FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Embu acha hayo mambo yako,kama ni kosa la kimaandishi halina maana yoyote kwako wewe kuongeza "vikolombwezo" acha watu wajifunze kutoka kwa Mzee MS,hayo yakwako fungulia uzi wake.
Umekosea maandishi au kiswahili kinakupiga chenga? Hapa JF kuna fani nyingi na utegemee kutoka kwangu kupata elimu, japo kidogo kama uliyoipata sasa hivi, sitegemei kama utakosea tena pa kuweka "l" na "r" nna uhakika utakuwa una hakiki ili usimpe fursa FF na hapo inakuwa nimekusaidia ki elimu na nimewasaidia wengine wengi tu. AlhamduliLlah. Na umeelewa harisi pia ni bokoboko na umeelewa haris"I" ni mlinzi. Sio elimu hiyo? Tuendelee na mada.