Hivi kwa nini baadhi ya waislamu wanataka special treatment katika nchi masikini kama ya kwetu? You guys wake up! Tufanye kazi tulijenge taifa na kila mmoja wetu atafaidika tuache hizi siasa mfilisi. Wote tuna shida na tunaumizwa na serikali hii hii ya wakristo na waislamu (Lowasa, Pinda na Kikwete!) Hivi kweli inawezekana mtu mwenye akili zake safi akasema kwamba taifa hili watu wanabaguliwa kwa ajili ya dini yao? Eee bwana watu mnachosha sana. TANZANIA ni ya watanzania wote..uwe muislamu, mpagani mkiristo au vinginevyo.I imagine mafisadi huko waliko wanavyochekelea kwa furaha..maana wanaweka sumu halafu wanaacha mnaumana wenyewe!
Halafu wakati mwingine najiuliza, hivi Tanzania ingekuwa haijawahi kuwa na viongozi waislamu nchi yetu ingekalika kweli? Mungu mkubwa..viongozi wetu wote wa juu ni hao hao waislamu. If thats what it takes kuwaridhisha hawa jamaa zetu..mi naona tuongozwe na waislamu tuu..kwa sababu hawa viongozi wetu sioni lolote la maana wanalolifanya! Its tragic kuona baadhi ya waislamu wanalia na historia wakati 'nyinyi' ndo mmeshikilia mpini wa madaraka leo hii katika nchi yetu. SASA JAMANI MNATAKA MPEWE NINI?????????? Au sote tuvae kanzu ndo mtaamini kwamba Tanzania ni nchi inayotoa fursa sawa kwa wote? Yaani mimi naumia sana nikiona mijadala na hoja za watu humu..ambao wao ni kulaumuu tuu..baada ya 'kukuna vichwa' na kuangalia namna ya kutatua matatizo ya taifa letu
I can guarantee you, hata leo Kikwete akiteua waislamu kwenye baraza lote la mawaziri/makatibu wakuu/wakurugenzi, I am sure hakuna mpagani au mkiristo atakayeandamana kwa hilo! Its a shame kuona kwamba kuna watu bado wanalia na uongozi wa Nyerere mzee aliyestaafu kibarua chake cha uongozi miaka mingi iliyopita! wakati wengine humu walikuwa hata hawajazaliwa...
Kuna waislamu kibao tunaona wame-win maisha mjini..hao walisoma wapi? acheni unafiki hapa. Umasikini utaondolewa na juhusi zetu wote kama taifa. Huyo 'shujaa' Malima ningemuheshimu kama angekuwa alifanya lolote la maana katika uchumi wa taifa letu! Nothing..zero!
Masanja