Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

FF,kaptura kaja nayo dar akitokea scotland kwa akina david livingstone ambaye aliwakuta watupu akawaonyesha ustaarab wa kuvaa nguo[/QUOT


Mungu wangu....huu ni msiba
Kaka SOA,ustaarabu wa kiisilam ulikuwapo kabla ya kuja kwa wamissionari katika pwani yetu....huwezi kuswali kama hujawa nadhifu kwa mwanaume nguo safi selawili chini ya magoti ,(sio kaptura),Livingstone kaja baadae saaana.


Sanda Matuta, ukiona hivyo wanatafuta pakutokea. Hujawajua tu bado?
 
mwarabu na selawili wapi na wapi? mwaarabu ustaarabu wake kanzu, hao wavaa suruali waliiona kwa mkoloni wale ma masters ndio walio kuwa wanavaa selawili hususana kwenye tafrija, wakiwa kazini ni mwendo wa kaptura, sasa wale walio jiona wazungu weusi ndio haiba yao ikawa kuvaa sarawili mida yote kuonyesha kwamba wanafana au wapo karibu na mthungu

Hiyo ndio nini? kama unamaanisha suruali basi hata hilo ni neno la kiarabu, soma historia itakujulisha suruali zimeanzishwa na nani. Just kukujuza tu, ni vazi la kike lililoanzia Mashariki ya kati. Utajaza mwenyewe.
fashio1.gif

 
Hiyo ndio nini? kama unamaanisha suruali basi hata hilo ni neno la kiarabu, soma historia itakujulisha suruali zimeanzishwa na nani. Just kukujuza tu, ni vazi la kike lililoanzia Mashariki ya kati. Utajaza mwenyewe.
fashio1.gif

hata wahindi akina mama wakivaa mavazi yao huva suruali kwa ndani, kwa hiyo usituaminishe kwamba ni vazi la waarabu
 
Hivi kwa nini baadhi ya waislamu wanataka special treatment katika nchi masikini kama ya kwetu? You guys wake up! Tufanye kazi tulijenge taifa na kila mmoja wetu atafaidika tuache hizi siasa mfilisi. Wote tuna shida na tunaumizwa na serikali hii hii ya wakristo na waislamu (Lowasa, Pinda na Kikwete!) Hivi kweli inawezekana mtu mwenye akili zake safi akasema kwamba taifa hili watu wanabaguliwa kwa ajili ya dini yao? Eee bwana watu mnachosha sana. TANZANIA ni ya watanzania wote..uwe muislamu, mpagani mkiristo au vinginevyo.I imagine mafisadi huko waliko wanavyochekelea kwa furaha..maana wanaweka sumu halafu wanaacha mnaumana wenyewe!

Halafu wakati mwingine najiuliza, hivi Tanzania ingekuwa haijawahi kuwa na viongozi waislamu nchi yetu ingekalika kweli? Mungu mkubwa..viongozi wetu wote wa juu ni hao hao waislamu. If thats what it takes kuwaridhisha hawa jamaa zetu..mi naona tuongozwe na waislamu tuu..kwa sababu hawa viongozi wetu sioni lolote la maana wanalolifanya! Its tragic kuona baadhi ya waislamu wanalia na historia wakati 'nyinyi' ndo mmeshikilia mpini wa madaraka leo hii katika nchi yetu. SASA JAMANI MNATAKA MPEWE NINI?????????? Au sote tuvae kanzu ndo mtaamini kwamba Tanzania ni nchi inayotoa fursa sawa kwa wote? Yaani mimi naumia sana nikiona mijadala na hoja za watu humu..ambao wao ni kulaumuu tuu..baada ya 'kukuna vichwa' na kuangalia namna ya kutatua matatizo ya taifa letu

I can guarantee you, hata leo Kikwete akiteua waislamu kwenye baraza lote la mawaziri/makatibu wakuu/wakurugenzi, I am sure hakuna mpagani au mkiristo atakayeandamana kwa hilo! Its a shame kuona kwamba kuna watu bado wanalia na uongozi wa Nyerere mzee aliyestaafu kibarua chake cha uongozi miaka mingi iliyopita! wakati wengine humu walikuwa hata hawajazaliwa...

Kuna waislamu kibao tunaona wame-win maisha mjini..hao walisoma wapi? acheni unafiki hapa. Umasikini utaondolewa na juhudi zetu wote kama taifa.

Masanja
 
Hivi kwa nini baadhi ya waislamu wanataka special treatment katika nchi masikini kama ya kwetu? You guys wake up! Tufanye kazi tulijenge taifa na kila mmoja wetu atafaidika tuache hizi siasa mfilisi. Wote tuna shida na tunaumizwa na serikali hii hii ya wakristo na waislamu (Lowasa, Pinda na Kikwete!) Hivi kweli inawezekana mtu mwenye akili zake safi akasema kwamba taifa hili watu wanabaguliwa kwa ajili ya dini yao? Eee bwana watu mnachosha sana. TANZANIA ni ya watanzania wote..uwe muislamu, mpagani mkiristo au vinginevyo.I imagine mafisadi huko waliko wanavyochekelea kwa furaha..maana wanaweka sumu halafu wanaacha mnaumana wenyewe!

Halafu wakati mwingine najiuliza, hivi Tanzania ingekuwa haijawahi kuwa na viongozi waislamu nchi yetu ingekalika kweli? Mungu mkubwa..viongozi wetu wote wa juu ni hao hao waislamu. If thats what it takes kuwaridhisha hawa jamaa zetu..mi naona tuongozwe na waislamu tuu..kwa sababu hawa viongozi wetu sioni lolote la maana wanalolifanya! Its tragic kuona baadhi ya waislamu wanalia na historia wakati 'nyinyi' ndo mmeshikilia mpini wa madaraka leo hii katika nchi yetu. SASA JAMANI MNATAKA MPEWE NINI?????????? Au sote tuvae kanzu ndo mtaamini kwamba Tanzania ni nchi inayotoa fursa sawa kwa wote? Yaani mimi naumia sana nikiona mijadala na hoja za watu humu..ambao wao ni kulaumuu tuu..baada ya 'kukuna vichwa' na kuangalia namna ya kutatua matatizo ya taifa letu

I can guarantee you, hata leo Kikwete akiteua waislamu kwenye baraza lote la mawaziri/makatibu wakuu/wakurugenzi, I am sure hakuna mpagani au mkiristo atakayeandamana kwa hilo! Its a shame kuona kwamba kuna watu bado wanalia na uongozi wa Nyerere mzee aliyestaafu kibarua chake cha uongozi miaka mingi iliyopita! wakati wengine humu walikuwa hata hawajazaliwa...

Kuna waislamu kibao tunaona wame-win maisha mjini..hao walisoma wapi? acheni unafiki hapa. Umasikini utaondolewa na juhusi zetu wote kama taifa. Huyo 'shujaa' Malima ningemuheshimu kama angekuwa alifanya lolote la maana katika uchumi wa taifa letu! Nothing..zero!

Masanja

Hivi nchi hii ingekalika ikiwa 70% ya mawaziri wangekuwa waislamu? (wakristo ndio wamechukua hiy asilimia sasa)

Hivi nchi ingekalika ikiwa 86% watumishi wa umma ni waislamu? (wakristo ndio wamechukua nafasi hiyo sasa) ikiwa Dr dau kelele hadi mnataka kufa..

Hivi nchi hii ingetawalika ingekuwa taasisi za kiislamu zingepewa fedha trillion 3 kila mwaka kutoka mfuko wa hazina (sasa hivi taasisi za kikristo zinapewa through MoU) wakristo wamepinga hadharani (maaskofu) serikali ku-finance mahakama ya kadhi..upo???

Hivi nchi hii inakalika tu ikiwa wakristo wanapendelewa? na waislam kunyonywa na kubaguliwa?

Sijakusoma mkuu?
 
Hiyo ndio nini? kama unamaanisha suruali basi hata hilo ni neno la kiarabu, soma historia itakujulisha suruali zimeanzishwa na nani. Just kukujuza tu, ni vazi la kike lililoanzia Mashariki ya kati. Utajaza mwenyewe.

Nilipo andika hilo neno nilijua utakosoa sikuwa na uhakika nalo.sawa ni suruali ila tunalo neno kwenye "mzizi" wa neno hilo ila silikumbuki kwa ufasaha "selawili" kwa maana ya suruali.asante kwa kunisahihisha tuendelee
 
Hivi nchi hii ingekalika ikiwa 70% ya mawaziri wangekuwa waislamu? (wakristo ndio wamechukua hiy asilimia sasa)

Hivi nchi ingekalika ikiwa 86% watumishi wa umma ni waislamu? (wakristo ndio wamechukua nafasi hiyo sasa) ikiwa Dr dau kelele hadi mnataka kufa..

Hivi nchi hii ingetawalika ingekuwa taasisi za kiislamu zingepewa fedha trillion 3 kila mwaka kutoka mfuko wa hazina (sasa hivi taasisi za kikristo zinapewa through MoU) wakristo wamepinga hadharani (maaskofu) serikali ku-finance mahakama ya kadhi..upo???

Hivi nchi hii inakalika tu ikiwa wakristo wanapendelewa? na waislam kunyonywa na kubaguliwa?

Sijakusoma mkuu?

Jamaa hawaoni kama wanaiba bali wanaona halali yao si umeona Juzi Askofu Mokiwa amewaambia mafisadi poa wasiwatenge waishi nao na kucheka pamoja non sense!!! Mtu anaiba kodi yangu ninayoitolea jasho mpaka mgongo kuuma halafu nimchekee nilitamani atokee kijana mmoja amnase kibao huyo askofu. Ila sishangai kama wenyewe wameshazoe kuiba Trilioni 2 hela za kina EL, Chenge na wengineo ni cha mtoto tu.....Wanakuja justification za ajabu kabisa ila mkuu Topical usitoke nje ya mada wewe wakikutoa warudishe kwani wanataka kuharibu mjadala. Nimewapa uhuru waanzishe topic kuhusu mfumo kristo tutakutana huko hapa tunamsubiri Sheikh Mohamed Said awashindilie misumari na nyundo maana inawapata mpaka wengine hawajui hata wanaandika nini!!!!
 
hata wahindi akina mama wakivaa mavazi yao huva suruali kwa ndani, kwa hiyo usituaminishe kwamba ni vazi la waarabu

Nna uhakika unaowasema ni wahindi wavaao Punjabi Dress lakini wahindi wahindu huwakuti wakivaa suruali vazi lao ni sari, Sasa jiulize hao wavaao Punjabi Dress waliitoa wapi hiyo mila? Na hili ndio vazi la Pakistan zaidi kuliko India. Just goodle Indian dress na google Pakistani Dress, halafu utapata jibu.

Sasa nijibu, "suruali" hilo neno, wachana na vazi ni la asili ipi? waulize na wenzako.
 
Hawa watu wana kila hila, wanatupeleka tusipokutaka. Sheikh Mohamed, shushaaaa! Nyundo tu, kwa hisani yako.
 
Hawa watu wana kila hila, wanatupeleka tusipokutaka. Sheikh Mohamed, shushaaaa! Nyundo tu, kwa hisani yako.

FF,

Hebu tupate faida katika haya hapa chini. Huu ndiyo mfumokirsto unaoendesha Tanzania ambao Waislam tunaulalmikia:

"The Catholic Church is in control of the government by proxy. Throughunseen hands it manipulates the political system in such a way its influencepermeates every sector of society from the mass media to selection of studentsto join secondary schools and other institutions of higher learning, securingscholarship, employment, promotion, for political office etc. etc. In short the Church is in control of theExecutive, Judiciary and the Legislature.[1] This isthe reason the political system has been able to manipulate the law withimpunity as far as it affects Muslim interests. The government has been able toignore serious petitions submitted to the President, Prime Minster, and theParliament by Muslims. The government with the support of the Christiandominated press has been able to control and shape public opinion against Islamand Muslims. The Church perceive Islam as an enemy it therefore has in operationstrategies to ounter its development.[2] Evidenceto this fact has been uncovered by Muslim as well as Christian scholars.[3]Throughresearch and many years of observations it is now possible to know a little howthe unseen hand of the Church functions. It works like a secret society and yetit is not one at least from outside. It works in a two prong fashion. It hasagents in all important institutions of the civil society who co-ordinatestheir activities when the need arise forming what could be identified as theChristian lobby. This is a multi-denomination power house. Interesting is thefact that this alliance has been able to even recruit Muslims and alleviatedthem to important positions in the government and the media. The main functionof these Muslims is to soften blows against Muslims interests and give apleasant perception in the eyes of the public in issues where the governmenthas to confront Muslims. The dirty work for example, to order force to be usedagainst Muslims or to undermine a Muslim in an important position who it is tothe interest of the Church that he be sorted out, such tasks will always be apportioned to these Muslimsin the Christian lobby.[4] TheseMuslims can be found in the media, in echelon of the CCM, the government, the policeetc. etc. These Muslims are wellrewarded and are a government into themselves. Unique in these Muslimpersonalities is that they endure the political system. They are the show pieceto display to the Muslim majority that the government does not discriminate.This system has perfected itself and is now self - propelling. It can work independent of whoever is incommand, as seen in the ten year period (1985-1995) when a Muslim president,Ali Hassan Mwinyi was in power and now that another Muslim holds the reigns.Subtleoppression and propaganda unleashed on any people for many years is bound tohave negative effect in their psychology. Majority of Muslims are poor due to impedimentsunleashed on their path towards upward mobility and will continue to suffer ifdeliberate efforts are not carried out to reverse the situation. On the otherhand the Church has also suffered in its own peculiar way as it now lives in fearand there are few Christians who have seen the danger of Christianity as adoctrinaire being turned into a government within a government and these“sympathizers” have crossed over to the sprouting Pentecostal churches.Tanzania has in place self-generating mammoth machinery, blind anduncontrollable. It cannot think and therefore it is failing to see the dangereven when it knocks on its door, the danger which will not only destroy theChurch but also the country. The Church machinery now in motion for more than acentury and like a true machine it would not wake up. It would only stop whenthe fuel and grease which propels and oils its parts is exhausted. By then itwould be too late. The Church has failed to wake up to the realities that itcannot operate as it did, first under colonialism and later under two Catholicpresidents, Nyerere and Mkapa. It cannot always be business as usual. This isproven in the way the government has failed to approach the stagnating Muslimproblem and the now new Muslim movement which has gained momentum since thelast general election of 2010 in which religious sentiments were out in theopen. If the status endures signs are that Muslims will confront the CatholicChurch as they had confronted Germany and British colonialism."

[1]The following are few names of Muslims who were over the years punishedby the Christian Lobby for contravening church interests: Mufti Sheikh Hassanbin Amir, Tewa Said Tewa, Bilal Rehani Waikela, Prof. Kighoma Ali Malima,Abubakar Mwilima, Aboud Jumbe, KitwanaSelemani Kondo, Manju Msambya, etc.
[2]In 1968 thegovernment banned the East African Muslim Welfare Society. In 1980s thegovernment refused to allow Organisation of Islamic Conference (IOC) to build auniversity in Tanzania instead IOC built it in Mbale, Uganda. In 1990s DarulIman from Saudi Arabia wanted to build a school but was made to understand itwas not wanted when it received negative press and harassment and as a resultit closed its office in Dar es Salaam. In 2002 the Parliament passed the Preventionof Terrorism Act of 2002 which targeted Muslims. See Mohamed Said, “Terrorism”in East Africa the Tanzanian Experience,”2006, paper presented at a conference organised by Department ofArabic and Islamic Studies University ofIbadan, Nigeria.
[3] Jan P van Bergen, Religion andDevelopment in Tanzania, (Madras, 1981), John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992). K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis,University of Dar es Salaam.
[4]Christianlobby with the help of senior officials in the ministry stoop as low as tosteal the 1994 Ministry of Finance Budget speech before it was presented to theParliament by the minister Prof. Malima. The day before the budget speech theconspirators locked themselves in a hotel room in the city centre coaching eachother on how to tackle Prof. Malima the following day. Reflecting on the stolenbudget speech Prof. Malima said that the moment the lobby began commenting onhis speech he had a vision of marking a paper of dumb students who had cheatedan examination. The head of these conspirators was a Muslim. There was alsoinside the House an organised group of about 60 to 80 Christian MPs who wouldjeer at Prof. Malima every time he spoke inside or outside Parliament buildingsor during debating of bills that he was supposed to defend. The anti-Malimacommittee had journalists in its payroll who would in their papers portrayProf. Malima negatively. Among thosepapers was the Roman Catholic paperKiongozi.See Kiongozi March 1-15, 1994.

Mohamed
 
Hiyo ndio nini? kama unamaanisha suruali basi hata hilo ni neno la kiarabu, soma historia itakujulisha suruali zimeanzishwa na nani. Just kukujuza tu, ni vazi la kike lililoanzia Mashariki ya kati. Utajaza mwenyewe.
fashio1.gif

Hii si picha ya Mwarabu. Ni Mmisri wa kale kabla nchi haijavamiwa na Waarabu. Masalia wao ndio Waethiopia wa leo na Wanubi wa Sudan. Na wewe kajifunze historia.
 
Jamaa hawaoni kama wanaiba bali wanaona halali yao si umeona Juzi Askofu Mokiwa amewaambia mafisadi poa wasiwatenge waishi nao na kucheka pamoja non sense!!! Mtu anaiba kodi yangu ninayoitolea jasho mpaka mgongo kuuma halafu nimchekee nilitamani atokee kijana mmoja amnase kibao huyo askofu. Ila sishangai kama wenyewe wameshazoe kuiba Trilioni 2 hela za kina EL, Chenge na wengineo ni cha mtoto tu.....Wanakuja justification za ajabu kabisa ila mkuu Topical usitoke nje ya mada wewe wakikutoa warudishe kwani wanataka kuharibu mjadala. Nimewapa uhuru waanzishe topic kuhusu mfumo kristo tutakutana huko hapa tunamsubiri Sheikh Mohamed Said awashindilie misumari na nyundo maana inawapata mpaka wengine hawajui hata wanaandika nini!!!!
Hapa mbona umewataja Chenge na Lowassa tu? Rostum, Kikwete, Karamagi, Hussein Mwinyi, Ridhwani unawaweka wapi? Ufisadi hauna dini ndugu yangu.
 
Eeeh bwana weee! yaani mtu mweusi kapiga linen suit nyeupeee!..halafu mnataka kuleta maneno machafu?....Yap, nimemkubali jamaa sijui nani huyu!

Na hiyo nna uhakika ni Dar Es Salaam. Nioneshe picha ya huyo mzungu miaka 5 baada ya hapo kama wazee wa Dar. Hamjavua hiyo.
 
Hawa watu wana kila hila, wanatupeleka tusipokutaka. Sheikh Mohamed, shushaaaa! Nyundo tu, kwa hisani yako.
angalau ingekuwa sledge-hammer..ila nyundo yenyewe ya plastic ...kwa hiyo atashusha nyundo we mpaka atakaposhika mkongojo..! Zaidi ya kujifariji wenyewe hizo nyundo hazina manufaa yeyote kwenu!
 
angalau ingekuwa sledge-hammer..ila nyundo yenyewe ya plastic ...kwa hiyo atashusha nyundo we mpaka atakaposhika mkongojo..! Zaidi ya kujifariji wenyewe hizo nyundo hazina manufaa yeyote kwenu!

Sweke34,

Tumezunguka nchi nzima kuwaeleza Waislam kuhusu mfumokristo na wameuelewa. Hili kwetu si dogo. Ama la kujifariji. Faraja ni kitu chema. Baada ya kazi ya takribana miaka 40 matokeo yake ni haya soma hapa chini:
"Muslims are now organising nationwide mass rallies which openly and inlive broadcasts denounce the church, criticise the government and church agentswithin the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the Parliament for oppressingMuslims. Seemingly derogatory words like "pandikizi" (singular) and"mapandikizi" (plural) meaning "turncoats;" or the new coined word "MfumoKristo" roughly meaning "Christian dominance" are now part of the Muslim and Swahilivocabulary. These analogies are used freely in the Muslim media and amongMuslims in every day conversation. But what usually thrills Muslims and utterlysignificant showing that times have changed is when in the rallies and innormal discussion Muslims refer to Nyerere hitherto known respectfully as "Babawa Taifa" as "Baba wa Kanisa," meaning "Church Elder."[1] The moveby the Catholic Church to make him a saint has not helped matters. More so itproves all the allegations levelled against Nyerere that he never was anationalist but a Catholic zealot. Respectand love which Muslims once had for Nyerere has been completely wiped out. Thenew generation of Muslims no longer believe in the official history of TANU andthe propaganda that it was Nyerere who single handed defeated the British.Muslims instead are honouring the forgotten heroes of independence movement andin so doing invoking emotions particularly in the new generation to stand upagainst oppression as their forefathers had done against Germans and theBritish. Muslim heroes of the Maji Maji War like Suleiman Mamba, Ali SongeaMbano,[2] andMuslim nationalists like Abdulwahid [3] and AllySykes,[4] DossaAziz, Sheikh Hassan bin Amir,[5] SheikhSuleiman Takadir, Sheikh Yusuf Badi, Bibi Titi Mohamed,[6] BibiTatu bint Mzee, Bilali Rehani Waikela,[7] Ali Migeyo[8] andothers are now part of nationalist history which was suppressed for many years.[9] Muslimsare demanding the restoration of their history and honour as true liberators ofTanganyika. This is unprecedented. One can only speculate and wonder where thiswould lead to. Can we identify thisphenomenon as corrective and revision of history or is it a lesson of anarchyin recording history?[10] Theresult of all this is that the Church has been made to stand naked. That theChurch did not play any role during Maji Maji[11] orduring the struggle against the British or that it has worked hand in hand withthe government to sabotage Islam and Muslims is now common knowledge. "

Mohamed


[1] The late Prof. Haroub Othman after reading Sheikh Ali Muhsin's book Conflict and Harmony in Zanzibar and thewriter's book The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialismin Tanganyika, Minerva Press, London 1998 andhaving come across hitherto unknown information on Nyerere was devastatedbecause he was a great admirer of Nyerere as a patriot and a nationalist. Thetwo books had painted him differently. Prof. Haroub confronted Nyerere and toldhim that the allegations in those two works have tarnished his image and headvised him to respond to them. Nyerere never did. Christian lecturers at Dares Salaam University are discouraging students from making references to thosetwo books. Dr. Harith Ghassany's book KwaheriUkoloni Kwaheri Uhuru, has also come up with more information on Nyererehitherto unknown in the Zanzibar Revolution and the bloodbath which followed.
[2] In all historical references to Maji Maji War hero and Chief of WangoniAli Songea Mbano, his Muslim name "Ali" would be omitted and he would bereferred to as Songea Mbano.
[3] MohamedSaid, The Life and Times of AbdulwahidSykes (1924 –1968), The Untold Story of the Muslim StruggleAgainst British Colonialism in Tanganyika Minerva Publishers, London, 1998.
[4] Mohamed Said, Broken Dreams, TheLife of Ally Kleist Sykes, Phoenix Publishers, Nairobi 2011 (Forthcoming).
[5] Issa Ziddy, Sheikh Hassan bin Ameir (1880-1979). Also See Mohamed Said, "Sheikh Hassan bin Ameir -The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968)" (Paperpresented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly ofMuslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP]February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004.
[6] Bibi Titi was recruited into TANU by Schneider Abdillah Plantan andbegan to mobilize people particularly women to join the party even before hecame to know Nyerere.
[7] Bilali Rehani Waikela one of the TANU founder members in WesternProvince in 1955 and Regional Secretary of the East African Muslim WelfareSociety (EAMWS) was detained by Nyerere in 1964 for "mixing religion andpolitics." His personal papers were of great help in understanding the EAMWScrisis of 1968 and the reasons why Nyerere detained prominent sheikhs andbanned the society in 1968. A documentary of his political life has been madeand although not officially recognized as a patriot Muslims now consider him asone of the heroes of the independence movement. For more information seeMohamed Said, "In Praise of Ancestors," AfricaEvents (London) March/April 1977.
[8] G. Mutahaba, Portrait of aNationalist: The Life of Ali Migeyo, East African Publishing House, 1969.
[9]Maji Maji Museum in Songea which has been greatlydesecrated removing all signs of Muslim symbols during the Maji Maji War withGermans. The Maji Maji Museum at Peramiho under the Catholic Church has closedits doors to young Muslims for fear of criticism for distorting history. AllMuslim symbols in Maji Maji War against Germans have been obliterated in theMaji Maji Museum.
[10] A children's bookauthored by the current writer, Torch onKilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2007 has been blacklistedand cannot be included as a reader in schools because it contravenes theofficial history.
[11] Yusuf Halimoja, Historia ya Masasi,East African Literature Bureau, Nairobi, 1977 pp 163 175 gives a narration howChristians fought alongside Gerrmans during Maji Maji. Also see P. GeroldRupper, OSB, Pugu Hadi Peramiho: Miaka100 wa Wamishionari Wabenediktini Katika Tanzania, BenedictinePublications, Ndanda Peramiho, 1980, pp 31- 42.

 
Sweke34,

Tumezunguka nchi nzima kuwaeleza Waislam kuhusu mfumokristo na wameuelewa. Hili kwetu si dogo. Ama la kujifariji. Faraja ni kitu chema. Baada ya kazi ya takribana miaka 40 matokeo yake ni haya soma hapa chini:
"Muslims are now organising nationwide mass rallies which openly and inlive broadcasts denounce the church, criticise the government and church agentswithin the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the Parliament for oppressingMuslims. Seemingly derogatory words like "pandikizi" (singular) and"mapandikizi" (plural) meaning "turncoats;" or the new coined word "MfumoKristo" roughly meaning "Christian dominance" are now part of the Muslim and Swahilivocabulary. These analogies are used freely in the Muslim media and amongMuslims in every day conversation. But what usually thrills Muslims and utterlysignificant showing that times have changed is when in the rallies and innormal discussion Muslims refer to Nyerere hitherto known respectfully as "Babawa Taifa" as "Baba wa Kanisa," meaning "Church Elder."[1] The moveby the Catholic Church to make him a saint has not helped matters. More so itproves all the allegations levelled against Nyerere that he never was anationalist but a Catholic zealot. Respectand love which Muslims once had for Nyerere has been completely wiped out. Thenew generation of Muslims no longer believe in the official history of TANU andthe propaganda that it was Nyerere who single handed defeated the British.Muslims instead are honouring the forgotten heroes of independence movement andin so doing invoking emotions particularly in the new generation to stand upagainst oppression as their forefathers had done against Germans and theBritish. Muslim heroes of the Maji Maji War like Suleiman Mamba, Ali SongeaMbano,[2] andMuslim nationalists like Abdulwahid [3] and AllySykes,[4] DossaAziz, Sheikh Hassan bin Amir,[5] SheikhSuleiman Takadir, Sheikh Yusuf Badi, Bibi Titi Mohamed,[6] BibiTatu bint Mzee, Bilali Rehani Waikela,[7] Ali Migeyo[8] andothers are now part of nationalist history which was suppressed for many years.[9]Muslimsare demanding the restoration of their history and honour as true liberators ofTanganyika. This is unprecedented. One can only speculate and wonder where thiswould lead to. Can we identify thisphenomenon as corrective and revision of history or is it a lesson of anarchyin recording history?[10] Theresult of all this is that the Church has been made to stand naked. That theChurch did not play any role during Maji Maji[11] orduring the struggle against the British or that it has worked hand in hand withthe government to sabotage Islam and Muslims is now common knowledge. "

Mohamed
Haaa haaa haa! leo hii kuna member waislaam wengi CCM kuliko wakati wowote! na wameyabeba mabango kwa ajili ya CCM... Wengine tunao humu JF, wengi wameondoka hata CUF na hawataki hata kusikia, halafu unataka kusema vitu vilivyotungwa na mtu akilini wakati hajui ukweli umesimama wapi?
 

Mdondoaji,

Mama Maria siku alipofikishiwa taarifa za kifo cha Abdu alianguka akapoteza fahamu.


Huyu huyu ambaye mume wake alikuwa na chuki na Waislamu na Uislamu? Alianguka na kuzimia kwa kushtushwa na habari ya kifo cha mtu ambaye hawakuwa karibu na kuheshimiana? Maana hili la watu wa Nyerere kulia hadharani kwenye misiba ya viongozi wa Kiislamu hujalisema hapa tu. Mahali pengine umetusimulia jinsi Nyerere alivyolia na hata kukataa kuingia kwenye gari wakati wakitoka mazikoni. Lakini bado unaamini kabisa alikuwa na chuki na Uislamu na Waislamu - the epitome of contradictions!

Unajua Nyerere alikuwa na dada yake anaitwa Sophia ni marehemu. Huyu mama aliolewa
na Lawrence Gama.

Basi Bwana Abdu kwa mapenzi aliyokuwanayo kwa Sophia alikuwa haipiti siku mbili tatu atakwenda
kumjulia hali na gari yake kwenye buti katika vitu kwa ajili ya watoto wa Sophia.

Watoto wa Gama ni wakubwa sasa bila shaka wanakumbuka "Uncle Abdu." Wote hawa
wakija kwa Bi Mluguru pale Kirk Street. Mimi pale nikenda kumfuata 'pacha mwenzangu" Ebby.

Nimelisema hili sikutaka lakini nia ni kukufahamisha hawa mie nawajua ni wazee wangu.

Siku hizo Abdu anaendesha Mercedes Benz.

Mohamed

Yote hayajibu swali la kwa nini hujajaribu kukaa na mama Maria ambaye mwenyewe umesema "anayajua yote" japo sielewi unaposema "yote" unamaanisha nini na unajua kama anayajua yote kama hujawahi kwenda kumuuliza. Itakuwaje kuwa labda alikuwa hajui yote.
 
Hilo swali la mambo ya EPA, ndege ya rais nk kalielekeza sipo.

Mohamed

Unafikiri kuna uhusiano wowote kati ya Mfumo Kristo na Mfumo wa utawala wa kifisadi na kukipinga kimoja ni kukipinga cha pili na kukiachia kimoja ni kukiachia cha pili? Au uamini kuwa upo ufisadi nchini?
 
Nadhani Mzee wangu MS unapotoka na kuzeeka vibaya kwa kupanda mbegu ya chuki pasipo na sababu. Mwarabu ndiye alikuwa wa kwanza kuja Tanganyika baadaye wazungu, naomba unitajie shule alizojenga Mwarabu alafu Waislamu wakazuiwa kusoma. Baada ya uhuru kupatikana wote waliokuwa na sifa walipata kazi na maisha yakaendelea.
Mzee Mwinyi, hayati Kawawa, Kigoma Malima walisoma wapi?
Nchi ilipopata uhuru waislamu walikuwa na shule ngapi na wakristo ngapi.
Sipendi kuona huu mjadala unaowagawa WTZ ukiendelea, na je wasiofuata hizi IMANI MBILI hawana haki ya kuishi katika nchi hii. Tuache Udini sio Sifa.
 

.........."MfumoKristo" roughly meaning "Christian dominance" are now part of the Muslim and Swahilivocabulary. ....

Mohamed Said waht if after getting rid fof mfumo kristo Waislam wakiuliza kwa nimi "mfumo uisilam" unakuwa dominated na waislam wa pwani. na na sio wale wa bara?


Mohamed Saidi said:
.......Tumezunguka nchi nzima kuwaeleza Waislam kuhusu mfumokristo na wameuelewa. Hili kwetu si dogo. Ama la kujifariji. Faraja ni kitu chema. Baada ya kazi ya takribana miaka 40 matokeo yake ni haya soma hapa chini:
"Muslims are now organising nationwide mass rallies which openly and inlive broadcasts denounce the church, criticise the government and church agentswithin the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the Parliament for oppressingMuslims.

Na je hata wale vijana wa Lindi, mtwara amabako gas na exploration ya mafuta infanyika. Ujumbe ndio huu tu.
  • Hakuna ujumbe wa shule na elimu dunia kwa kuwa tayari wanaya ya Kutosha?
  • Hakuna Program za kuwahamsiaha na kuwatafutia na uwpelekea hata scholarsihip na program fupi za kifundi kutoka wenye nchi rafiki za kiislam. ?
Je
  • Mnawaambia mikataba mibovu yote ya madini inayoingia na iliyoingia serikali ni matunda ya mfum kristo na ni sehemu ya mfumo Nyerere.
  • Mnawaambia as long as mfumo kristo usipokuwepo basi wao vijana ndio watakuwa ma CEO na mameneja kwenye hayo makampuni yanyokuja.
Kazi mnayo
 
Back
Top Bottom