Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Darsa zuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu za kusali alishushiwa muhammad kupitia quran inamaana hazikuwepo in first placeHata hao mitume walikuja kabla ya Muhammad nao walikuwa ni Waislamu, lakini vitabu wakapewa na muongozo kadhalika.
Ulitakiwa ujue kwanza kwanini mitume na manabii huletwa, huletwa kwa sababu na hitajio sio kiholela holela, tu ndio maana Muhammad akaletwa na akapewa Muongozo.
Kwahiyo sababu ilikuwepo.
Mbona unapenda kubadilisha lengo la uziSubiri uletewe na wazungu pesa dollar milioni kumi uendeleze ushoga , labda ndio unavyotaka
Funding for LGBTI communities in Africa is growing - but there's more to do particularly for women - The Baring Foundation
Asilimia kubwa ya qurani habari zake zipo kwenye bibliaHakuna kiumbe anye weza kuitunga Qur'an, unaandika haya sababu huijui Qur'an.
Maneno yaliyomo humo hayatoki kwa kiumbe. Muwe mnafanya utafiti kabla ya kuandika sababu mnaonekana ni weupe mno, kwa kuandika juu ya kitu msichokijua.
Walikuwa wanafata vitabu vingine kama vile Taurati, Zaburi na Injili.Uislam ni dini inayofuata maandiko ya Quran na hadithi za mtume.
Je, kabla ya Quran na mtume, walikuwa wanafuata muongozo gani?
Kila umma ulipewa utaratibu wao wa kusali. Musali alipewa utaratibu, Kadhalika Issa na mitume wengine ila wote hao dini yao ni Moja ambayo ni Uislamu.Taratibu za kusali alishushiwa muhammad kupitia quran inamaana hazikuwepo in first place
Yaani unaweza shushiwa taratibu ambazo zipo tayari acha uongo
Alafu tena akashushiwa vitabu hivyo vikiwa ndani ya quran we unaona ni sawaWalikuwa wanafata vitabu vingine kama vile Taurati, Zaburi na Injili.
Kipindi Qur'an ipo Biblia haikuwepo.Asilimia kubwa ya qurani habari zake zipo kwenye biblia
Kumbuka biblia ipo miaka zaid ya elfu 3 kabla hata muhammad hajazaliwa
Nani amesema hivyo vitabu Vimeo ndani ya Qur'an?Alafu tena akashushiwa vitabu hivyo vikiwa ndani ya quran we unaona ni sawa
Yaan ushushiwe kitu ambacho kipo tayari
Kabla ya muhammad hata macca ilikuwa madhabahu ya wapagan hakukua na uislamuKila umma ulipewa utaratibu wao wa kusali. Musali alipewa utaratibu, Kadhalika Issa na mitume wengine ila wote hao dini yao ni Moja ambayo ni Uislamu.
Hoja yako iko wapi ?Kabla ya muhammad hata macca ilikuwa madhabahu ya wapagan hakukua na uislamu
Yule niliyemjibu alikuwa kwenye mada ??Mbona unapenda kubadilisha lengo la uzi
Uzi hausu ushoga Jikite kwenye uzi
Yesu kazaliwa mwaka 0 na muhammad mwaka wa 600 huko alafu unasema biblia haikuwepoKipindi Qur'an ipo Biblia haikuwepo.
Nyuzi nyingi sana lazima uhakikishe mada ya ushoga ya inakuwepoYule niliyemjibu alikuwa kwenye mada ??
Muhammad ni master wa fabrication hakuna anayemzidiNdugu zangu, najua watu wengi wasio wa imani ya Kiislam hawasomi Quran na wala hawataki kuisoma.
Mimi nimefanikiwa kusoma vitabu vyote viwili, Biblia na Quran. Kwa ujumla Quran imekuja baada ya Biblia, yaani Mohammad kaja baada ya Ukristu kuwepo na Biblia kuwepo. Yesu alipokuja, shughuli yote iliishia hapo, badala yake aliefuata ni roho mtakatifu, baada ya hapo hakuna mtu yeyote aliekuja kuongeza wala kupunguza lolote juu ya neno la Mungu.
Kuhusu Mohamad kushushiwa Quran. Kwa kifupi Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili, ni mtu alieisoma Biblia na akaja na idea ya kupinga utatu mtakatifu. Ukweli ni kwamba Mohammad alitunga Quran na kuanzisha dini, na msingi wake mkubwa ulikuwa ni kupinga utatu mtakatifu, hiyo ndio hoja yake kubwa.
Kwanini Quran ni kitabu cha kutungwa na mtu alieisoma Biblia vizuri,au alikariri Biblia?
1. Quran imewataja Wakristu kwa kutumia neno "watu wa kitabu, akimaanisha Biblia"
2. Quran haina muendelezo wa hadithi ambao umenyooka, maneno yake ni ya mkato mkato, ya kuunga unga, pia ya amri. Ndio maana Waislamu wengi hawawezi kukupatia historia ya Musa au Ibrahim, ni lazima waisome kwenye Biblia kwa sababu Quran haina mtiririko
3. Quran ina aya ambazo zimakaa kimajungu, mfano mdogo hii Sura An Nisha 171 ni mfano wa akili ya mtu binafsi akipika majungu Juu ya ukuu wa Yesu, na kukosoa Biblia. Kwa namna Yesu alivyokuja duniani, na maajabu yake yote aliyotenda, hakika hakuna wa kuja juu yake na kuongeza neno. Naweza sema Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili sana, amefanikiwa kushika akili za mamilioni ya watu hata sasa
Sura An Nisha 171
Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.
Darsa zuri.
Nyuzi nyingi sana lazima uhakikishe mada ya ushoga ya inakuwepo
Whats wrong with you
Mbona uko obssesed na mamb ya ushoga
Ndugu zangu, najua watu wengi wasio wa imani ya Kiislam hawasomi Quran na wala hawataki kuisoma.
Mimi nimefanikiwa kusoma vitabu vyote viwili, Biblia na Quran. Kwa ujumla Quran imekuja baada ya Biblia, yaani Mohammad kaja baada ya Ukristu kuwepo na Biblia kuwepo. Yesu alipokuja, shughuli yote iliishia hapo, badala yake aliefuata ni roho mtakatifu, baada ya hapo hakuna mtu yeyote aliekuja kuongeza wala kupunguza lolote juu ya neno la Mungu.
Kuhusu Mohamad kushushiwa Quran. Kwa kifupi Mohammad alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi sana, ni mtu alieisoma Biblia au alikariri kwa umakini na akaja na idea ya kupinga utatu mtakatifu. Ukweli ni kwamba Mohammad alitunga Quran na kuanzisha dini, na msingi wake mkubwa ulikuwa ni kupinga utatu mtakatifu, ukuu wa Yesu na ufufuko wa Yesu, hizo ndio hoja zake kubwa.