Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

Ndio ndio wapo wengi waanzilishi wa hospital wabarikiwe wamissionary walio anzisha kcmc,bugando,mount meru na nyingine nyingi🏃🏃.
 
Na sisi tujitahidi hata kama una kidogo kujenga kisima ni msaada mkubwa kwa jamii
Kutoa ni moyo wala sio utajiri maana wapo wenye hela nyingi lakini likitokea hata tatizo hasaidii
Mungu anamlipa fadhila hizi na ni wachache wanaofanya hivi


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna ile iliyoko karibu na bandari ndio hii ama?
 
Ndio ndio wapo wengi waanzilishi wa hospital wabarikiwe wamissionary walio anzisha kcmc,bugando,mount meru na nyingine nyingi[emoji125][emoji125].
Unaweza kumuangalia mtu usoni akafa wewe

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom