Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nimeuliza hili hasa kwa msingi wa yaliyotokea Libya, Tunisia, Yemen, Misri, Iran, Syria n.k nchi ambazo zina Waislamu wengi sana. Katika nchi hizo watawala wote ni Waislamu na asilimia kubwa ya wananchi wake ni Waislamu lakini ni kana kwamba Uislamu hauwaunganishi au hauwi sababu ya wao kuwa wamoja? Je hili laweza kuwa ndilo linatokea Tanzania kwamba Waislamu toka mwanzo wa harakati za Uhuru hawajawahi kuwa wamoja na haiwezekani kuwa wamoja kwa kadiri ya kwamba maslahi yao mbalimbali ya kiraia na ya kisiasa yanakinzana?
Chukulia mfano jinsi kundi la Waislamu lilivyowapinga kina Mtemvu na Takadir mwaka 1958. Kwanini kulikuwepo tayari na tofauti miongoni mwa Waislamu kwa misingi ya maslahi ya kisiasa hata kabla ya Nyerere kuingia TANU?
wale watoto waliomuua gadaffi walikuwa wanatamka neno ambalo gadafi alikuwa analitamka wakati anapigwa ....Alah Akbar
kwa hiyo nina uhakika waislamu wa Tanzania(waliopo madarakani) wanawakandamiza waislamu wenzao(kina MS ) ..sasa ili kutafuta pa kutokea wanawasingizia wakristo..sehemu kama egypt ,tunis(arap rise ) walikuwa hawana mtu wa kumsingizia kama hawa hapa wa TZ