Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Utashangaa watu kama Ruhinda hawatoulizwa au hawakuulizwa japo ni watu waliomfahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alisema hivyo, ok! Mi ckuwahi msikia... Ila wewe unafikiri hili taifa linaongozwa na hiyo gospel??? Wanasheria wa dini mbalimbali wasaidie hapa...
Mbona tunasimamia mambo yasiyo na msingi?????? Utaifa mbele dada, alaaa!!
Ok Moha! Mimi inawezekana sijui dini vizuri....
Sasa kama amesema tusikubali kudhulumiwa, na amekataza tusidhulumu tutafanyaje katika hiyo hali???
Tulishadhulumiwa zamani, sasa tunyamaze tusonge mbele tukatae kudhulumiwa hiyo kuanzia sasa. (SIO KUFOCUS KWENYE KUKUMBUSHA PAST). Mfumo wa sasa tuko kila mahala, hilo halifichiki labda kama tunataka nchi iwe ya kiislamu na tujae peke yetu. Mambo taratibu sheikh..., tusomeshe watoto wakacompete. Na tuwafundishe WASIWE WADINI
Lakini kwa mujibu wako Nyerere alisema upuuzwe. Kwamba hakuna atakayekuamini. Tunashuhudia hapa majibu ya Nyerere.
Somalia dini moja kabila moja, hali ikoje?
Nini malengo ya kufocus kwa wazee wa Kariakoo tu, ukaacha MWANZA, TABORA, DODOMA, IRINGA KANDA ya KASkAZINI , MBEYA. note---I smell something fish is going on behind this thread
Sheikh Mohamed siasa na dini havishikamani hata siku moja umenukuu maneno ya Allah umetaka kuyalenga zaidi kwenye siasa hebu angalia matendo ya waislamu wenzetu yanaendana na hayo uliyosema? Waislamu na Wakristo tunadhulumiwa na mfumo wa siasa uliopo, narudia kusema mfumo huu wa siasa uliopo unalinda maslahi ya wachache; wapo mamilioni ya wakristo wanaishi maisha duni sana; ungekuwa mkweli kama ungepigania dhulma wanayotendewa watanzania.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Ndugu zangu wapendwa naomba achaneni na huyu MCHOCHEZI hana jipya na lengo lake kwanza halijulikani. Zaidi ni Nyerere tuu sasa anachopaswa kufanya ni kuwaelimisha Waislam wenzake umuhimu wa elimu na aache POROJO NA FITNA ZAKE.
Nchi hii watu hatuulizani DINI WALA KABILA ila juhudi zako ndo zitakubeba. Hivi kweli Nyerere hasingetaifisha shule za madhehebu ya dini sijui sasa tungekuwa tunaongea lugha gani?
HACHA UCHOCHEZI UTAISHIA THE HAGUE KWA OCAMPO SIJUI NAPO UTAMLAUMU MAREHEMU.
M Waliweka dini pembeni kutaka utaifa leo wamesalitiwa. Hebu soma hii hapa chini:
"Kipindichama badiliko kutoka TAA kuwa TANU kilikwenda vizuri pale makao makuu.Hakukuwa na ya migongano kati ya viongozi wa makao makuu, ukitoa kikundi kidogocha Waislamu wenye msimamo mkali waliokuwa wakipanga kumg'oa Nyerere kwa kuwaalikuwa Mkristo. Hii ilikuwa ni mara ya pili kwa suala la dini kuzuka tanguNyerere achukue uongozi wa chama kwa mara ya kwanza mwaka 1953. Mkutanouliitishwa kuweka hali sawa kuhusu Ukristo ndani ya chama. TANU iliamua kuwachama kitakuwa ni cha kisekula ili kunusuru na kuihifadhi umoja wa kitaifa.Mkutano huu ulifanywa ndani ya nyumba moja katika mtaa wa Pemba na uamuzi wakeuliungwa mkono na Mufti Sheikh Hassan Bin Amir, Sheikh Nurdin Hussein tokaLindi na Sheikh Abdallah Chaurembo wa Dar es Salaam. Mkutano huu ulimfananishana 'Yuda' mwanachama yeyote yule ndani ya TANU atakayembagua Mwafrika mwenzakekwa sababu ya imani yake.
Hapa MS ndip ugomvi wetu ulipo. unapotaka kuonyesha wazee wako walikuwa wazalendo unasema waliweka dini pembeni, lakini ghafla unakumbuka msingi wa hoja yako ni dini, unaleta madai ya kusalitiwa!Waliweka dini pembeni kutaka utaifa leo wamesalitiwa.
Hiini sehemu ya historia ambayo ningependa urudi kidogo kwa sababu kwenye kitabu chako hukutueleza kwa undani juu ya hili:
a. "Kikundi kidogo cha Waislamu wenye msimamo mkali" kilikuwa na kina nani - je tunawajua majina yao katika historia- ni kina nani hawa waliounda hili 'kundi dogo'?
b. Kikundi hiki kilikuwa kinataka kumng'oa Nyerere kwa sababu Mkristu kuanzia mwaka gani? - yaani hii ilikuwa ni kabla ya kina Mtevu in 1958?
c. Je haki kabisa kusema kuwa lilikuwepo kundi la Waislamu ambalo lilimkataa Nyerere toka mwanzo - alipokuja Dar kwa sababu ya Ukristo wake?
c.
Hilo kundi inafaa lienziwe na liheshimiwe kwani lilikuwa na muono. Leo wangesikilizwa tusingekuwa hapa tulipo. 83% vs 17%
Nadhani unamaanisha maono (Vision) maana muono ni mawazo (Opinion/view) ya mtu juu ya jambo fulani. Kama walikuwa na maono maono yao yalilenga katika nini? Nadhani mimi nakumbuka zamani watu wa pwani (Baadhi yao si wote) watoto wao wakifaulu walikuwa wanawazuia kwa hoja kwamba wanakwenda kulishwa Nguruwe.Hilo kundi inafaa lienziwe na liheshimiwe kwani lilikuwa na muono. Leo wangesikilizwa tusingekuwa hapa tulipo. 83% vs 17%
Nadhani unamaanisha maono (Vision) maana muono ni mawazo (Opinion/view) ya mtu juu ya jambo fulani. Kama walikuwa na maono maono yao yalilenga katika nini? Nadhani mimi nakumbuka zamani watu wa pwani (Baadhi yao si wote) watoto wao wakifaulu walikuwa wanawazuia kwa hoja kwamba wanakwenda kulishwa Nguruwe.
Nadhani hata Nyerere alikuwa na maono pia, jiulize shule hizi zilikuwa zinamikiwa na Kanisa kama si yeye kuzitaifisha hali ingekuwaje? Forodhani, Jangwani Girls school, Azania ,kwa hapa Dar. Hakuna waislamu kweli waliosoma kwenye shule hizi?
true true.. inabidi Mzee Said aje atuambie majina yao ili waweze kuenziwa na kuheshimiwa.
Nadhani unamaanisha maono (Vision) maana muono ni mawazo (Opinion/view) ya mtu juu ya jambo fulani. Kama walikuwa na maono maono yao yalilenga katika nini? Nadhani mimi nakumbuka zamani watu wa pwani (Baadhi yao si wote) watoto wao wakifaulu walikuwa wanawazuia kwa hoja kwamba wanakwenda kulishwa Nguruwe.
Nadhani hata Nyerere alikuwa na maono pia, jiulize shule hizi zilikuwa zinamikiwa na Kanisa kama si yeye kuzitaifisha hali ingekuwaje? Forodhani, Jangwani Girls school, Azania ,kwa hapa Dar. Hakuna waislamu kweli waliosoma kwenye shule hizi?
Mbona majina hayana shida, kila anaetajwa katika kitabu cha Mohamed Said inabidi aenziwe, hata wale waliowasaliti Waislaam wenzao, ukisoma vizuri, walikuja kujuta baada ya wao kuyaona.
Wala usihangaike kuhusu majina ya kuenziwa, ni yote.
Na wewe, uombe msamaha kwa kutubandikia Qur'an isivyo na kutaka kupotosha watu kama kawaida yako. Si uungwana, hizo ndio mbinu zinazokufanya hata usiwe na thamani, hata wenzako wanapokubaini kuwa hata Qur'an unaibandika visivyo wanakuwa hawana raha na wewe labda wawe wanafik.