Bibie,
Uwongo ni uwongo tu. Hata kama utaubadilisha kuwa sera utaendelea kuwa ni uwongo. Kung'ata hakuna uhusiano wowote na kung'atuka. Na msikiti wa Butiama ulijengwa kwa uwezeshaji wa Mwalimu Nyerere. No matter how you and Barubaru spin it, uwongo utaendelea kuwa uwongo.
Kinyume cha kuuma ni nini?Labda nikupe suala kidogo hapo.
Kinyume cha Ng'ata ni nini?
Mwalimu Nyerere Memorial Lecture delivered by Prof. Haroub Othman on 14 October 2005 at the University of Cape Town, South Africa.
Poor Mohamed Said of Gerezani !
Kwa kuwa umenitaja, tafadhali niwekee huo "uongo" niliokuja nao, ukishindwa ina maana wewe ndiye muongo.
Labda nikupe suala kidogo hapo.
Kinyume cha Ng'ata ni nini?
Maktaba yako kubwa. Kisome tena ili uone mchango wa mila na desturi zetu kwa upande mmoja na UISLAMU kwa upande mwingine ulivyodumaza elimu hasa Pwani.WC,
Hicho kitabu nimekisoma ila sikumbuki hicho kipande cha elimu kinasema nini labda unikumbushe Insha Allah.
Mohamed
Kiswahili kina "exceptions" zake kama huna habari. Mfano tunatumia salamu "hujambo?" na "tunajibiwa "sijambo" ikiwa na maana niko salama sasa hujajiuliza kwa nini isiwe jibu lisiwe "najambo" kama unamaanisha uko salama?? Kwani neno Ng'ara kinyume chake ni Ng'aruka?
Nilipo RED.
Hakika siku zote lazima ujue unaandika katika mazingira gani hususan unapofuata tartibu na kanuun za uandishi.
lazima uelewe pamoja na uliobainisha lakini msingi mkuu wa uandishi unabaki pale pale ni kuelimishana, kupashana habari na kuburudisha jamii.
Siku zote mwandishi anapaswa kuandika kile tu alichokiona pasi na kuegemea upande wowote au kutoa suluhisho la tukio zima kwani kazi hiyo ya kuamua inabaki kwa wasomaji.
Lakini vile vile unatakiwa ujue kuna habari za aina tofauti tofauti. Anachoandika Bw Moh'd katika makala yake ni kuandika historia ya Tanzania. Na amejikita zaidi na kutafiti na kutoa kile anachoamini kuwa ni sahihi kuwajuza historia watanganyika ambao hawakuwepo wakti huo.
Na lazima ufahamu pia kuwa Historia haiwezi fichika na hakuna mwenye uwezo wa kuifuta au kuificha historia kwani hayo ni mambo yaliyofanyika katika jamii. Yawe mabaya au mazuri ni vyema yawekwe hadharani. (Historia ni kama pembe la ng'ombe). Na wajuzi wa mambo ndio maana wanaunda tume za maridhiano ili kuondoa pale penye kasoro na kuhakikisha mambo yanakuwa sawia siku hadi siku.
Usione wajinga South Africa kuunda tume ya maridhiano au Rwanda na mauaji ya kimbari. Hiyo yote ni kuisafisha historia kwani itajiandika kutetea kile kilichokuwepo.
Nawashauri wa Tanganyika ni vizuri kuipokea na kuipinga pale ilipoteleza na kuyafanyia kazi yale ya kweli kwa mustakabali wa nchi yenu. Kwani kuna mengi lakini kubwa kutokana na maandiko yake naona mengi yamejitokeza likiwamo la UDINI ndani ya jamii za wa Tanganyika.
Eleweni kuwa mficha maradhwi siku zote kifo kinamuumbua.
Kila la kheir
kimsingi huwa siwaelewi WAISLAM kabisaaaa. Kila jambo,sentensi, kauli au tendo linapofanyika, wao hulitafsiri kwa mujibu wa IMANI yao. Hii itawapa shida na kuwasumbua sana. Dini na Sayansi haviendani, lakini wao huilazimisha SAYANSI kuwa SEHEMU ya IMANI yao.huwez ajiriwa kwa kusoma Quran bhana, soma SAYANS tukupe kaz si vinginevyo
Mzee Mohamed Saidi, chuki na fitina zako ulizopandikiza kwa vijana wa kiislam wasioweza kuchambua mambo sasa hivi zimezaa matunda uliyoyataka. Wanafunzi wachache wa kiislam katika shule ya sekondari ya Ndanda iliyoko wilaya ya Masasi, wamesababisha fujo na maandamano yasiyo na msingi wakidai wajengewe msikiti ndani ya shule hiyo. Wanadai pia kuwe na serikali ya wanafunzi ya waislam. Wamekuwa wakiwatishia maisha wanafunzi wengine wasiotakakuwaunga mkono! Matokeo yake shule imefungwa na wanafunzi wote kurudishwa makwao. Wako wazee wakiislam wenye mtazamo wa Mohamed Saidi ambao wamekuwa wakichochea fujo hizo. Sasa mnakusudia nini kuwarubuni vijana hao kudai miskiti badala ya elimu bora?miskiti mashuleni itatatuaji mahitaji ya elimu nchini?kwanini mnasababisha vijana wachukiane kwa imani zao?Yameanza Ndanda, yatakapo enea nchi nzima mtafaidikaje?
Huyo aliyekufundisha, yeye alikuwa na kiwango gani cha elimu? Kwa kuwa wewe ni product ya huyo mwalimu, nina wasiwasi na huyo mwalimu !... Sheikh wangu Maalim Haruna (Mungu amrehemu)akitueleza katika madras
wakati anatufunza adab za mnakasha (majadiliano) kuwa dalili ya kwanza ya mtu kushindwa ni ukali na lugha zisizokuwa kiungwana.
Unatakiwa kujibu hoja, usituletee viroja hapa. Ww unajifanya 'tbs' hapa, hooovyo!Huyo aliyekufundisha, yeye alikuwa na kiwango gani cha elimu? Kwa kuwa wewe ni product ya huyo mwalimu, nina wasiwasi na huyo mwalimu !
Mag 3,
Poor me!
My foot.
Mohamed
kimsingi huwa siwaelewi WAISLAM kabisaaaa. Kila jambo,sentensi, kauli au tendo linapofanyika, wao hulitafsiri kwa mujibu wa IMANI yao. Hii itawapa shida na kuwasumbua sana. Dini na Sayansi haviendani, lakini wao huilazimisha SAYANSI kuwa SEHEMU ya IMANI yao.huwez ajiriwa kwa kusoma Quran bhana, soma SAYANS tukupe kaz si vinginevyo
.....Gerezani My foot......ni mamluki tu na vijiba vyenu....
Orodha ile ya JK ilikwenda mbali zaidi ya hao wazee wenu wa Gerezani. Wale wazee 17 ni waanzilishi/waasisi wa TANU. Sio wale wazee wenu waliosahaulika peke yao! Nikuulize Faiza, kwa nini JK alimsahau Zuberi Mtemvu?Haohao wa gerezani tumewasikia wakitajwa na Kikwete kwa mkupuo. Hapo sasa, katika ile list aliyotaja Kikwete ni wangapi wanatoka Gerezani na wangapi wanatoka sehemu moja nyingine?
Wepesi wa kusahau, mnasahau kuwa hata Nyerere alikaribishwa na hao wazee waliotajwa na Kikwete? au hamjamsoma Mohamed Said?
Orodha ile ya JK ilikwenda mbali zaidi ya hao wazee wenu wa Gerezani. Wale wazee 17 ni waanzilishi/waasisi wa TANU. Sio wale wazee wenu waliosahaulika peke yao! Nikuulize Faiza, kwa nini JK alimsahau Zuberi Mtemvu?