dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Dab na mzazi wake walipaswa kujua hiiWatu wanaacha alama zenye kukumbukwa miaka na miaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dab na mzazi wake walipaswa kujua hiiWatu wanaacha alama zenye kukumbukwa miaka na miaka
Hakuna mwenye uhakika nahii uliyoandikaila wao huko waliko hawakumbuki kama wanakumbukwa
wafu hawajui neno lolote wala hawanakumbukumbu huko ardhini Mhu 9:5Hakuna mwenye uhakika nahii uliyoandika
imejuaje?Acheni ujinga, katunyonya mara milioni ya hicho alichotoa.., ni wale wale tu wafanya bishara za utumwa...
Why sasa? Tunaijuwa Tz. Hayo mengine wekeni sehem zinafaaHUYU NDIYE MTU ALIYEJENGA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Katika Miji Ya Bhuj Na Kutch
Na Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko Zanzibar, Mnamo 1860 Akafungua Duka Lingine Kubwa Bagamoyo na Kuweka Makazi Yake, Biashara Zake Zikawa Kubwa Na Kuwa Tajiri Mkubwa Sana.
Alisaidia Watu Wote Bila Kujali Rangi, Dini Wala Kabila Zao, Alinunua Majengo Mengi Na Kuyafanya Maeneo Ya Watu Wasiojiweza, Alijenga Mashule ba Hospitali Kadhaa, Katika Mji wa Mzizima { Leo Inaitwa Dar es Salaam}.
Alijenga Hospitali Akaiita Sewahaji Hospitali Ikitoa Huduma Bure, Mnamo February 1897 Sheikh Sewa Haji Paroo Alifariki Dunia, Ilikuwa Ni Huzuni na Simanzi Kwa Wakazi Wa Bagamoyo Na Mzizima Kwa Kuondokewa Na Sheikhe Sewa Haji Aliependwa Sana na watu.
Baada ya Kufariki Kwake Wakoloni Baadaye Wakabadilisha Jina Kutoka Sewahaji Hospital Na Kuiita Princess Magreth Hospital, Na Mnamo 1963 Iliitwa Muhimbili Hospital, Na Mojawapo ya Wodi Katika hospital hiyo Inaitwa SEWA HAJI,
Sheikhe Sewa Haji Alale Mahali Pema..peponi 🙏
View attachment 2645161
Kwanini sasa hv tusieusishe hilo jina lake na hospital kuitwa Sewa Haji Referal & Memorial Hospital na hiyo Wodi ndio iitwe Muhumbili!HUYU NDIYE MTU ALIYEJENGA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Katika Miji Ya Bhuj Na Kutch
Na Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko Zanzibar, Mnamo 1860 Akafungua Duka Lingine Kubwa Bagamoyo na Kuweka Makazi Yake, Biashara Zake Zikawa Kubwa Na Kuwa Tajiri Mkubwa Sana.
Alisaidia Watu Wote Bila Kujali Rangi, Dini Wala Kabila Zao, Alinunua Majengo Mengi Na Kuyafanya Maeneo Ya Watu Wasiojiweza, Alijenga Mashule ba Hospitali Kadhaa, Katika Mji wa Mzizima { Leo Inaitwa Dar es Salaam}.
Alijenga Hospitali Akaiita Sewahaji Hospitali Ikitoa Huduma Bure, Mnamo February 1897 Sheikh Sewa Haji Paroo Alifariki Dunia, Ilikuwa Ni Huzuni na Simanzi Kwa Wakazi Wa Bagamoyo Na Mzizima Kwa Kuondokewa Na Sheikhe Sewa Haji Aliependwa Sana na watu.
Baada ya Kufariki Kwake Wakoloni Baadaye Wakabadilisha Jina Kutoka Sewahaji Hospital Na Kuiita Princess Magreth Hospital, Na Mnamo 1963 Iliitwa Muhimbili Hospital, Na Mojawapo ya Wodi Katika hospital hiyo Inaitwa SEWA HAJI,
Sheikhe Sewa Haji Alale Mahali Pema..peponi 🙏
View attachment 2645161
Acha mkuu waasisi siku zote hawakumbukwiKwanini sasa hv tusieusishe hilo jina lake na hospital kuitwa Sewa Haji Referal & Memorial Hospital na hiyo Wodi ndio iitwe Muhumbili!
Hii imeitwa muhimbili baada ya kuchukuliwa kutoka Kwa wakoloni ambao nao waliipokonya baada ya kifo Cha mwamba🙏🏽Jina muhimbili lilikuwa na maana gani?
Swali ni kuwa muhimbili ni nini!!!!Hii imeitwa muhimbili baada ya kuchukuliwa kutoka Kwa wakoloni ambao nao waliipokonya baada ya kifo Cha mwamba