Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa


Mkuu, ningependa kama unazo utumwagie hapa takwimu za lets say kuanzia mwaka 2005 mpaka 2010 zinanazoonyesha uwiano wa wanafunzi wakristu/waislam waliokuwa primary , waliochaguliwa kwenda secondary schools na waliochaguliwa kuingia kwenye vyuo vyetu! Nilikuwa nataka kujua kama hizo takwimu zako(ingawa siziamini) bado zina relevance hata leo hii!
 

Huyu ni Lady Judith Listowel, "The Making anf Tangnayika," Chatos and Windus, 1965. Kitabu hiki ni "out of print" lakini nakala moja ipo East Africana, University of Dar es Salaam Library. Nakala nyingine anayo Ally Sykes katika maktaba yake na mimi nina photocopy.

Katika passage uloweka hapa kuna "grammatical errors" nadhani ni sababu ya kupiga chapa.

Sasa ngoja nami nikupe ninayoyajua kuhusu Judith Listowel:

"Mwaka 1962 Judith Listowel alipokujaTanganyika kufanya utafiti kabla hajaandika kitabu chake The Making ofTanganyika, alitaka sana kufanya mahojiano na Abdulwahid. Kwa kujua matatizoyaliyokuwa yanakabili historia ya Tanganyika mara ya kwanza ilipojaribiwakuandikwa, Abdulwahid alijaribu sana kumkwepa Listowel. Listowel alipokuja kumkamata Abdulwahidnyumbani kwake Magomeni Mikumi, yeye hakupenda kueleza mchango wake walawa baba yake katika kuaisisi AfricanAssociation na TANU. Kwa kweli katika mahojiano yake Listowel hakupata chochotecha maana sana. Hata hivyo Listowel aliweza kuelezwa na Abdulwahid jinsi TANUilivyokuja kuasisiwa. Listowel alikuja kuandika katika kitabu chake kuwa:ëAbdul Sykes, kaka yake Ally, alisema kuwa ilibidi waamshe fikra za siasa zawananchi ili kiundwe chama cha siasaí.[1] Kutokana na mazungumzo haya na Abdulwahid,Listowel alimwandikia Ally Sykes, "Nimependezwa sana na kaka yako naningefurahi kama ningepata wasaa wa kuwa na mazungumzo na yeye zaidi."[1]Akiwa London Listowel alimuandikia Ally Sykes mara kadhaa akitaka ufafanuzikuhusu mambo mengi muhimu katika historia ya Tanganyika."

Listowel alijulishwa kwa Ally Sykes na Peter Colmore na alipokuwa Dar es Salaam mwenyeji wa Listowel alikuwa Ally Sykes. Habari hizi alinieleza Peter Colmore nyumbani kwake Muthaiga, Nairobi 1995.

Mohamed
 
Saint Ivuga,

Post yako ni nzuri sana na ina confirm kuwa Abdul Wahid Sykes ndio aliotoa jina la TANU tena alikuwa nalo toka India miaka kabla haijaundwa rasmi. Vyema sana kwa kutujulisha kuwa ni kweli waasisi wa TANU walikuwa ni "SYKES Brothers".

Ni kipi katika hiyo post yako kinachopingana na alichokiandika Mohamed Said?

Halafu tujulishe basi muandishi ni nani? kitabu ni kipi na sisi tukipitie au ni wewe mwenyewe?
 

Sweke34,

Nia si kuwa wewe uamini.

Mohamed
 
Saint Ivuga,

Kwa kuwa Mohamed Said kisha tueleza hicho kitabu kimeandikwa na nani, "disregard" last sentence ya post yangu #943, unaweza kuyajibu mengine ukiweza.
 

FF,

Nishampa jibu la mwandishi, publisher wa kitabu na vipi alikuja Dar es Salaam na nani alikuwa "contact person" wake nk. nk. Alikuwa anapima joto. Je, tunajua?

Yeye aliona hilo kubwa saaaana la kutambia humu ukumbini.

Akirejea nitamuomba mji au aniruhusu kutuma salam.

Mohamed
 
Utanipa kazi kubwa kuzitafuta.

Mohamed
Mkuu wangu naomba uzitafute, kwa sababu bila ya kufanya hivyo credibility yako itapungua sana unless useme huo upendeleo kwenye elimu ulikuwepo miaka hiyo lakini siyo sasa hivi. Naamini hizo data utakuwa nazo kwa sababu hauwezi kusema tu kutoka hewani dini fulani inapendelewa katika elimu n.k
 
mkuu wagu hapa mimi sipo kwa ajili ya kujionyesha au kutamba kwani sina kitu cha kujitambia nacho...mimi unanishtua unapoleta mambo ya kiudini ...waislamu mkishindwa jambo lolote lazima mtie udini ..Rejea siasa za Tanzania katika uchaguzi uliopita JK alipoona maji yapo shingoni akatangaza kuwa Tanzanai kuna udini (hii si hoja kwani ukabila upo pia ..na hata ukienda europe utabaguliwa vile vile kwa vile wewe ni mweusi)...lakini hapo hapobaadhi wachungaji walishawahi kumtakasa huyu huyu JK kuwa ni kiongozi bora na lazima awe rais...ila kwa uelewa finyu wa nyie waislamu na udini ulivyowajaa mkakubali kuwa kweli kuna udini na kumpigia kura za kumrudisha madarakani ..wewe wewe mzee said unlalamikia serikali hii iliyopo madarakani (TANU- CCM)kuwa imeficha na kuibadilisha historia ..aliyeko madarakani ni muislamu mwenzako ..unashindwa nini kwenda kumuelewesha ili aibadili na kubadilisha mitaala na historia iliyopo?..kama hataki nenda hata na msahafu ...ninachokiona hapa ni kuwa wewe hutaki solution ya hili jambo unachotaka wewe ni damu kumwagika na hapo ndio utatulia ..na roho yako kusuuzika kabisa..unangojea nchi iingie mikononi mwa rais mkristo ili sasa uwaambie wenzako (bendera) muingie mtaani muanze kuandamana ..hatimaye kusababisha machafuko ..vita vya kiimani hakuna mtu asiyejua madhara yake...mda wa kuibadilisha historia unayoitaka wewe na kukandamizwa kwa waislamu ni sasa kwani ndugu zako wote waislamu wenzako ndio wanayo nchi wameiweka mikononi.
 
Saint Ivuga,

Kwa kuwa Mohamed Said kisha tueleza hicho kitabu kimeandikwa na nani, "disregard" last sentence ya post yangu #943, unaweza kuyajibu mengine ukiweza.
we nawe umekaa kiccm ccm zaidi ..acha kujichombeza chombeza
 
Naona hii mada unaikurupukia, tuliwachagua sisi au waliowekwa na kuchaguliwa na Nyerere, rejea posts za nyuma, usikurupuke.
kweli Nyerere ana nguvu sana kwenye maisha ya "waislamu" yaani miaka 11 tangu kufa kwake bado tu anawachagulia "waislamu" viongozi wao.
 
kweli Nyerere ana nguvu sana kwenye maisha ya "waislamu" yaani miaka 11 tangu kufa kwake bado tu anawachagulia "waislamu" viongozi wao.

Ndio mfumo aliouacha na ndio sababu za kupewa uwenye "heri" mimi siijui heri ipi, na pia ndio sababu za kutaka kupewa utakatifu, jee, wewe una sababu zingine za nyerere kutaka kupewa utakatifu?
 
Huna cha kusema wala kutuonesha kuhusu unayoyasema? kwa hiyo ulikuwa ni mkurupuko wako tu?
Miye tena. Huwa sivutwi kwa mshipi wala mtupo wa ndoano yenye chambo!! hatuko hapa kuonyesha au kuandika kitabu kipya dhidi ya kile cha MS. Hata Film critics huweze kuwaambia andaeni filamu yenu kama yangu mnaiona haifai.
 
Ndio mfumo aliouacha na ndio sababu za kupewa uwenye "heri" mimi siijui heri ipi, na pia ndio sababu za kutaka kupewa utakatifu, jee, wewe una sababu zingine za nyerere kutaka kupewa utakatifu?
wewe nawe unanikumbusha enzi zile za ngumbaru. Sema "ba" wao "baa"
 
Miye tena. Huwa sivutwi kwa mshipi wala mtupo wa ndoano yenye chambo!! hatuko hapa kuonyesha au kuandika kitabu kipya dhidi ya kile cha MS. Hata Film critics huweze kuwaambia andaeni filamu yenu kama yangu mnaiona haifai.

Nilifikiri uko hapa kutupa kitu kipya, kumbe ni mshangiliaji kama sisi. Karibu sana.
 
wewe nawe unanikumbusha enzi zile za ngumbaru. Sema "ba" wao "baa"

Ahsante kwa kutujulisha kuwa ulipitia ngumbaro. Kwa majibu hayo nachukulia kuwa umekubaliana na sababu za nyerere kupewa utakatifu. Tuendelee.
 
Ahsante kwa kutujulisha kuwa ulipitia ngumbaro. Kwa majibu hayo nachukulia kuwa umekubaliana na sababu za nyerere kupewa utakatifu. Tuendelee.
Ninachojiuliza ni kwamba kama wazee wenu walikuwa ni madhubuti kama MS na wewe mnavyodai, ilikuwaje wakawa wanatazama tuu wakati mwalimu anasimika mfumo kristu hapa Tanzania (Tanganyika)? Na utakatifu wa Mwalimu kati ya mambo yameorodheshwa na wakatoliki ili mtu awe mtakatifu au mwenye heri hilo lako halimo.
 

Ungekuwa umezisoma posts zilizotangulia vizuri, usingekuwa na shida ya kuuliza hayo.

Umekataa sababu zangu za Nyerere kupewa utakatifu lakini zako hujaniwekea? Vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…