Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Mtwa Mkwawa Shujaa alikuwa Mwuislamu, Mwanae, Chief Adam Sapi Mkwawa pia alikuwa Muislamu, ukoo wa Chifu Mkwawa ni Waislamu.
 

Asante sana MS, lakini hapo pia twajifunza kitu kama ulivyoainisha. Kama "wageni" ambao baba zao walikuwa wakipigania maslahi ya wakoloni (wakristo) basi si vyema kuwahukumu "baadhi ya wenyeji" ambao pia historia imewaandika wazee wao katika kundi hilo hilo la kupigania maslahi ya wakoloni. Kuna aya moja umehoji wale waliokuwa upande wa mkoloni ukasahau "wazee wako" kwa nyakati walikuwa sio tu watwana bali maswahiba wa hao wakoloni. Ni historia tu, ambayo inakuwa vigumu kuitumia sasa kutoa hukumu kwa kuwa inabadilika kutokana na nyakati. Je, tukisimamia nyakati na matukio yake bila kuangalia historia ime "evolve" vipi si basi tutajikuta tunahoji uhalali wa hawa "wageni" kupigania utanganyika? Lakini pia tukihukumu kwa yale yaliyopita si pia tutahoji hawa "askari" wa mkoloni kutoka nje ya inayotambulishwa kama tanganyika ndio haswa wenye nchi na wanastahili kuhodhi mamlaka ya nchi hii? Hili napenda unijibu wewe hao wengine wa "ustake ncheke" tutaendelea na mzaha baadae.
 

Sorry kwa kuiremba post yako kidogo. That is powerful argument ambayo daima anakwepa kuitolea maelezo ya kutosheleza!! NI RAHISI KUELEWA NIA YA HUYU MTU, from the first day namsikiliza niligundua agenda yake ni hatari kwa umoja wetu.
 
MM,
That very cheap urguement.
Sina la kuongezea katika hilo ila jitazame na wewe utaona mapungufu yako hata katika kufikiri.

Mkuu,

Najitambua kwamba nina mapungufu kama walivyo wengine.

Pamoja na mapungufu yetu lakini sikuona mantiki ya wewe kufanya ulinganifu huo. Tuendelee na mnakasha ndugu yangu, hilo limepita.
 
Mtwa Mkwawa Shujaa alikuwa Mwuislamu, Mwanae, Chief Adam Sapi Mkwawa pia alikuwa Muislamu, ukoo wa Chifu Mkwawa ni Waislamu.

Mkuu,

Heshima mbele mie sipingi wala kukataa bali nachokisema ni hivi nilivyosoma mie kwenye historia ya Mkwawa alikuwa hana dini. Hili la kuwa Mkwawa alikuwa mwislamu nilikuwa silijui nilikuja kuliona mwanzo katika vitabu vya Sheikh Mohamed Said. Hata hivyo hakukidhi kiu yangu kwani mie huwa sisadiki jumla jumla. Mengineyo aliyosema Mohamed nimeyakuta kwa wanahistoria wengine nje ya nchi hivyo sina shaka nalo kwani wakati Mohamed anazungumzia kwa njia ya hadithi wapo wengine wametoa evidence kabisa ila kwa hili sijaliona ndio maana nimemuomba sana Mohamed atumwagie data kwani si vizuri kutafuna kitu wakati huna evidence mkuu sijui tumefahamiana
 
Mtwa Mkwawa Shujaa alikuwa Mwuislamu, Mwanae, Chief Adam Sapi Mkwawa pia alikuwa Muislamu, ukoo wa Chifu Mkwawa ni Waislamu.

Pasco,

Karibu katika mnakasha huu, bila shaka utakuwa na mengi ya kusema hapa ukiwa mchambuzi wa maswala mbalimbali katika nchi yetu.
 
Ndiyo maana mimi nasema unaagenda yako dhidi ya kanisa la katoliki, unamaanisha kuwa MKUU WA NCHI na OTHER SENIOR LEADERS AMBAO ni muslims have no say to the well being of the nation ila wanawaendeleza wakatoliki tu. Mimi niliyezaliwa baada ya Uhuru nalishwa sumu tu na MS. MS unaeneza habari imbayo siku moja ndg. yangu mmoja akasema unajua uhuru wa nchi hii ulitafutwa Islams---nilishangaa lkn baada ya kusoma makala zako sasa nimemuelewa alilishwa sumu toka kwako. WATANZANIA WASIO NA DINI HAWAKUSHIRIKI,ndivyo mnavyotaka kutuaminisha sisi tuliofika Tanganyika baada ya uhuru?

Nakuomba kwa kuwa umeamua kuandika historia sahihi ya uhuru wa nchi hii, nashauri usijikite KARIAKOO tu nenda Tabora, Dodoma, Mwanza, Mara Mbeya Lindi n.k., mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa eti uhuru wa Tanganyika ni Kariakoo tu, no, big no
 

Mdondoaji,

Katika hili tuko pamoja. Mimi nilikuwa nafahamu kwamba mkwawa alikuwa anabudu dini ya asili, sasa hii kwamba alikuwa muislamu linahitaji uthibitisho.
 
Mdondoaji,

Katika hili tuko pamoja. Mimi nilikuwa nafahamu kwamba mkwawa alikuwa anabudu dini ya asili, sasa hii kwamba alikuwa muislamu linahitaji uthibitisho.

Mwita ,

Siku zote tuko pamoja ila tofauti yangu mie na wewe mie nina mavolume ya vitabu maktaba yangu huwa nakusanya na kuyasoma kwa mapenzi tu niwe na taarifa. Watu wanafikiria baadhi yetu tunameza tu kila kitu. Huwa approach yangu ni kuwa na open mind halafu navingiiza vinavyofaa na visivyofaa namuachia mwandishi mwenyewe. Tuko pamoja mkuu katika kujenga taifa letu liendelee kuwa na amani na mapenzi. Raha tuliopata sisi na wajukuu zetu nao waipate. Bila shaka wewe ushakwenda maulidini kula pilau na ndizi. Na wengine tushakwenda katika vipaimara, ubatizo kupata vitafunwa vya nguvu. Tunaalikana katika harusi na misiba na furaha na shida. Tunasaidiana kwenye furaha na shida. Tumecheza mpira wote bila ya kujali tofauti zetu za dini hiyo ndio tanzania ninayovision mie. Ila umoja huu vile vile ujengwe katika misingi ya umoja, upendo, uwazi na mashirikiano pasina jamii moja kudhulumu nyengine.

Tuko pamoja Mwita
 
Mtwa Mkwawa Shujaa alikuwa Mwuislamu, Mwanae, Chief Adam Sapi Mkwawa pia alikuwa Muislamu, ukoo wa Chifu Mkwawa ni Waislamu.
Hivi nyie mnamzungumzia Mkwawa gani?? Mnajua kwamba Adam Sapi si mtoto wa Mkwawa bali ni mjukuu wa Mkwawa? Mnajua Sapi Uislam aliupataje?
Pia Mnajua kwamba Sapi ana watoto waliotokana naye wako Kondoa, huko mnajua walifikaje?
 
Mwakaboko,

Inaelekea umeingia mnakasha umeukuta ushafika mbali sana.
Hakuna wa kukusokomeza chakula kwa nguvu kipite kooni kwako.

Ikiwa kwa hakika unataka kusoma katika hii mada na uelimike Insha Allah utaelimika.

Ninachohitaji kwako ni kwanza utulivu na adab ya darsa. Hivyo ulivyoingia umeingia na makeke.

Mwanafunzi na kijana aliyefunzwa kwao hawi hivyo.

Huonyesha adabu na heshima hata kwa asiyemuona wala kumjua

Sasa tulia pitia nyuzi zilizopita na niulize maswali pale unapohisi mashaka.

Insha Allah nitakujibu.

Mwisho wa siku uamuzi utakuwa wako mwenyewe kuamini au kutoamini.

Lakini nakuhakikishia hutotoka humu bila kujifunza kitu.

Kuhusu TANU Tabora, Lindi nk. ukipenda kujua habari zake za Lindi zimo humu jamvini jinsi Yusuf, Chembera, Salum Mpunga na Sheikh Yusuf badi walivyoiingiza TANU Southern Province.

Anza na sehemu hizo kisha rudi jamvini na maswali.

Mohamed

PS: Nahisi hamaki zinapanda, lugha zinakuwa kali na kutoka nje ya mstari na uungwana wa mnakasha unapoteza mwelekeo.
 

Mkuu mbona unahamaki hivyo?

Kama ungenisoma kwa makini bila jazba ungeona sentensi ya mwisho nimekusihi tuendelee na mnakasha.

Kwakuwa tangu nimeingia kwenye mnakasha huu sijabandua mguu wala kuyumba ama kuyumbishwa, na sasa naona kama wewe ndo unajaribu kunitoa kwenye hoja, sasa nakusihi kwa mara nyingine tuendelee na mnakasha.
 
Hivi mtu kuandika kwa Irabu za Kiarabu ni Uislamu miye nilikuwa sijui. Wakristo wa Misri wanatumia Irabu gani kuandikia Biblia yao... wanatumia Irabu ya Kiarabu bila shaka!!?? Mkwawa kundika kwa Irabu za Kiarabu. Nimo njiani kuwasiliana na mtunza historia za kina Mkwawa siyo Chifu Abdul bali ni wazee wake.
 

Mgalanjuka,

Niwie radhi hebu niulize tena hilo swali kwa njia nyepesi kitu kimoja baada ya kingine nipate kujua khasa kinachoulizwa ni nini.

Mohamed
 
Mgalanjuka,

Niwie radhi hebu niulize tena hilo swali kwa njia nyepesi kitu kimoja baada ya kingine nipate kujua khasa kinachoulizwa ni nini.

Mohamed
Kuna jambo hutaki kulijibu kila siku na ndilo swali la Mgalanjuka ni kwamba hao wazee wako wa Gerezani kihistoria inaonyesha walikuwa ni wamanyema, wanubi na wanyamwezi ambao kwa nyakati tofauti walikuwa ni wapagazi na askari watiifu wa Mjerumani na baadaye Muingereza, na ndiyo maana kwenye post moja nikauliza wewe na Ponda ni ndugu?

Neno karikoo linahusiana sana na wapagazi na askari wa wajerumani. Hapo Historia imekaaje??
 

Mdondoaji,

Tuko pamoja mkuu, hapo umemaliza kila kitu. Nitakuambia kitu, mimi nimezaliwa mugumu(serengeti) nimekulia tabora(isevya na uyui) na kigoma(mwanga/vamia) rafiki zangu wakubwa wakiwa waislamu. Mmoja nimekutana nae juzi pale SPENCON DSM baada ya kupoteana tangu 1987!

Huku mtaani sisi ni ndugu na ni marafiki, dini zetu hazijawahi kututenganisha.
 
Huku mtaani sisi ni ndugu na ni marafiki, dini zetu hazijawahi kututenganisha.
Tatizo letu na MS ni kutaka kutuonyesha kwamba hata nje ya mahekalu yetu ya kuabudia dini ndiyo msingi wa kutambuana. Kuna jamaa yangu anaitwa Razack Kingwande yeye alikuwa ni mfuasi wa MS (Sijakutana naye siku nyingi kidogo) akaniambia unajua Aljebra ziligunduliwa na waislamu. Nikamwambia ninachojua ziligunduliwa na wamisri!!

Fikra zao zinawatuma kwamba kila mwarabu ni MUislamu na kila Myahudi au Mmarekani ni Mkristo. wao kwenye kila jambo la mafanikio wanatafuta wenye majina ya kiarabu waanze kusema huyu ni Muislamu. Wakati wa vita vya wamarekani na Iraq wengi wao walipigwa na butwaa walipogundua kumbe Tariq Aziz alikuwa ni Mkristo. What the aibu!!
 

Wewe ndio mawazo kwamba kila kizuri hakiwezi kugunduliwa na muislam, na ukiona muislam amekuwa ndio mgunduzi hutakubali jitazame..

Kama ambavyo huwezi kukubali wala hutaki kuona kwamba harakati za uhuru zilianzshwa na waislamu na baada ya uhuru wakadhulumiwa hata ile "kuandikwa" na mtu waliyemkaribisha katika hatua za mwisho kabisa..

Jitazame..unavyofikiri kuhusu waislamu
 

Wacha nikutolee moja ya articles katika library yangu maana itasaidia kidogo kufafanua Mohamed Said alikuwa anamaanisha nini.

Reference hii nenda kaitafute. B.G. MARTIN, (1969), MUSLIM POLITICS AND RESISTANCE TO COLONIAL RULE: SHAYKH UWAYS B. MUHAMMAD AL-BARAWl AND THE QADIRlYA BROTHERHOOD IN EAST AFRICA, Journal of African History, 471-486, Cambridge University Press.

Barua aliyokuwa akizungumzia sheikh Mohamed ni zile zilikuwa zikisambazwa na masheikh wa tariqa ya Qadiriyya wakati wakiwa wanasambaza daawa vijijini kama Martin anavyosema hapa:-

That the community of interest between the Qadiriya brotherhood, the
Barawis and Barwanis and Harithis of inner Tanganyika, which had
functioned in the late 1880s on behalf of Sayyids Barghash and Khalifa
continued for another two decades, is clear from both Arabic and German
sources concerning the Mecca Letter affair at Lindi and Mikindani in
1908.
In late July 1908 the German colonial administration in Tanganyika
began to receive alarming telegrams from Lindi, a town on the Lukuledi
estuary in the south of the protectorate, saying that an important Muslim
movement was under way. These telegraphic reports from a district officer
at Lindi mentioned a ' letter from Mecca' which was being spread amongst
the Muslim population and was causing a lot of excitement
. These telegrams
spoke of 'fanatical preaching' in mosques against foreigners, of
'aggressive schemes against Europeans and missions', attempts being
made to subvert German authority by turning their Sudanese Muslim
askaris against them, and the spread of a ' grossislamitischer Tendenz' into
the interior behind Lindi Port, particularly into the Makonde Plateau.32
When these reports reached Dar-es-Salaam, the capital of the German
protectorate, they were taken very seriously by the governor, Albrecht von
Rechenberg, and his subordinates. It was only a year after the final suppression
of the Maji Maji revolt in the same area, and the Germans were
sensitive to news of disturbances.
Von Recheftberg immediately sent Major
von Schleinitz, an officer of the Schutztruppe (Defence Force), to Lindi
and the adjoining town of Mikindani. He was accompanied by two Arabs in
the German service, Nasir bin Sulayman al-Lamki, the former liwali
(provincial headman) of Dar-es-Salaam, and an ex-akida (lieutenant)
named Muhammad b. 'Abd al-Rahman. The three men soon 'pacified'
the population and matters went back to normal. German officials and
settlers throughout the protectorate were relieved to know that there would
be no second round to the Maji Maji. At Lindi, and at Mikindani and
Mroweka nearby, a number of persons were arrested, and an investigation
was begun by the Germans. They wished to know what persons and what
organization, if any, were behind the spreading of the 'Mecca Letter*
among the local Muslims.33
The Germans soon obtained copies of the letter. In Arabic, the letter
spoke of a dream by a certain Shaykh Ahmad, ' Servant of the Prophet' at
Mecca. In the dream, described in the letter at length, the Prophet Muhammad
warned Shaykh Ahmad to tell his fellow Muslims of God's exasperation
with their bad habits and backsliding, their indulgence in forbidden
things. The end of the world was not far away; those who read the letter
and did not pass it on were told that the Prophet himself ' would be their
opponent on the Day of Judgement'. The letter had been read publicly
and commented upon by many of the local mwalimus in the mosques of
Lindi and Mikindani.34 Among their number was the chief of the Qadiriya
fariqa in Lindi district, the khalifa Shaykh 'Isa b. Ahmad al-NgazijI
al-Barawi, a Comoro Islander with ties with Brava, who normally lived in
Zanzibar. When his participation in the affair was becoming clear to the
Germans, this missionary fled from Lindi to Palma and Ibo in northern
Mocambique. Nor were Lindi and Mikindani the only places where the
Mecca letter had appeared: by August 1908 copies of the letter had been
intercepted by the Germans at such places as Bagamoyo, Tabora, Iringa,
Morogoro, Mpapwa, Mohoro, Kilwa, Mafia Island, the Ndonde country
north of Tunduru and at the Sasawara border post on the frontier between
German East Africa and Mocambique.85
Further investigation by the Germans revealed that the letter had
originated in Zanzibar. It had been composed by, or written for, the
family of Muhammad b. Khalfan b. Khamis al-Barwani, better known as
Rumaliza, a member of the Qadirlya tarlqa, and a famous slave-trader and
ivory merchant



Zaidi ukiisoma hiyo article,mwaka 1894 Rumaliza alikutana na Mkwawa alipokimbia kutoka Ujiji akahamia Iringa kwa wahehe. Mwandishi anaelezea zaidi (Angalia Kigarama usije kuzirai tu kwa mshangao!!!! ) namnukuu.

The episode of Rumaliza's 'insult to the German flag' took place at
Ujiji in 1893.50 Simultaneously, the exasperated slave-trader threatened
the Germans with war for invading his zone of influence. When in the
summer of 1893 a German officer arrived at Ujiji to construct a military
station there, Rumaliza knew that he could hold out no longer.51 He crossed
Lake Tanganyika and was soon engaged in a decisive struggle with the
Belgians in the Manyema country. There he was defeated by the Belgian
Baron Dhanis in January 1894.52 Rumaliza now retreated to Ujiji, but was
turned away by one of his former friends, Misbah b. Najm al-Shahlni, who
had been installed as liwali by the Germans. Rumaliza then fell back
through the Tongwe country south of Ujiji,53 and finally reached the domains
of the Hehe leader, Mkwawa
. The latter was now the focus of
resistance to the Germans in the interior. Mkawa and Rumaliza became
blood-brothers, and Rumaliza doubtless gave his ally advice on rebuilding
in stone his earth fortress at Kalenga, near Iringa, against the day of a
German attack.54 On 30 October Rumaliza was in the fort with Mkwawa
when it was assaulted by the Germans
. Mkwawa committed suicide four
years later, while Rumaliza escaped to Zanzibar by fishing boat, successfully
evading the Germans.55 He later returned to Dar-es-Salaam to take part
in the court case mentioned by von Rechenberg. This went on intermittently
until 1902, when it was settled in Rumaliza's favour

Zaidi article inapatikana hapa kama unapenda kuisoma zaidi. Ukiwa hujatosheka sema nishushe nondo nyengine ila hiyo najua utakuwa ushachanganyikiwa kabisa!!! (Utani tu ndugu yangu Kigarama tunafundishana hapa hakuna kugombana!).

Cambridge Journals Online - Fulltext
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…