mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 757
Asante MS kwa kunitukana kuwa sijafunzwa. Sina haja ya kukuthibitishia ila fahamu tu kuwa nimelelewa vema na WAZAZI wangu na WALIMU WANGU PIA WANAMCHANGO WA THAMANI KWANGU, hawa wote hakuna aliyenipa sumu ya ubaguzi wa aina yoyote. Nimekuelewa, sikujua kumbe nimekukwaza sana nilipokuambia kuwa Mada yako inalenga kuwatenganisha WATANZANIA kwa misingi ya UDINI. INAWEZEKANA WEWE NDIYE HUKULELEWA VEMA na wazazi wako, KWA maana ya kuwa walikupa SUMU kama ile wanayopewa watoto wa KIYAHUDI na KIPALESTINA ili nawe uje utupe sisi, matokeo ya hiyo sumu daima huonekana ukubwani kwa matendo wanayotenda. Sina haja ya kukupa details ya kinachotokea mid-east kwa sa7 unajua, kama hujui pole.Mwakaboko,
Inaelekea umeingia mnakasha umeukuta ushafika mbali sana.
Hakuna wa kukusokomeza chakula kwa nguvu kipite kooni kwako.
Ikiwa kwa hakika unataka kusoma katika hii mada na uelimike Insha Allah utaelimika.
Ninachohitaji kwako ni kwanza utulivu na adab ya darsa. Hivyo ulivyoingia umeingia na makeke.
Mwanafunzi na kijana aliyefunzwa kwao hawi hivyo.
Huonyesha adabu na heshima hata kwa asiyemuona wala kumjua
Sasa tulia pitia nyuzi zilizopita na niulize maswali pale unapohisi mashaka.
Insha Allah nitakujibu.
Mwisho wa siku uamuzi utakuwa wako mwenyewe kuamini au kutoamini.
Lakini nakuhakikishia hutotoka humu bila kujifunza kitu.
Kuhusu TANU Tabora, Lindi nk. ukipenda kujua habari zake za Lindi zimo humu jamvini jinsi Yusuf, Chembera, Salum Mpunga na Sheikh Yusuf badi walivyoiingiza TANU Southern Province.
Anza na sehemu hizo kisha rudi jamvini na maswali.
Mohamed
PS: Nahisi hamaki zinapanda, lugha zinakuwa kali na kutoka nje ya mstari na uungwana wa mnakasha unapoteza mwelekeo.
Anayekupinga unamuona adui, Huo ndio mtazamo wa watu wa mid--east nawe uko hivyo--nihabarishe wazazi wako walikupeleka upande upi (Palestina au Israel) baada ya kulizika kuwa sasa sumu imeingia vema ktk damu yako kufanya mazoezi(internship).
Maandishi yako yanalenga kuwatenganisha WATZ kwa misingi ya UDINI. SASA sisi tunashuhudia wengine tunashangaa nini kinaendelea ktk nchi hii maana watu wamezunguka nchi nzima kumlaani NYERERE, nilikuwa sielewi ila sasa nimeelewa baada ya kusoma makala zako za sumu kwa WATZ nao bila kufikiri wakalichukua kichwa kichwa. Mafundisho yako yana agenda ya siri ambayo matokea yake yaja--ni suala la wAKATI TU.
TUKUE VIZURI NA TUZEEKE VIZURI TUSIWATENGANISHE WATZ TO FULLFIL OUR INTEREST.
KUMBUKA TANZANIA SIO YA DINI, KABILA AU UKANDA FULANI, UNAPOANDIKA HISTORIA YA NCHI HII PLEASE DO NOT RELY UPANDE FULANI
Nina marafiki wengi sana ambao siabudu nao ktk madhehebu na wengine ni dini tofauti nami, kilichotukutanisha nao sio madhehebu au dini zao bali UTANZANIA ULITAMALAKI BILA UBAGUZI WA DINI, KABILA wala UKANDA.