Naona mnakasha unaelekea ukingoni. Ningependa na mimi kuchangia points zangu za kumalizia. Mohamed, umemtuhumu na umejitahidi kuonyesha kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa mdini na kwamba aliwabagua Waislamu. Hoja yako ni kwamba juhudi za uhuru zilianzishwa na wazee wa Gerezani. Hapo hatuna ubishi. Kuna uanzishwaji wa kitu na uendelezwaji. Mfano ANC ya Afrika kusini ilianzishwa mwaka 1912 kutetea maslahi ya Waafrika na kupinga kuchukuliwa ardhi ya Waafrika kwa nguvu na Makaburu. ANC ilipitia misukosuko mingi. Ikapigwa marufuku. Lakini katika mioyo ya wazalendo, ANC haikufa na isingeweza kufa na ikaendelea mpaka miaka ya 60 licha ya purukushani za kuwaweka vizuizini wazalendo wakiwa pamoja na Nelson Mandela, ANC haikufa. Ninachosema hapa ni kwamba kuna kuanzishwa kwa harakati na kuna kuendelezwa harakati. Granted, vuguvugu la uhuru limeanzia Gerezani, lakini aliyelifikisha vuguvugu hilo Moshi, Tarime, Mbeya, Kigoma na Kagera, hawakuwa ni wazee wako wa Gerezani. Nyerere alikichukua kijiti cha harakati na kukimbia nacho kote nchini. Hii imeelezewa vizuri sana na Judith Listowell kwenye kitabu chake. Nakumbuka kisa kimoja alipokuwa Mbeya, marehemu mzee Shaba akakatazwa na wakoloni ( kwa sababu alikuwa anafanya kazi serikalini) kumkarimia Julius Nyerere. Ilibidi mzee Austin Shaba, kwa maficho, atafute njia za kuhakikisha Nyerere amepata chakula na analala mahali pazuri.
Hizo ndizo harakazi za wazee wetu. Kule Moshi walikuwepo akina Nsilo Swai, Eliufoo na ba mkwe wangu Aikaeli Mbowe, hawa wote walijitolea kwa hali na mali kusaidia ukuaji wa TANU, na sidhani walipata shukrani stahiki kutoka kwa Nyerere kama unavyodai wazee wako wa Gerezani hawakutukuzwa. Alichofanya Nyerere, na kwa hili Mtanzania yeyote anayeitakia mema nchi yetu daima atamshukuru, ni kwamba alihakikisha hakuna kikundi chochote kidogo au kikubwa, cha kikabila au kidini, kitakachohodhi madaraka ya utawala kama ilivyotokea Kenya baada ya Kenyatta kuwa rais wa nchi. Madhara yake tumeyashuhudia 2007. Akina Takadir na wale wenye muelekeo wa kidini wangefanikiwa na ajenda zao, Tanzania ya leo ingekuwa ni nchi ya mataba ya kidini, Waislamu wakijiona kuwa wao ndio walioleta uhuru na kwa hivi wana haki ya kuwa na lion's share of the national cake. Na hii ndiyo sababu ya malalamiko kuwa Waislamu wameonewa na kubaguliwa. Nyerere ali level the playing field kiasi kwamba leo akina Pinda, anayejiita mtoto wa mkulima kutoka Mpanda, anaweza kuwa waziri mkuu, Jakaya Kikwete, ****** wa Bagamoyo, anaweza kuwa rais wa nchi. This is no small feat. Kama kuna mapungufu, tumezungumzia hapa elimu ya Waislamu, na kuna ushahidi bayana kabisa kuwa ni kweli walibaguliwa lakini na wao wajitaji ku-step up to the plate (mfano wa shule za Castro) Kwa Mtanzania yeyote anayeitakia mema nchi yetu hakuna mtu anayetaka kuona kundi moja la Watanzania linabaki nyuma na jingine, liwe la kikabila au la kidini, linaendelea. Sasa, Mohamed, umejikita zaidi katika malalamishi na "uchonganishi" kwamba Waislamu wameonewa na mfumokristo, au christian lobby, ambayo huwezi kumtaja hata mtu mmoja ambaye ni member wa hiyo christian lobby. Hapa Marekani kuna Jewish lobby and they are very powerful, but they are indentifiable. Chrisitian lobby ya Tanzania ni phrase tu inayo conjure images of christians influencing the government lakini tukikuweka kiti moto ututajie ni nani hasa aliyemo humo chrstian lobby tutasikia mumbo jumbo tu. Hata tukianzisha truth and reconcilliation kwa mujibu wa taarifa nilizosoma hapa mnataka serikali ikiri kuwa kuna ubaguzi dhidi ya Waislamu, Nyerere alifanya makosa na hayo makosa yakidhi maandishi katika vitabu vyako. Utakirije makosa wakati ambapo hayo makosa ni debatable bado? Umetaja kuwekwa kizuizini kwa mashehe wa Kiislamu, wengine wakafukuzwa kurudi Zanzibar, wakati huo huo kuna ushahidi kuwa EAMWS ilikuwa inafanya njama na kukusanya fedha za Wahindi kwa lengo la kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU. Kwani hizo njama zilikuwa na lengo gani? Tumeshuhudia misukosuko mikubwa sana ya kisiasa katika nchi za Kiafrika katika miaka ya sitini. Lumumba aliuawa Congo kwa shinikizo la Marekani. Ben Bella akapinduliwa na watu waliokuwa karibu sana naye, Nkrumah akapinduliwa Ghana, Sylvanus Olimpio akakimbilia ubalozi wa Marekani na Wamarekani wakamkabidhi kwa waasi wakamuua. The fact that Nyerere survived all these upheavals speaks volumes. Hao mashehe wangefanikiwa kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU tungekuwa wapi hivi leo? Afadhali aliwaweka kizuizini na yule wa Zanzibari kurudishwa kwao. Nchi ingekuwa vurugu tupu. Sasa, what is the way forward? Tanzania leo inakabiliwa na high unemployment. That is a time bomb. Nachelea kusema kuwa ni rahisi kuwashawishi vijana wa Kiislamu wasio na ajira kuwa huu mfumokristo ndio umesababisha hali hii. They may take to the streets and cause another Libya but you know once Humpty Dumpty falls off the wall you cannot put him back together again. At the end of the day you have to supply them jobs and opportunities and I am sure hii cry wolf ya mfumokristo haiwezi kuwapatia ajira vijana wetu, Waislamu kwa Wakristo. Let us find a way to deal with the problems that are facing our nation together. Nimemaliza!