Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Naona mnakasha unaelekea ukingoni. Ningependa na mimi kuchangia points zangu za kumalizia. Mohamed, umemtuhumu na umejitahidi kuonyesha kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa mdini na kwamba aliwabagua Waislamu. Hoja yako ni kwamba juhudi za uhuru zilianzishwa na wazee wa Gerezani. Hapo hatuna ubishi. Kuna uanzishwaji wa kitu na uendelezwaji. Mfano ANC ya Afrika kusini ilianzishwa mwaka 1912 kutetea maslahi ya Waafrika na kupinga kuchukuliwa ardhi ya Waafrika kwa nguvu na Makaburu. ANC ilipitia misukosuko mingi. Ikapigwa marufuku. Lakini katika mioyo ya wazalendo, ANC haikufa na isingeweza kufa na ikaendelea mpaka miaka ya 60 licha ya purukushani za kuwaweka vizuizini wazalendo wakiwa pamoja na Nelson Mandela, ANC haikufa. Ninachosema hapa ni kwamba kuna kuanzishwa kwa harakati na kuna kuendelezwa harakati. Granted, vuguvugu la uhuru limeanzia Gerezani, lakini aliyelifikisha vuguvugu hilo Moshi, Tarime, Mbeya, Kigoma na Kagera, hawakuwa ni wazee wako wa Gerezani. Nyerere alikichukua kijiti cha harakati na kukimbia nacho kote nchini. Hii imeelezewa vizuri sana na Judith Listowell kwenye kitabu chake. Nakumbuka kisa kimoja alipokuwa Mbeya, marehemu mzee Shaba akakatazwa na wakoloni ( kwa sababu alikuwa anafanya kazi serikalini) kumkarimia Julius Nyerere. Ilibidi mzee Austin Shaba, kwa maficho, atafute njia za kuhakikisha Nyerere amepata chakula na analala mahali pazuri.
Hizo ndizo harakazi za wazee wetu. Kule Moshi walikuwepo akina Nsilo Swai, Eliufoo na ba mkwe wangu Aikaeli Mbowe, hawa wote walijitolea kwa hali na mali kusaidia ukuaji wa TANU, na sidhani walipata shukrani stahiki kutoka kwa Nyerere kama unavyodai wazee wako wa Gerezani hawakutukuzwa. Alichofanya Nyerere, na kwa hili Mtanzania yeyote anayeitakia mema nchi yetu daima atamshukuru, ni kwamba alihakikisha hakuna kikundi chochote kidogo au kikubwa, cha kikabila au kidini, kitakachohodhi madaraka ya utawala kama ilivyotokea Kenya baada ya Kenyatta kuwa rais wa nchi. Madhara yake tumeyashuhudia 2007. Akina Takadir na wale wenye muelekeo wa kidini wangefanikiwa na ajenda zao, Tanzania ya leo ingekuwa ni nchi ya mataba ya kidini, Waislamu wakijiona kuwa wao ndio walioleta uhuru na kwa hivi wana haki ya kuwa na lion's share of the national cake. Na hii ndiyo sababu ya malalamiko kuwa Waislamu wameonewa na kubaguliwa. Nyerere ali level the playing field kiasi kwamba leo akina Pinda, anayejiita mtoto wa mkulima kutoka Mpanda, anaweza kuwa waziri mkuu, Jakaya Kikwete, ****** wa Bagamoyo, anaweza kuwa rais wa nchi. This is no small feat. Kama kuna mapungufu, tumezungumzia hapa elimu ya Waislamu, na kuna ushahidi bayana kabisa kuwa ni kweli walibaguliwa lakini na wao wajitaji ku-step up to the plate (mfano wa shule za Castro) Kwa Mtanzania yeyote anayeitakia mema nchi yetu hakuna mtu anayetaka kuona kundi moja la Watanzania linabaki nyuma na jingine, liwe la kikabila au la kidini, linaendelea. Sasa, Mohamed, umejikita zaidi katika malalamishi na "uchonganishi" kwamba Waislamu wameonewa na mfumokristo, au christian lobby, ambayo huwezi kumtaja hata mtu mmoja ambaye ni member wa hiyo christian lobby. Hapa Marekani kuna Jewish lobby and they are very powerful, but they are indentifiable. Chrisitian lobby ya Tanzania ni phrase tu inayo conjure images of christians influencing the government lakini tukikuweka kiti moto ututajie ni nani hasa aliyemo humo chrstian lobby tutasikia mumbo jumbo tu. Hata tukianzisha truth and reconcilliation kwa mujibu wa taarifa nilizosoma hapa mnataka serikali ikiri kuwa kuna ubaguzi dhidi ya Waislamu, Nyerere alifanya makosa na hayo makosa yakidhi maandishi katika vitabu vyako. Utakirije makosa wakati ambapo hayo makosa ni debatable bado? Umetaja kuwekwa kizuizini kwa mashehe wa Kiislamu, wengine wakafukuzwa kurudi Zanzibar, wakati huo huo kuna ushahidi kuwa EAMWS ilikuwa inafanya njama na kukusanya fedha za Wahindi kwa lengo la kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU. Kwani hizo njama zilikuwa na lengo gani? Tumeshuhudia misukosuko mikubwa sana ya kisiasa katika nchi za Kiafrika katika miaka ya sitini. Lumumba aliuawa Congo kwa shinikizo la Marekani. Ben Bella akapinduliwa na watu waliokuwa karibu sana naye, Nkrumah akapinduliwa Ghana, Sylvanus Olimpio akakimbilia ubalozi wa Marekani na Wamarekani wakamkabidhi kwa waasi wakamuua. The fact that Nyerere survived all these upheavals speaks volumes. Hao mashehe wangefanikiwa kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU tungekuwa wapi hivi leo? Afadhali aliwaweka kizuizini na yule wa Zanzibari kurudishwa kwao. Nchi ingekuwa vurugu tupu. Sasa, what is the way forward? Tanzania leo inakabiliwa na high unemployment. That is a time bomb. Nachelea kusema kuwa ni rahisi kuwashawishi vijana wa Kiislamu wasio na ajira kuwa huu mfumokristo ndio umesababisha hali hii. They may take to the streets and cause another Libya but you know once Humpty Dumpty falls off the wall you cannot put him back together again. At the end of the day you have to supply them jobs and opportunities and I am sure hii cry wolf ya mfumokristo haiwezi kuwapatia ajira vijana wetu, Waislamu kwa Wakristo. Let us find a way to deal with the problems that are facing our nation together. Nimemaliza!
 
Duh, yaani mjadala bado unaendelea..! Hata hivyo nimerudi lakini sitakurupuka, nitachukua time nipitie kwanza michango yote ya wazalendo na wachochezi kabla sijatia neno. Hata hivyo natoa shukrani kwa wote waliosimama kidete kulitetea taifa letu bila kujali dini wala kabila dhidi ya wapuuzi hawa wenye malengo machafu na fikra potofu za kupandikiza chuki miongoni mwa wananchi. Hawa watu ambao nia yao kubwa ni kuleta machafuko lazima wakae wakijua kuwa hawatapata free ride kama wanavyofikiri na tupo wengi, Waislamu kwa Wakristo pamoja na wasiokuwa na dini, tutawapinga kwa nguvu zetu na uwezo wetu wote. Mungu ibariki Tanzania.
 
Namwambia Kigarama aende kwa Abdu Adam Sapi Mkwawa akakaenae chemba na amuombe amounyeshe zile barua alizokuwa akiandika Mkwawa kwa irabu za Kiarabu na amueleze uhusiano wake na Muarabu Rumaliza.

Akishafanya hivyo na arudi kwenye jamvi tuendelee. Asisahau kuuliza na majina ya wale nduguze Mtwa.

Mohamed Said hoja zako nyingi kuhusu link ya dini za great pple in the history of Tanganyika zimebase kwenye majina na hearsay. Sasa hapo juu hiyo habari ya kuitana chemba ni kwa sababu gani? Hizo barua au kuongelea Mtemi Mkwawa ni biashara ya madawa ya kulevya?

Ok hebu soma hapa chini:

25yuaz9.jpg

Source:An academic skating on thin ice

By Peter Worsley Pg. 65

Maswali:

1. Je unawafahamu kwa majina watoto wa mtemi Mkwawa zaidi ya Sapi?

2. This is too low, lakini kwa sababu ndiyo base yako je huyu Pancras, mojawapo wa watoto wa Mkwawa (U can use this as a cheat sheet hahaha) alikuwa pia mwislam?

kwanza hawa waislamu wanao taka uongozi au nguvu za kiuchumi ni waislamu jina au waki maslahi ndio maana unawaona wana kumbi za disko, wanauza pombe nk nk , wangekuwa waislamu kweli wasingekuwa wana kunywa pombe nk nk.
 
Mohamed Said hoja zako nyingi kuhusu link ya dini za great pple in the history of Tanganyika zimebase kwenye majina na hearsay. Sasa hapo juu hiyo habari ya kuitana chemba ni kwa sababu gani? Hizo barua au kuongelea Mtemi Mkwawa ni biashara ya madawa ya kulevya?

Ok hebu soma hapa chini:

25yuaz9.jpg

Source:An academic skating on thin ice

By Peter Worsley Pg. 65

Maswali:

1. Je unawafahamu kwa majina watoto wa mtemi Mkwawa zaidi ya Sapi?

2. This is too low, lakini kwa sababu ndiyo base yako je huyu Pancras, mojawapo wa watoto wa Mkwawa (U can use this as a cheat sheet hahaha) alikuwa pia mwislam?

Nyambala mimi napenda mnakasha lakini si katika ufedhuli. Hebu leta tana hayo unayotaka kusema kwa uungwana na mimi nikupe jibu langu.

Hiyo "madawa ya kulevya" na hicho kibri cha nini hapa ndugu yangu lipi lililokuudhi hadi unajitoa katika mstari?

Mohamed
 
Naona mnakasha unaelekea ukingoni. Ningependa na mimi kuchangia points zangu za kumalizia. Mohamed, umemtuhumu na umejitahidi kuonyesha kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa mdini na kwamba aliwabagua Waislamu. Hoja yako ni kwamba juhudi za uhuru zilianzishwa na wazee wa Gerezani. Hapo hatuna ubishi. Kuna uanzishwaji wa kitu na uendelezwaji. Mfano ANC ya Afrika kusini ilianzishwa mwaka 1912 kutetea maslahi ya Waafrika na kupinga kuchukuliwa ardhi ya Waafrika kwa nguvu na Makaburu. ANC ilipitia misukosuko mingi. Ikapigwa marufuku. Lakini katika mioyo ya wazalendo, ANC haikufa na isingeweza kufa na ikaendelea mpaka miaka ya 60 licha ya purukushani za kuwaweka vizuizini wazalendo wakiwa pamoja na Nelson Mandela, ANC haikufa. Ninachosema hapa ni kwamba kuna kuanzishwa kwa harakati na kuna kuendelezwa harakati. Granted, vuguvugu la uhuru limeanzia Gerezani, lakini aliyelifikisha vuguvugu hilo Moshi, Tarime, Mbeya, Kigoma na Kagera, hawakuwa ni wazee wako wa Gerezani. Nyerere alikichukua kijiti cha harakati na kukimbia nacho kote nchini. Hii imeelezewa vizuri sana na Judith Listowell kwenye kitabu chake. Nakumbuka kisa kimoja alipokuwa Mbeya, marehemu mzee Shaba akakatazwa na wakoloni ( kwa sababu alikuwa anafanya kazi serikalini) kumkarimia Julius Nyerere. Ilibidi mzee Austin Shaba, kwa maficho, atafute njia za kuhakikisha Nyerere amepata chakula na analala mahali pazuri.
Hizo ndizo harakazi za wazee wetu. Kule Moshi walikuwepo akina Nsilo Swai, Eliufoo na ba mkwe wangu Aikaeli Mbowe, hawa wote walijitolea kwa hali na mali kusaidia ukuaji wa TANU, na sidhani walipata shukrani stahiki kutoka kwa Nyerere kama unavyodai wazee wako wa Gerezani hawakutukuzwa. Alichofanya Nyerere, na kwa hili Mtanzania yeyote anayeitakia mema nchi yetu daima atamshukuru, ni kwamba alihakikisha hakuna kikundi chochote kidogo au kikubwa, cha kikabila au kidini, kitakachohodhi madaraka ya utawala kama ilivyotokea Kenya baada ya Kenyatta kuwa rais wa nchi. Madhara yake tumeyashuhudia 2007. Akina Takadir na wale wenye muelekeo wa kidini wangefanikiwa na ajenda zao, Tanzania ya leo ingekuwa ni nchi ya mataba ya kidini, Waislamu wakijiona kuwa wao ndio walioleta uhuru na kwa hivi wana haki ya kuwa na lion's share of the national cake. Na hii ndiyo sababu ya malalamiko kuwa Waislamu wameonewa na kubaguliwa. Nyerere ali level the playing field kiasi kwamba leo akina Pinda, anayejiita mtoto wa mkulima kutoka Mpanda, anaweza kuwa waziri mkuu, Jakaya Kikwete, ****** wa Bagamoyo, anaweza kuwa rais wa nchi. This is no small feat. Kama kuna mapungufu, tumezungumzia hapa elimu ya Waislamu, na kuna ushahidi bayana kabisa kuwa ni kweli walibaguliwa lakini na wao wajitaji ku-step up to the plate (mfano wa shule za Castro) Kwa Mtanzania yeyote anayeitakia mema nchi yetu hakuna mtu anayetaka kuona kundi moja la Watanzania linabaki nyuma na jingine, liwe la kikabila au la kidini, linaendelea. Sasa, Mohamed, umejikita zaidi katika malalamishi na "uchonganishi" kwamba Waislamu wameonewa na mfumokristo, au christian lobby, ambayo huwezi kumtaja hata mtu mmoja ambaye ni member wa hiyo christian lobby. Hapa Marekani kuna Jewish lobby and they are very powerful, but they are indentifiable. Chrisitian lobby ya Tanzania ni phrase tu inayo conjure images of christians influencing the government lakini tukikuweka kiti moto ututajie ni hani hasa aliyemo humo chrstian lobby tutasikia mumbo jumbo tu. Hata tukianzisha truth and reconcilliation kwa mujibu wa taarifa nilizosoma hapa mnataka serikali ikiri kuwa kuna ubaguzi dhidi ya Waislamu, Nyerere alifanya makosa na hayo makosa yakidhi maandishi katika vitabu vyako. Utakirije makosa wakati ambapo hayo makosa ni debatable bado? Umetaja kuwekwa kizuizini kwa mashehe wa Kiislamu, wengine wakafukuzwa kurudi Zanzibar, wakati huo huo kuna ushahidi kuwa EAMWS ilikuwa inafanya njama na kukusanya fedha za Wahindi kwa lengo la kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU. Kwani hizo njama zilikuwa na lengo gani? Tumeshuhudia misukosuko mikubwa sana ya kisiasa katika nchi za Kiafrika katika miaka ya sitini. Lumumba aliuawa Congo kwa shinikizo la Marekani. Ben Bella akapinduliwa na watu waliokuwa karibu sana naye, Nkrumah akapinduliwa Ghana, Sylvanus Olimpio akakimbia ubalozi wa Marekani na Wamarekani wakamkabidhi kwa waasi wakamuua. The fact that Nyerere survived all these upheavals speaks volumes. Hao mashehe wangefanikiwa kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU tungekuwa wapi hivi leo? Afadhali aliwaweka kizuizini na yule wa Zanzibari kurudishwa kwao. Nchi ingekuwa vurugu tupu. Sasa, what is the way forward? Tanzania leo inakabiliwa na high unemployment. That is a time bomb. Nachelea kusema kuwa ni rahisi kuwashawishi vijana wa Kiislamu wasio na ajira kuwa huu mfumokristo ndio umesababisha hali hii. They may take to the streets and cause another Libya but you know once Humpty Dumpty falls off the wall you cannot put him back together again. At the end of the day you have to supply them jobs and opportunities and I am sure hii cry wolf ya mfumokristo haiwezi kuwapatia ajira vijana wetu, Waislamu kwa Wakristo. Let us find a way to deal with the problems that are facing our nation together. Nimemaliza!

Jasusi,

Ndugu yangu ni shida sana kupambana na yote niliyosema hapa jamvini kwani hii yako ni ndogo sana tena sana. Mimi nakuomba wewe na wanaukumbi wenzetu watafakari na haya hapa chini:

Geofrey Sawaya alipewa ruksa na nani kuzunguka Tanzania Bara yote na mifuko ya fedha kuhonga vibaraka kuunga mkono BAKWATA? Mzee Bilal Rehani Waikela mmoja wa viongozi wa EAMWS yu hai yuko Tabora atakae kujua mengi na akamuulize yeye alikataa hongo hiyo. Soma hapa chini:
"Sikuchache baada ya tukio hili Waikela aliitwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinaikusailiwa kwa nini anaipinga BAKWATA. Wakiwa ndani ya chumba cha Tabora Hotel,Geoffrey Sawaya, Mkrugenzi wa C.I.D, alimpiga maswali Waikela na kutaka kujuakwa nini yeye hayuko tayari kushirikiana na serikali kuipa nguvu na kuienezaBAKWATA. Sawaya akatoa hongo ya shilingi elfu arobaini kwa Waikela ili asaidiekuimarisha BAKWATA. Waikela kama istizai alimuuliza Sawaya kama fedha zilezilikuwa zimetoka "bait mal." Waikela alikataa kupokea hongo ile. Sawayaakamtisha lakini Waikela hakutishika. Waikela aliwekwa ndani ya chumba kileakiulizwa maswali kwa kiasi cha saa nne na kisha akaamrishwa kuweka sahihi yakekatika makaratasi fulani. Hili alilifanya. Waikela hakufuatwa tena na serikali.Ingawa kulikuwepo na juhudi za chinichini za kuipinga BAKWATA, juhudi hizihazikushinda kwa kuwa BAKWATA iliweza kufungua matawi yake nchi nzima pamoja naTabora. Wapo baadhi ya viongozi ambao hawakuweza kuhimili vishawishi vyakupokea ile hongo ya serikali na kwa ajili hii walishirikiana na serikali hivyokuwezesha ofisi za BAKWATA kufunguliwa, hata kama zipo pale kwa jina tu."

Marehemu Rashid Kayugwa wa Usalama wa Taifa alipewa ruksa na nani kuwa mshauri wa kundi lililokuwa linashirikiana na Nyerere katika kuvunja EAMWS:

"RashidKayugwa Afisa wa Usalama Taifa, Dar es Salaam ndiye aliyepewa kazi ya kudumishamawasiliano kati ya kundi la Adam Nasibu serikali. Kayugwa ndiye aliyekuwaakielekeza kundi la Adam Nasibu mbinu za propaganda na nini kifanyike na kwawakati gani ili kuvunja umoja wa Waislam. Kayugwa alikuwa amepata mafunzo yakeya ukachero Israel, Checkoslovakia na Marekani. Katika kuhakikisha mafanikio yamkutano wa Iringa, Kayugwa ambae ni mzaliwa wa Iringa alipendekeza mkutano waWaislam wa Taifa ufanyike Iringa kwa kuhofu vurugu na upinzani kutoka kwaWaislam wa Dar es Salaam. Baada ya kusoma kitabu cha Padri John Sivalonkilichoeleza kuwa Kanisa baada ya uhuru liliendesha hujuma dhidi ya Uislam naWaislam kwa kupitia serikali, ndipo ilipomdhihirikia ukweli na kuona kuwaalipokuwa akitumiwa kuhujumu EAMWS hakuwa akitumikia serikali kama alivyokuwaanadhani bali alikuwa akilitumikia Kanisa, kama kuomba maghufira kwa MwenyeziMungu, aliamua kueleza mchango wake katika kuwahujumu Waislam na Uislam ili iwefundisho na onyo kwa Waislam watakao kuwa katika utumishi wa vyombo kama hivyosiku za usoni. Kabla ya kufa kwake alieleza masikitiko yake kwa kukandamizwakwa Waislam na akatoa mfano wake mwenyewe wa kutopandishwa cheo katika Usalamawa Taifa kwa sababu tu yeye alikuwa Muislam."

Mohamed

Kila la kheri, but tunaomba utakaowauliza na vile vile uwaulize akina Muhammad bin Khalfan bin Khamis Al-Barwan a.k.a Rumaliza ni nani? Na wakupatie tarehe za Mkwawa kuanzia alivyozaliwa mpaka kufariki. Pia wakupatie details za watu wake wa karibu, rafiki ukoo na kadhalika. Kiufupi wakupatie taarifa zote ili ukirudi hapa uwe umekamilika mkuu ili uje kutujuza kwa uwazi zaidi kwani wengine hatuna tunu kama yako mkuu.

M,

Nilikutana na kitukuu cha Rumaliza Dubai yeye somo yangu alifurahi sana kuonana na mimi. Tulizungumza mengi sana. Babu yake ndiye akimpa Mkwawa silaha za kupambana na Wajerumani.

Mohamed
 
Nguruvi3,

Tutakuwa tunarudia mle kwa mle. Nimesema sisi huko unakotaka kuturudisha tumepita siku nyingi. Mimi sijaegemea katika makala kama ndiyo nguzo yangu.

Mimi nina "papers" hata ziko ngapo sijui ninazoziorodhesha ni zile nilizotoa vyuo vikuu kwa suala hili hililililopo jamvini.

Mimi nguzo yangu ni kitabu cha Abdu Sykes na nimekupeni changamoto na nyinyi andikeni michango ya wazee wenu tuisome kwani hamtoweza kunijibu kwa "paragraphs" katika JF. umeambiwa juzi juzi tu hapa mkurungenzi wa halmashauri huko lindi analalamika shule hazina wanafunzi na huko ndiko walikokajaa ndugu zako. Je baada ya miaka 6 unategemea uwaone elimu ya juu wakati kusoma hawataki. Utamlaumu mfumokristo.
 
Na uombe radhi ukumbi kwa kupotosha aya za Qur'an kuandika isivyo. Mbona hili unalikimbia halafu unaitamka InshaAllah, halafu huyo huyo Allah aya zake unabandika utakavyo wewe, sijui tukueleweje?

ff naye kazi wake kudandia mada za wenzake na kuvuruga mara oh subiri nondo zishuki kutoka kwa ms wewe nondo zako ziko wapi? Au ndo mnamtegemea huyo msomi wenu anayepotosha watu.
 
Nyambala mimi napenda mnakasha lakini si katika ufedhuli. Hebu leta tana hayo unayotaka kusema kwa uungwana na mimi nikupe jibu langu.

Hiyo "madawa ya kulevya" na hicho kibri cha nini hapa ndugu yangu lipi lililokuudhi hadi unajitoa katika mstari?

Mohamed

1. Je unawafahamu kwa majina watoto wa mtemi Mkwawa zaidi ya Sapi?

2. Nisingependa kuingia mjadala wa namna hii maana si utanzania, lakini kwa sababu ndiyo base yako je huyu Pancras, mojawapo wa watoto wa Mkwawa (U can use this as a cheat sheet hahaha) alikuwa pia mwislam?
 
ff naye kazi wake kudandia mada za wenzake na kuvuruga mara oh subiri nondo zishuki kutoka kwa ms wewe nondo zako ziko wapi? Au ndo mnamtegemea huyo msomi wenu anayepotosha watu.
Nondo zangu hujaziona? Hujaona tulipomuumbua Mzee Mwanakijiji kwa kuileta Qurkan visivyo? Hizo ndio nondo zangu. Kuweka sawa mambo panapohitaji. Mjadala wa mohamed Said sikutaka kuutowa nje ya mada kama walivyotaka wengine iwe na nnaweza kusema nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuurudisha unapotakiwa nilistuka mapema. Pitia post zangu utaelewa "role" yangu niliyoona itasaidia.

Kila mada ziliporudi zinapotakiwa nilikaa kimya kungoja Mohamed Said ashushe nyundo. Mpaka watu wakabandua maandiko yao humu kimya kimya, wengine wakabadili mara mbili mbili maandiko yao. Hizo ndio nondo zangu.
 
1. Je unawafahamu kwa majina watoto wa mtemi Mkwawa zaidi ya Sapi?

2. Nisingependa kuingia mjadala wa namna hii maana si utanzania, lakini kwa sababu ndiyo base yako je huyu Pancras, mojawapo wa watoto wa Mkwawa (U can use this as a cheat sheet hahaha) alikuwa pia mwislam?

Nyambala,

Ahsante sana.

Swali lako la kwanza wala halihitaji jibu kwa kuwa jibu lake ni dhahir.

Swali la pili umezungumzia mtoto. Mimi sijagusa mtoto.

Lakini kubwa zaidi nilitoa ombi kuwa tupate majibu kutoka Kalenga.

Mohamed
 
Jasusi,

Ndugu yangu ni shida sana kupambana na yote niliyosema hapa jamvini kwani hii yako ni ndogo sana tena sana. Mimi nakuomba wewe na wanaukumbi wenzetu watafakari na haya hapa chini:

Geofrey Sawaya alipewa ruksa na nani kuzunguka Tanzania Bara yote na mifuko ya fedha kuhonga vibaraka kuunga mkono BAKWATA? Mzee Bilal Rehani Waikela mmoja wa viongozi wa EAMWS yu hai yuko Tabora atakae kujua mengi na akamuulize yeye alikataa hongo hiyo. Soma hapa chini:
"Sikuchache baada ya tukio hili Waikela aliitwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinaikusailiwa kwa nini anaipinga BAKWATA. Wakiwa ndani ya chumba cha Tabora Hotel,Geoffrey Sawaya, Mkrugenzi wa C.I.D, alimpiga maswali Waikela na kutaka kujuakwa nini yeye hayuko tayari kushirikiana na serikali kuipa nguvu na kuienezaBAKWATA. Sawaya akatoa hongo ya shilingi elfu arobaini kwa Waikela ili asaidiekuimarisha BAKWATA. Waikela kama istizai alimuuliza Sawaya kama fedha zilezilikuwa zimetoka "bait mal." Waikela alikataa kupokea hongo ile. Sawayaakamtisha lakini Waikela hakutishika. Waikela aliwekwa ndani ya chumba kileakiulizwa maswali kwa kiasi cha saa nne na kisha akaamrishwa kuweka sahihi yakekatika makaratasi fulani. Hili alilifanya. Waikela hakufuatwa tena na serikali.Ingawa kulikuwepo na juhudi za chinichini za kuipinga BAKWATA, juhudi hizihazikushinda kwa kuwa BAKWATA iliweza kufungua matawi yake nchi nzima pamoja naTabora. Wapo baadhi ya viongozi ambao hawakuweza kuhimili vishawishi vyakupokea ile hongo ya serikali na kwa ajili hii walishirikiana na serikali hivyokuwezesha ofisi za BAKWATA kufunguliwa, hata kama zipo pale kwa jina tu."

Marehemu Rashid Kayugwa wa Usalama wa Taifa alipewa ruksa na nani kuwa mshauri wa kundi lililokuwa linashirikiana na Nyerere katika kuvunja EAMWS:

"RashidKayugwa Afisa wa Usalama Taifa, Dar es Salaam ndiye aliyepewa kazi ya kudumishamawasiliano kati ya kundi la Adam Nasibu serikali. Kayugwa ndiye aliyekuwaakielekeza kundi la Adam Nasibu mbinu za propaganda na nini kifanyike na kwawakati gani ili kuvunja umoja wa Waislam. Kayugwa alikuwa amepata mafunzo yakeya ukachero Israel, Checkoslovakia na Marekani. Katika kuhakikisha mafanikio yamkutano wa Iringa, Kayugwa ambae ni mzaliwa wa Iringa alipendekeza mkutano waWaislam wa Taifa ufanyike Iringa kwa kuhofu vurugu na upinzani kutoka kwaWaislam wa Dar es Salaam. Baada ya kusoma kitabu cha Padri John Sivalonkilichoeleza kuwa Kanisa baada ya uhuru liliendesha hujuma dhidi ya Uislam naWaislam kwa kupitia serikali, ndipo ilipomdhihirikia ukweli na kuona kuwaalipokuwa akitumiwa kuhujumu EAMWS hakuwa akitumikia serikali kama alivyokuwaanadhani bali alikuwa akilitumikia Kanisa, kama kuomba maghufira kwa MwenyeziMungu, aliamua kueleza mchango wake katika kuwahujumu Waislam na Uislam ili iwefundisho na onyo kwa Waislam watakao kuwa katika utumishi wa vyombo kama hivyosiku za usoni. Kabla ya kufa kwake alieleza masikitiko yake kwa kukandamizwakwa Waislam na akatoa mfano wake mwenyewe wa kutopandishwa cheo katika Usalamawa Taifa kwa sababu tu yeye alikuwa Muislam."

Mohamed

Ni shida kivipi wakakti mandishi yako yamechambuliwa hapa.......na kuonyesha picha na madhumuni yako halisi....isiyo na uelekeo wa upendo na Taifa hili............nina hakika baada ya mnakasha wa hapa utakaa chini kujiuliza mengiu kuhusu maswali mengi yaliyoulizwa hapa JF ambayo yatajenga uandishi wako kwa mlengo wa kujenga Taifa letu....

Pili, unaposema maandishi ya mwenzako ni ".......ni ndogo sana tena sana...." hilo ni moja ya tatizo lako.....unapoambiwa kitu cha ukweli na uhakika....badala ya ku-acknowledge wewe unaleta ushindani......hii inaendelea kudhihirisha nia yako isiyo njema kwa Taifa letu.....

tatu.......haya mambo ya kusimuliwa na watu walio na grudges zao binafsi na watu wengine ndio yanayopelekea simulizi zako kutokuwa na mashiko.....kwani ukiangalia watu waliokusimulia habari zao....wengi wao wana grudges either na Mwl JKN RIP au wale waliokuwa wakitekeleza majukumu ya Kitaifa bila upendeleo wa Kikabila, Udini wala kuogopa Ukoo wa watu maarufu....
 
Nguruvi3,

Tutakuwa tunarudia mle kwa mle. Nimesema sisi huko unakotaka kuturudisha tumepita siku nyingi. Mimi sijaegemea katika makala kama ndiyo nguzo yangu.

Mimi nina "papers" hata ziko ngapo sijui ninazoziorodhesha ni zile nilizotoa vyuo vikuu kwa suala hili hililililopo jamvini.

Mimi nguzo yangu ni kitabu cha Abdu Sykes na nimekupeni changamoto na nyinyi andikeni michango ya wazee wenu tuisome kwani hamtoweza kunijibu kwa "paragraphs" katika JF. umeambiwa juzi juzi tu hapa mkurungenzi wa halmashauri huko lindi analalamika shule hazina wanafunzi na huko ndiko walikokajaa ndugu zako. Je baada ya miaka 6 unategemea uwaone elimu ya juu wakati kusoma hawataki. Utamlaumu mfumokristo.

D,

Jitulize ondoa hamaki kisha tufanye mnakasha.

Umeweka changamoto la kuandika kitabu, umeweka shule za Lindi.

Sasa lipi ni lipi?

Kubwa zaidi kwani huu mnakasha anuani yake ni ipi?

Mohamed
 
Tatizo ni kwamba mnaposema mmeshakutana na "waarabu" wakristo wanaandika kiarabu. Mlitaka Waarabu waandike kwa kiswahili.

Ningewaona mna point japo kidogo mngetoa mfano wa Mtanganyika aandikae kiarabu naye sio Muislaam.

Nyie mmekezana wamisri, wairaq, wa lebanon, wasyria wakristo, Kwani ukristo ni lugha? Ikiwa hao wote ni waarabu wawe dini yoyote ile wakiandika Kiarabu cha ajabu ni nini?. Mkwawa alikuwa Mwarabu? Kimweri alikuwa Mwarabu? Hiyo ndio ajabu kwani inajulikana huku kwetu Waafrika waandikao kwa irabu za Kiarabu ni Waislaam.

Labda swali lirudi kwako, kwani uislamu ni lugha??

Hata hivyo huo ni uthibitisho kwamba uislamu ni kitu kimoja na kiarabu ni kitu kingine.
Kwani wote wanaoandika na kuongea kiingereza nao ni waingereza? mbona akina sykes walikuwa wanaongea kijerumani lakini ni waislamu?

Hivi wale waalimu ngozi nyeusi wanaofundisha kiarabu kwenye taasisi mbalimbali za elimu wote ni waislamu? mbona unajenga hoja nyepesi kiasi hicho? btw, bado haijathibitishwa kwamba mkwawa alikuwa ni muislamu. Huyu alikuwa anaabudu dini ya asili!!
 
Ni shida kivipi wakakti mandishi yako yamechambuliwa hapa.......na kuonyesha picha na madhumuni yako halisi....isiyo na uelekeo wa upendo na Taifa hili............nina hakika baada ya mnakasha wa hapa utakaa chini kujiuliza mengiu kuhusu maswali mengi yaliyoulizwa hapa JF ambayo yatajenga uandishi wako kwa mlengo wa kujenga Taifa letu....

Pili, unaposema maandishi ya mwenzako ni ".......ni ndogo sana tena sana...." hilo ni moja ya tatizo lako.....unapoambiwa kitu cha ukweli na uhakika....badala ya ku-acknowledge wewe unaleta ushindani......hii inaendelea kudhihirisha nia yako isiyo njema kwa Taifa letu.....

tatu.......haya mambo ya kusimuliwa na watu walio na grudges zao binafsi na watu wengine ndio yanayopelekea simulizi zako kutokuwa na mashiko.....kwani ukiangalia watu waliokusimulia habari zao....wengi wao wana grudges either na Mwl JKN RIP au wale waliokuwa wakitekeleza majukumu ya Kitaifa bila upendeleo wa Kikabila, Udini wala kuogopa Ukoo wa watu maarufu....

Ogah,

Kweli katika hayo yote niliyoweka hapo juu huna cha kuchangia katika hayo?
Kweli uloona stahili ya majibu ni hayo maneno yako hapo juu, kweli?

Unazungumzia uzalendo wa kupenda nchi.

Haya si ndiyo yaliyonisukuma humu jamvini na kueleza mchango wa wazee wangu?
Huna la kusema kuhusu Abdu Sykes na mchango wake katika TAA au mchango wa mdogo wake Ally au baba yao?

Huna kitu cha kusema kuhusu Said Chamwenyewe, Dossa Aziz, Mshume Kiyate, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Yusuf Badi, Tatu bint Mzee, Rashid Sisso, Yusuf Ngozi, Yusuf Chembera, Salum Mpunga na wengineo wengi watu ambao wengi walikuwa hawajui historia zao katika kupigania uhuru wa Tanganyika mimi nikawawekeeni hapa maisha yao.

Huna chochote kile cha kusema...

Umeshindwa kusifia uzalendo wa watu hawa?

Mohamed
 
Kwa umri wa Mohamed na kwa kuwa ameamua kutoka kwa hoja hii ya UDINI wa Mwalimu (Yeye Mohamed sio MDINI!) hatuwezi kumbadili wala kumshawishi vinginevyo. Bahati nzuri WATANZANIA tulio wengi DINI hazitusumbui sana. Tunazitumia kwa mambo yetu binafsi tu kama kuzikana, ndoa, kutambika,...basi.
Historia ya NCHI hii haiwezi kuandikwa upya pia kwa sababu ya watu kama Mohamed. Mchango wake tumeuona, tumeusoma, inatosha.
 
Ogah,

Kweli katika hayo yote niliyoweka hapo juu huna cha kuchangia katika hayo?
Kweli uloona stahili ya majibu ni hayo maneno yako hapo juu, kweli?

Unazungumzia uzalendo wa kupenda nchi.

Haya si ndiyo yaliyonisukuma humu jamvini na kueleza mchango wa wazee wangu?
Huna la kusema kuhusu Abdu Sykes na mchango wake katika TAA au mchango wa mdogo wake Ally au baba yao?

Huna kitu cha kusema kuhusu Said Chamwenyewe, Dossa Aziz, Mshume Kiyate, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Yusuf Badi, Tatu bint Mzee, Rashid Sisso, Yusuf Ngozi, Yusuf Chembera, Salum Mpunga na wengineo wengi watu ambao wengi walikuwa hawajui historia zao katika kupigania uhuru wa Tanganyika mimi nikawawekeeni hapa maisha yao.

Huna chochote kile cha kusema...

Umeshindwa kusifia uzalendo wa watu hawa?

Mohamed
Kuna aliyepigania UHURU nchi hii zaidi ya Mkwawa na ile vita ya Majimaji? Hawa wazee wako na Mwalimu WALIDAI tu uhuru wetu. Tanganyika haikuwa KOLONI la Mwingereza. Wewe unalikuza hili kwa kusukumwa na DINI yako badala ya UZALENDO.
 
1. Je unawafahamu kwa majina watoto wa mtemi Mkwawa zaidi ya Sapi?

2. Nisingependa kuingia mjadala wa namna hii maana si utanzania, lakini kwa sababu ndiyo base yako je huyu Pancras, mojawapo wa watoto wa Mkwawa (U can use this as a cheat sheet hahaha) alikuwa pia mwislam?

Hapo mwenyewe unajiona ndio umetoa ushahidi kuwa Mkwawa hakuwa Muislam? Go and do your research and come back with something credible.
 
Kuna aliyepigania UHURU nchi hii zaidi ya Mkwawa na ile vita ya Majimaji? Hawa wazee wako na Mwalimu WALIDAI tu uhuru wetu. Tanganyika haikuwa KOLONI la Mwingereza. Wewe unalikuza hili kwa kusukumwa na DINI yako badala ya UZALENDO.

Ogah,

Michango ndiyo kama hivi na sote sasa tunanufaika na fikra zako.

Mohamed
 
Back
Top Bottom