Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

allah nijalie na mimi niwe mwenye kutoa misaada zaidi ya hawa na uzikubali
 
Kwa Mujibu wa Imani ya Sewahaji hiyo Ni Swadakat jaalia ( Sadaka yenye thawabu Hata Baada ya kufa kwako)
Hawa ndio walikuwa waisilamu, siyo waisilamu ubwabwa, full kijicho na inda, wengi wamo humu
 
Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Katika Miji Ya Bhuj Na KutchNa Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko Zanzibar, Mnamo1860 Akafungua Duka Lingine Kubwa Bagamoyo Na Kuweka Makazi Yake, Biashara Zake Zikawa Kubwa Na Kuwa Tajiri Mkubwa Sana, Alisaidia Watu Wote Bila Kujali Rangi, Dini Wala Kabila Zao, Alinunua Majengo Mengi Na Kuyafanya Maeneo Ya Watu Wasiojiweza, Alijengaja Mashule Na Hospitali Kadhaa, Katika Mji Wa Mzizima {Leo Inaitwa Dar es Salaam}.

Alijenga Hospitali Akaiita Sewahaji Hospitali Ikitoa Huduma Bure, Mnamo February 1897 Sheikhe Sewa Haji Paroo Alifariki Dunia, Ilikuwa Ni Huzuni Na Simanzi Kwa Wakazi Wa Bagamoyo Na Mzizima Kwa Kuondokewa Na Sheikhe Sewa Haji Aliependwa Sana, Baada Ya Kufa Kwake Wakoloni Baadaye Wakabadilisha Jina Kutoka Sewahaji Hospital Na Kuiita Princess Magreth Hospital, Na Mnamo 1963 Iliitwa Muhimbili Hospital, Na Mojawapo Za Wodi Inaitwa SEWA HAJI, Sheikhe Sewa Haji Alale Mahali Pema

IMG-20190416-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah long history, yaani hata wikipedia haipooo....Umezichimbua wahi hizi habariii?

Ivi huyu jamaa hakuacha ata vitukuu...NJUKURIiiii..waliokuwa na mtizamo ka wake..katika miji alopitaaa ?

Ka alifariki 1897 ...tuseme alikuwa na watotoo (wakaishi miaka 40-70), nao wakapata watoto (wakaishi miaka 40-70) ambao kwa sasa itakuwa ni third generation?
 
Sewa Haji Paroo (1851 in Bagamoyo – 10 February 1897 in Zanzibar) was a businessman of Indian origin. He was the main trader for the Sultan of Zanzibar. He also founded and financed the Sewa Haji Hospital which today is part of the Muhimbili Hospital in Dar es Salaam. Sewa Haji is considered the first philanthropist of East Africa. For example, he financed the building of a school, a mosque and several wells in his native Bagamoyo. Also he equipped the famous expedition of Henry Morton Stanley.
 
Back
Top Bottom