Embu acha hayo mambo yako,kama ni kosa la kimaandishi halina maana yoyote kwako wewe kuongeza "vikolombwezo" acha watu wajifunze kutoka kwa Mzee MS,hayo yakwako fungulia uzi wake.
Embu acha hayo mambo yako,kama ni kosa la kimaandishi halina maana yoyote kwako wewe kuongeza "vikolombwezo" acha watu wajifunze kutoka kwa Mzee MS,hayo yakwako fungulia uzi wake.
FaizaFoxy said:Hiyo "harisi" una maanisha bokoboko lako? Au una maanisha mlinzi wako? Kama ni hayo uliomaanisha sidhani kama humu JF utampata atakaeongelea hayp labda Barubaru akusaidie.
Unanchekesha!
Watajua vipi kwamba naye kachangia leo? Lazima a-post chochote, mara "kachekeshwa" na bokoboko.. mara sijui nini yani mradi kaandika tu. Kama kukosea kimaandishi mbona si ajabu hebu angalia hapa katika kukukosoa mwenyewe pia kachemka..
Kiswahili cha Kariakoo au?
Tazama "keyboard" yako uone "o" iko wapi na "p" iko wapi halafu tazama "harisi" na "halisi" halafu uniambie huko ni kukosea maandishi au kukosea lugha? Unanchekesha!
Mzee Said.. Wewe ulianza kufanya utafiti wa kitabu chako cha Kiingereza lini na ulikamilisha lini hadi kikachapwa mwaka 1998. Yaani ulichukua muda gani kukamilisha uandishi wako wa kitabu cha Abdulwahid Sykes?
Na kama kumbukumbu zangu ni sahihi, aliyekuwa rais mwaka 1988 alikuwa Ali Hassan Mwinyi. Kwa hiyo kama gazeti la Africa Events lilikusanywa lisisambazwe basi hii ilifanyika chini ya rais Mwinyi, Muislamu mwenzenu.
Hii inanikumbusha kilio changu kwa Nyerere kwa kukatwa jina langu licha ya kufaulu vizuri mitihani yangu. Jee, Mkuki kwa nguruwe tu? Kwa binaadam mchungu?
Sasa ukaribu wa "o" na "p" ndio uhalalishaji wa wewe kuandika lugha isiyoeleweka na si mwingine? Kumbe unajua kuna typing error? nilidhani we mwerevu sana "hukosei". Pia pole sana kwa kudhani kila anayetumia mtandao lazima atumie Qwerty layout achilia mbali other devices ambazo hazina hata keyboard.. aibuuu
Uzembe wako na wazazi wako usimtupie lawama Nyerere. Hata mimi jina langu lilikatwa lakini wazazi wangu walipigania haki yangu.
Tukirudi kwenye hoja ya msingi, wakati hilo jarida linatoka na hatimaye kukusanywa tayari alhaji Mwinyi alikuwa ofisini magogoni kwa takriban miaka mitatu, sasa hapo Nyerere alihusikaje?
Nimeandika hapo kabla kwamba hata kama kuna mambo ya hovyo yamefanywa na waislamu lazima Nyerere atajwe. Mmejaa chuki, chuki, chuki, chuki!
Uzembe wako na wazazi wako usimtupie lawama Nyerere. Hata mimi jina langu lilikatwa lakini wazazi wangu walipigania haki yangu.
Tukirudi kwenye hoja ya msingi, wakati hilo jarida linatoka na hatimaye kukusanywa tayari alhaji Mwinyi alikuwa ofisini magogoni kwa takriban miaka mitatu, sasa hapo Nyerere alihusikaje?
Nimeandika hapo kabla kwamba hata kama kuna mambo ya hovyo yamefanywa na waislamu lazima Nyerere atajwe. Mmejaa chuki, chuki, chuki, chuki!
Bila shaka wazungu watakipenda kitabu chako kwa sababu kinalengo la kutugawanya ktk makundi ya udini... na wewe unatumika kama nyapala wa kueneza fimbo hizo..unaona rahaaa!Kilasara,
Ahsante kwa ushauri wako.
Kitabu ni "biased" kwa kuwa kimeandika kile ambacho Prof. Temu na Prof. Kimambo hawakukiandika?
Kitabu changu kilipitiwa na mmoja wa maprofesa wa historia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Alikisifia lakini aliumizwa na kule kwangu kuonyesha hila zilizokuwapo dhidi ya Uislam (sehemu ya tatu
ya kitabu).
Kwa hiyo si suala ya kitabu kutopitiwa. Kitabu kikapitiwa tena Uingereza kabla ya kuchapwa. Kitabu kikafanyiwa
"review" kadhaa Marekani na Ulaya.
Wote wamesema kitabu changu kimeongeza ufahamu wa nini kilipitika Tanzania kabla na baada ya uhuru na nini
ulikuwa mchango wa Waislam katika kuupigania uhuru.
Labda nikufahamishe maprofesa wa historia walioko hapo Mlimani wanakionaje kitabu changu.
Wanawavunja moyo wanafunzi wao wasikisome kitabu changu.
Mohamed
Bila shaka wazungu watakipenda kitabu chako kwa sababu kinalengo la kutugawanya ktk makundi ya udini... na wewe unatumika kama nyapala wa kueneza fimbo hizo..unaona rahaaa!
Hiyo ndio njia ya kupatia haki na hayo ndio majibu nnayoyakubali kabisa na haki ya mnyonge haikupatikana wakati wa Nyerere mpaka uwe na mbavu kama wazee wako. Na utawala huo wa kuonea wanyonge ndio mtawala wake afaae kuwa Mtakatifu, hilo naunga mkono mia kwa mia. Kama kigezo cha utakatifu ni dhulma nalipongeza kanisa katoliki.
Hili swali limeulizwa mara nyingi lakini mzee mohamed hajaridhia kulijibu.
Mzee mohamed kwanini usione umuhimu wa kujibu swali la mwanakijiji ili mnakasha uzidi kupanuka na kunoga? Hii si ndiyo elimu yenyewe unayokusudia kuwafikishia wanaukumbi? Tafadhali kwa hisani yako jibu swali hili ili mwanakiji afunguke kwa upande wake.
Sielewi unachozungumza maana ni wewe uloandika kwamba wazungu wamesema kitabu chako kimeongeza ufahamu wa nini kilipitika Tanzania kabla ya na baada ya Uhuru na nini ulikuwa mchango wa waislaam katika kuupigania Uhuru...Mkandara,
Umeingia tufanye mnakasha au umeingia kunitukana?
Mohamed
Sielewi unachozungumza maana ni wewe uloandika kwamba wazungu wamesema kitabu chako kimeongeza ufahamu wa nini kilipitika Tanzania kabla ya na baada ya Uhuru na nini ulikuwa mchango wa waislaam katika kuupigania Uhuru...
Statement hii peke yake ni matusi kwetu, na ndio nimekujibu wewe unayefurahia haya!