Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa


Leo utalala na viatu kwa uwongo wako uliojaa udini.


Chezea Nyerere weye?!

Nyerere amekuwa mungu sasa? Hebu fafanua udini unamaanisha nini maana mie naona kama umeishiwa hoja na kutafuta maneno na majina kunibandika nayo. Hii mada ni intellectual debate kama huna cha kuchangia na una hamaki hujalazimishwa kuchangia!!!!!!!!!!!
 

Huyu Jeruselem ni mgonjwa..

Uwezo wake ni mdogo sana ..kama anayo akili atakuwa anapretending hamnazo..

Nenda naye taratibu..anataka ku-divert mada..kwingine..
 

wewe kama intellectual huwezi kuingizwa mkenge kirahisi namna hiyo.

labda nicheki tena kamusi yangu ya TUKI nione maana ya intellectual kwa Kiswahili or sorry, kwa kiarabu.
 
Huyu Jeruselem ni mgonjwa..

Uwezo wake ni mdogo sana ..kama anayo akili atakuwa anapretending hamnazo..

Nenda naye taratibu..anataka ku-divert mada..kwingine..

mimi si divert mada.

hoja iko palepale...............kuondoa mfumokristo na kuweka mfumo-islamu.

huko ni ku-divert?

mimi siangalii content, naangalia context.
 
mimi si divert mada.

hoja iko palepale...............kuondoa mfumokristo na kuweka mfumo-islamu.

huko ni ku-divert?

mimi siangalii content, naangalia context.

No!

Hoja ni kuondoa "imbalances" created by so called leaders either intentionally or by default to save the nation from tension and chaos..

Historia imebakwa na watu muhimu wameachwa kwasababu mbalimbali ikiwemo udini au mtu moja (nyerere) amependelewa kwa sababu ya dini yake..

National cake inapelekwa kwenye miradi ya kanisa shule/hospitali badala ya miradi ya serikali kama shule za kata...etc

Besides, what is special with christian projects?? mbona waislam wanaendesha miradi kama hiyo bila kupewa ruzuku na serikali?
 

imbalances?

why now?

kwamba kwa kuwa kila nafasi nyeti imeshikwa na swala tano ndiyo mnaona kuna imbalances.

don't take advantage bana.

tanganyika ni ya watanganyika.

kwani madini ya watanganyika kule kanda ya ziwa yanawafaidisha nini watanganyika wa huko, hasa wakati huu ambapo mfumo-islam umeshika hatamu?

acha ku-divert bana.
 

Kaishiwa hoja ndio maana namuambia Jerusalem Sheikh Mohamed Said ni kama Mohamed Ali kwani "He jumps like butterfly and sting like bee!!!!" Hana hoja anaishia kuita majina watu ili kudivert mada. Nimemuuliza anipatie definition ya udini ni nini?
 
Kaishiwa hoja ndio maana namuambia Jerusalem Sheikh Mohamed Said ni kama Mohamed Ali kwani "He jumps like butterfly and sting like bee!!!!" Hana hoja anaishia kuita majina watu ili kudivert mada. Nimemuuliza anipatie definition ya udini ni nini?

bahati mbaya unaniuliza swali kabla sijapata majibuya maswali yangu nilouliza tangu mchana...................

naomba tofauti ya 'kisa'/'visa' na 'historia'.

vinginevyo nitaendelea kuamini kuwa makala za Mo ni porojo.

ni ilmu ya mapokeo kutoka kwa bibi yake.

sasa ya nini intellectual wazima kukaa munajadili mapokeo?
 

Jerusalem,

Sina uwezo wa kukulazimisha uamini niliyoandika. Unaweza kuita kazi zangu upendavyo hakuna wa kukuzuia.
Kwa ajili hii basi hainiwajibikii kukujibu hayo mengine.

Mohamed
 

Why now? wewe ndio hauko nchini haya mambo yana miaka mingi yanazungumzwa na vitabu vimeandikwa na wanazuoni wa kiislamu tangu enzi za mwalimu so usisema now it started long time ago..sasa dalili zimeanza ku-manifests

Madini and what not ni mambo ya msingi lakini ubaguzi ni jambo la msingi pia..hatamu mmeshika nyie bana mkisema hakunahiki lazima kinakuwa..
 
Waislam wanatamani Rais wa kwanza angekuwa muislam,wanatamani uislam wa sasa ukisaidiwa na Rais muislam ungekuwa na nguvu lakini ndio upofu umewazidi labda kwa taarifa hata rais,makamu ,madirector wote waka waislam hautaweza kuondoa ubunifu,ujuzi,kasi,mipango,uwezo ktk kuendeleza jamii inayowazunguka haijalishi ni muislam au mpagani,wenzenu wanahubiri upendo,nyie mmekazania ubinafsi, chuki na ubaguzi nawapongeza sana kwani ndio kushindwa kwenu huko endeleeni kulalami wakati wenzenu watatua matatizo yanayoizunguka jamii!iko tofauti kubwa sana kati ya mkristo na muislam na Mungu wa kikristo sio wa waislam .
 

Watu wanajadili mambo ya msingi unaleta porojo, wewe kwa ufahamu chochote kuhusu historia ya uhuru michango yako unaonekana mtoto mdogo.

Sio mpaka na wewe uchangie unatakiwa ujifunze kwa kusoma sio uamini yale uliokalilishwa na baba yako tu
 
Watu wanajadili mambo ya msingi unaleta porojo, wewe kwa ufahamu chochote kuhusu historia ya uhuru michango yako unaonekana mtoto mdogo.

Sio mpaka na wewe uchangie unatakiwa ujifunze kwa kusoma sio uamini yale uliokalilishwa na baba yako tu

tulia wewe acha kelele huku ni watu tunaoijua historia ya nchi ndio tunapost.
 
tulia wewe acha kelele huku ni watu tunaoijua historia ya nchi ndio tunapost.

Mdogo wangu acha ujeuri jifunze kutoka kwa Mohamed Said, nimecheka eti wewe unajua historia ya Tanzania.

Juzi nilisoma pandiko lako unajielezea kuwa Lema ni baba yako mdogo, sasa Lema mwenyewe umri wake hawezi kuzidi 34 sasa wewe mtoto wake utakuwa na umri gani?

Mimi ni mkubwa kwako najua vizuri historia ya Tanzania kuliko wewe uliokalilishwa bahati nzuri nimeuona utawala wa wakoloni.

Vile nimeona utawala wa Nyerere na mapambano ya uhuru nimeyasoma na nimeyaona pia..

Jifunze kijana sasa wewe kila post yako ni kutukana tu uislam
 

Nafikiri unachanganya mambo.

Waislam wa Tanganyika hawahitaji lolote zaidi ya kuona keki ya matunda ya uhuru wenu yananufaisha wote na sio kubagua baadhi ya watu na kupendelea wengine.

Hakika siku zote wanataka dhulma iondoke kabisaa na haki kusimama kwa wote.
 

Swadakta mkuu wangu..
 

Nimefuatilia maandiko yako na kuona ni jinsi gani unavyojaribu kutumia dini kutugawa Watanzania. Kwa ujumla dunia nzima elimu ya Magharibi waislamu hawakuichangamkia siku zote kulinganisha na wakristo. Hata kwenye nchi za Waarabu kama Egypt, Iraq, Iran etc. ambako asilimia kubwa ni waislam utakuta jumuiya ndogo ya kikisto inakuwa na mwamko wa kielimu zaidi.

Swala la kusema vita za Mjerumani zilikuwa ni vita dhidi ya Uislam ni upotoshaji. Wakoloni walitawala kwa malengo yao binafsi. Hawakuwa hapa kutangaza dini bali kuchuma mali. Ukienda nchi za kusini mwa Africa amabako idadi kubwa ya watu wake ni wakristo kama Namibia, RSA na Bostwana utakuta bado kulikuwa na vita na wenyeji. Mfano nchi kama Namibia wakati wa vita vya majimaji kwetu 1904-1908 walikuwa na vita dhidi ya Waherero na Wanama ambao 98+ % ni wakristo. Kwa taarifa yako wenyeji waliuawa sana tena kupitia kwenye makanisa. Sasa kama swala ni dini sijui ilikuwaje wawauwe wakristo wenzao au this thing only applied to our country???

Of course wote tunajua kuwa Mkoloni alitumia njia ya divide and rule, ila tafsiri yako inataka kupotosha kutufanya tuamini Nyerere alitumia njia hiyo hiyo na sasa Kikwete anawajibu wa kuirekebisha!!!
 

Mr Zero,

Uhuru ni wako wa kuichambua historia kama unavyopenda simlazimishi mtu kuamini yale niandikayo.

Lengo langu kuu ni kuieleza ile historia ambayo wengu hawakuwa wanaifahamu.

Mohamed
 
Mr Zero,

Uhuru ni wako wa kuichambua historia kama unavyopenda simlazimishi mtu kuamini yale niandikayo.

Lengo langu kuu ni kuieleza ile historia ambayo wengu hawakuwa wanaifahamu.

Mohamed

Hii historia ya wazee wako mamluki waliokulia na kutokea gerezani.......jinsi unavyoiweka......badala ya kutupa faraja ya kuifahamu historia amabyo hatukuifahamu....wewe unaiweka katika mtizamo wa kichochezi na kupandikiza chuki za kidini,......pamoja na kukupa wewe baadhi ya maandishi yao kutoka kwenye diaries zao.........je pia wao walikuambia uje ulete uchochezi kwa mgongo wa dini?......kama ni hivyo basi hizo familia za gerezani zina matatizo makubwa sana.......matatizo yanayotokana na mamluki hao kujiona wao wana haki zaidi ya wengine.....tena wazawa......

I declare kuwa............Mohamed Said ni mtu hatari kwa Taifa letu.......mmeambiwa!
 
Hivi hii ni Great Thinkers?mbona hatuleti hoja na marejeo yake kama alivyofanya Mohamed,tusimpinge tu kwa kua wewe ulikuwa Mwanza nk,andika hoja kwa marejeo,matusi ya nini humu kama huna cha kuandika na wewe nenda kafanye research then utuletee hapa kama alivyofanya Mohamed.
Kila la Kheri Mohamed Said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…