadhani ilikuwa bado kwake ingawa mitume wengine walikuwa na sheria za kufunga

Kuhusu kwenda kuzunguka kaba yenye midoli hakufanya hivyo , Allah alimuepusha na ibada zote za kishirikina.

Asante.
 
Back
Top Bottom