Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Usijali tupo kwaajili ya kuhabarishanaNimefurahi sana kwa historia hii kujua!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali tupo kwaajili ya kuhabarishanaNimefurahi sana kwa historia hii kujua!!
Iran inasifika sana kwenye field ya medicine
Hapo kwenye Dodoma. Nini maoni yako kwa sasa?Darul salaam - City of peace
Mussa Hassani - Msasani.
Muhimbili ni spitali iliojengwa na wazee wetu waliothamini utu na taifa lao. Tanganyika ilikuwa ni taifa la kuheshimika na wazee wetu ndio waliopigania UHURU wa taifa letu.
Baada ya UHURU walioshika hatamu walihakikisha UISLAMU unadhibitiwa kwelikweli.
Wengi wenu ni watu wakuja hapa daresalaam na hata historia hamuijui ndio maana munajisemea maneno ovyo. Nyerere alitaka kuufanya mji mkuu kuwa DODOMA lakini imeshindikana.
Historia haifutiki na itabaki pale pale. Walioijenga nchi hii ni waislamu.