Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Shukrani. Huyo Mr. Right kama ni muungwana inatakiwa akuombe msamaha.

Unajua lazima utofautishe kwamba kuna watu wanaita "Baba" kwa heshima, na kuwa wale wanaita "Baba" as Saint "Mtukufu"

Nyerere anaitwa "Baba" as Saint, na hii ni Christian Ideal ambayo inamfanya yule mtu aitwe atukuzwe kama "Saint" "Mtukufu"
 
rudi nyuma ujibu hoja vizuri.....vinginevyo ficha upumbavu kwa kukaa kimya...!
 
Gwalihenzi,

Tusishindane kwa jambo ambalo kwa hakika halina manufaa nasi.
Tutosheke na hapa tulipofika.

Mohamed

Brother MS usikimbie hoja.....ni wewe uliyesema kitabu chako kinasomwa na wengi....Marekani, Ulaya na nyumbani......i guess ulimaanisha kitabu chako kina-make sense............sasa basi Gwalihenzi naye anakuambia kuna vitabu navyo vinasomwa na watu wengi.......utagundua kuwa wewe kusema kitabu chako kinasomwa na watu wengi..........its nonsense!!......
 
Brother MS.....inabidi uelewe hiyo kitu hapo juu.............otherwise hapa utaoneka wewe unaendeleza gogovivu style!

Ogah,

Usiwakebehi Gogovivu mie hao ni ndugu zangu.

Ama kuhusu hoja yako mimi sina ugomvi nayo.
Kitabu kishaandikwa na si lazima ukiamini.

Pamoja na kitabu hicho ninacho kingine "Uamuzi wa Busara" kuhusu Kura Tatu ya mwaka 1958.
Vitabu vyote viwili vinapendwa na watakuwapo watavichukia.

Lazima tukubaliane kutofautiana fikra.

Mohamed
 
Brother MS usikimbie hoja.....ni wewe uliyesema kitabu chako kinasomwa na wengi....Marekani, Ulaya na nyumbani......i guess ulimaanisha kitabu chako kina-make sense............sasa basi Gwalihenzi naye anakuambia kuna vitabu navyo vinasomwa na watu wengi.......utagundua kuwa wewe kusema kitabu chako kinasomwa na watu wengi..........its nonsense!!......

Ogah,

Umetoa hoja ya kupendeza ila liepuke hilo neno "nonsense" linaondoa ladha ya maneno yako.
Mimi fikra yangu ni kuwa sioni kama kuna haja ya kuvutana katika hili la kusomwa kitabu changu.

Mohamed
 
Ogah,

Usiwakebehi Gogovivu mie hao ni ndugu zangu....

Hapana Brother MS.....I'm very open mind person.....napenda kuona hoja zako zikijibebza zenyewe.....na zisibebwe kwa ushabiki......inabidi tuwasaidie sana hawa ndugu zetu wa gogovivu na si kuwalisha wasivyovielewa....iwe ni kazi yetu kuhakiki uelewa wao......haifai kuwaacha na "grey areas" ambazo mimi na wewe tunazijua fika.......tutakuwa hatuwatendei haki.....sawa sawa!

..........Ama kuhusu hoja yako mimi sina ugomvi nayo.
Kitabu kishaandikwa na si lazima ukiamini.

Hewala........lakini itakuwa uungwana sana kutoka kwako.......ukafafanua BAYANA pale ambapo wengi huuliza......na pia ukakubali BAYANA pale ambapo maandishi yako yakaonyeshwa kuwa yana kasoro........

.........Lazima tukubaliane kutofautiana fikra.

Mohamed

Hili ni jambo linaloeleweka na wengi wanaokusoma hapa JF.......kwa mfano wengine wanafikiri mamliki walitaka kupendelewa na wengine wanafikiri.......Waislamu walibaguliwa............lakini watu huenda mbali kidogo na kuuliza mbona kuna waislamu walikuwepo na na hata walikuwa na madaraka makubwa tu...........wengine wanafikra kuwa ni "wasaliti".........wengine (wewe mmojawapo) huthubutu kuwahukumu na kuwaita sio Waislamu...........
 
Ogah,

Umetoa hoja ya kupendeza ila liepuke hilo neno "nonsense" linaondoa ladha ya maneno yako.
Mimi fikra yangu ni kuwa sioni kama kuna haja ya kuvutana katika hili la kusomwa kitabu changu.

Mohamed

Samahani,

mbadala iwe "hoja haina nguvu"....
 
Unayao majibu marefu ya kukariri!
Kama kuna waislam wanamuita Nyerere baba wa taifa na kuna waislam hawamuiti Nyerere baba wa taifa, ni sahihi kweli kusema waislam kwa ujumla wao hawamuiti Nyerere baba wa taifa?
Waislam wanaomuita Nyerere hivyo ni wale waliojiingiza kwenye mambo ya siasa. Lakini kwa Waislam wasiochanganya imani ya dini na siasa hizi zisizo na dini huwezi kukuta kuitana majina kama hayo.
 
Mwalimu anaitwa hivo kisiasa pia. Sio kidini wala kikabila. Anastahili kwa kuwa historia ya nchi hii inampa hadhi hiyo. Hakuiomba. Amepewa na WATANZANIA kwa kuuthamini mchango wake kwa Taifa hili.
Niliuliza swali moja huko nyuma sikupata jibu. Ni cheo, madaraka au wadhifa gani NCHI hii ambao haujapata kushikwa na MUISLAMU serikalini au kwenye CCM ambayo imetutawala muda wote huu? MfumoKristo uliruhusuje haya?
 
Hapana Brother MS.....I'm very open mind person.....napenda kuona hoja zako zikijibebza zenyewe.....na zisibebwe kwa ushabiki......inabidi tuwasaidie sana hawa ndugu zetu wa gogovivu na si kuwalisha wasivyovielewa....iwe ni kazi yetu kuhakiki uelewa wao......haifai kuwaacha na "grey areas" ambazo mimi na wewe tunazijua fika.......tutakuwa hatuwatendei haki.....sawa sawa!

Hewala........lakini itakuwa uungwana sana kutoka kwako.......ukafafanua BAYANA pale ambapo wengi huuliza......na pia ukakubali BAYANA pale ambapo maandishi yako yakaonyeshwa kuwa yana kasoro........

Hili ni jambo linaloeleweka na wengi wanaokusoma hapa JF.......kwa mfano wengine wanafikiri mamliki walitaka kupendelewa na wengine wanafikiri.......Waislamu walibaguliwa............lakini watu huenda mbali kidogo na kuuliza mbona kuna waislamu walikuwepo na na hata walikuwa na madaraka makubwa tu...........wengine wanafikra kuwa ni "wasaliti".........wengine (wewe mmojawapo) huthubutu kuwahukumu na kuwaita sio Waislamu...........

Ogah,

Ahsante kwa nasaha zako.

Mohamed
 
Ndugu zangu,

Nadhani tumefikia mwisho wa mnakasha.
Hapana haja ya kuendelea kwa sampuli hii.

Mohamed

Ahali yangu Mohamed said,

Hakika hizo ni rasharasha tu miongoni mwa makubwa uliyo yaona na kupambana nayo. Mengi nionayo hapa ni mas'khara na mzaha wa wachangiaji ukiangalia kwa undani sana na kusoma utaona wale walioamua kukusoma si kwa nia ya kukuelewa umekusudia nini bali waliokusoma kwa nia ya kukupinga. Hivyo hawawezi kukuelewa.

Lakin ukumbuke wengine tumeona na kupata fahari kubwa kuweza kufanya mnakasha na wewe moja kwa moja mara baada ya kusoma vitabu vyako vingi. Na tunashukuru sana na wewe bila ajizi wala choyo yoyote umekubali kutupa kila kitu unachokijua iwe kutoka kwenye vitabu vyako au nje ya vitabu vyako pasi na kututoza pesa yoyote. Kwani wengine tunajua fika papers zako na hata vitabu vinauzwa. Tunakushukuru sana kwa Hilo na Allah atakuzidishia zaidi na zaidi na kukupa Pepo ya Firdaus.

Lakin pia tupo wengine ambao tunatumia mnakasha huu kujua mengi sana na kuchota busara zako na kila pale inapojilia mush,kira basi tunakuuliza kwa nia ya kuelewa zaidi.

Hivyo napingana na wewe unaposema mnakasha umekwisha. Tunaomba na kuzidi kukuomba utupe mengi na mengi kwani tunakiu kubwa ya kujua mengi. Tunakuomba darsa iendelee tupo tunaofuatilia kwa kina sana kwa nia ya kujua na kufahamu zaidi.

Tunakuomba ubadili maneno yako kwa nia ya kukata kiu yetu tunaofuatilia darsa zako.

maa salaam
 
Mwalimu anaitwa hivo kisiasa pia. Sio kidini wala kikabila. Anastahili kwa kuwa historia ya nchi hii inampa hadhi hiyo. Hakuiomba. Amepewa na WATANZANIA kwa kuuthamini mchango wake kwa Taifa hili.
Niliuliza swali moja huko nyuma sikupata jibu. Ni cheo, madaraka au wadhifa gani NCHI hii ambao haujapata kushikwa na MUISLAMU serikalini au kwenye CCM ambayo imetutawala muda wote huu? MfumoKristo uliruhusuje haya?
Usiwalazimishe 'Waislam' ukawachanganya kuwa 'Watanzania walimpa'. Hizo siasa tunazoaminishwa kuwa hazina dini, ndio zinazopigiwa kelele siku zote kuwa ni mfumokristo. Siasa za kulitumikia kanisa. Kuhusu vyeo, kinacholalamikiwa ni 'ratio' 17/83 kati ya waislam na wakristo.
 
Waislam wanaomuita Nyerere hivyo ni wale waliojiingiza kwenye mambo ya siasa. Lakini kwa Waislam wasiochanganya imani ya dini na siasa hizi zisizo na dini huwezi kukuta kuitana majina kama hayo.

Je umeshawahi kusoma kitabu cha Padre Silvalon kinachoitwa '' Kanisa katoliki na siasa za Tanzania Bara 1953-1985". Je huko nako si kuchanganya Dini na siasa wanakofanya wakatoliki?

Au ndio danganya toto kwa waislamu?
 
Ahali yangu Mohamed said,

Hakika hizo ni rasharasha tu miongoni mwa makubwa uliyo yaona na kupambana nayo. Mengi nionayo hapa ni mas'khara na mzaha wa wachangiaji ukiangalia kwa undani sana na kusoma utaona wale walioamua kukusoma si kwa nia ya kukuelewa umekusudia nini bali waliokusoma kwa nia ya kukupinga. Hivyo hawawezi kukuelewa.

Lakin ukumbuke wengine tumeona na kupata fahari kubwa kuweza kufanya mnakasha na wewe moja kwa moja mara baada ya kusoma vitabu vyako vingi. Na tunashukuru sana na wewe bila ajizi wala choyo yoyote umekubali kutupa kila kitu unachokijua iwe kutoka kwenye vitabu vyako au nje ya vitabu vyako pasi na kututoza pesa yoyote. Kwani wengine tunajua fika papers zako na hata vitabu vinauzwa. Tunakushukuru sana kwa Hilo na Allah atakuzidishia zaidi na zaidi na kukupa Pepo ya Firdaus.

Lakin pia tupo wengine ambao tunatumia mnakasha huu kujua mengi sana na kuchota busara zako na kila pale inapojilia mush,kira basi tunakuuliza kwa nia ya kuelewa zaidi.

Hivyo napingana na wewe unaposema mnakasha umekwisha. Tunaomba na kuzidi kukuomba utupe mengi na mengi kwani tunakiu kubwa ya kujua mengi. Tunakuomba darsa iendelee tupo tunaofuatilia kwa kina sana kwa nia ya kujua na kufahamu zaidi.

Tunakuomba ubadili maneno yako kwa nia ya kukata kiu yetu tunaofuatilia darsa zako.

maa salaam
Kama ataweka DINI yake iwe kwa manufaa yake. Aiandike historia ya nchi hii bila DINI au WAZEE WAKE kutukuzwa sana kumbe wengi wao walikuwa watambikaji tu. Asimsingizie Mwalimu au kuusemea moyo wake. Hisia, chuki, fitna aziweke kando.
 
Ahali yangu Mohamed said,

Hakika hizo ni rasharasha tu miongoni mwa makubwa uliyo yaona na kupambana nayo. Mengi nionayo hapa ni mas'khara na mzaha wa wachangiaji ukiangalia kwa undani sana na kusoma utaona wale walioamua kukusoma si kwa nia ya kukuelewa umekusudia nini bali waliokusoma kwa nia ya kukupinga. Hivyo hawawezi kukuelewa.

Lakin ukumbuke wengine tumeona na kupata fahari kubwa kuweza kufanya mnakasha na wewe moja kwa moja mara baada ya kusoma vitabu vyako vingi. Na tunashukuru sana na wewe bila ajizi wala choyo yoyote umekubali kutupa kila kitu unachokijua iwe kutoka kwenye vitabu vyako au nje ya vitabu vyako pasi na kututoza pesa yoyote. Kwani wengine tunajua fika papers zako na hata vitabu vinauzwa. Tunakushukuru sana kwa Hilo na Allah atakuzidishia zaidi na zaidi na kukupa Pepo ya Firdaus.

Lakin pia tupo wengine ambao tunatumia mnakasha huu kujua mengi sana na kuchota busara zako na kila pale inapojilia mush,kira basi tunakuuliza kwa nia ya kuelewa zaidi.

Hivyo napingana na wewe unaposema mnakasha umekwisha. Tunaomba na kuzidi kukuomba utupe mengi na mengi kwani tunakiu kubwa ya kujua mengi. Tunakuomba darsa iendelee tupo tunaofuatilia kwa kina sana kwa nia ya kujua na kufahamu zaidi.

Tunakuomba ubadili maneno yako kwa nia ya kukata kiu yetu tunaofuatilia darsa zako.

maa salaam
Naunga mkono hoja. Kwa nyongeza naomba nikushauri Sheikh Mohamed Said, usitaabike sana kuwajibu wanaobeza au kukuuliza maswali ya kimtego au kejeli. Tafadhali wapuuzilie kwa mbali, kwa kuwa lengo lao ni kupotosha au kuivuruga mada isieleweke ili mradi badala ya kutoa darsa inakuwa kupotezeana muda tu na majibishano yasiyo na tija. Kila la kheri Sheikh Mohamed.
 
Unajua lazima utofautishe kwamba kuna watu wanaita "Baba" kwa heshima, na kuwa wale wanaita "Baba" as Saint "Mtukufu"

Nyerere anaitwa "Baba" as Saint, na hii ni Christian Ideal ambayo inamfanya yule mtu aitwe atukuzwe kama "Saint" "Mtukufu"

Mr. Right.

Kuna baba wa aina tofauti ukimtoa baba yako mzazi..

Father Adoptive, baba wa kupanga..

Father Putative, baba wa kudhaniwa..

Father Step, baba wa kambo..

Fathers of the Church, waanzilishi wa kwanza wa Kikiristo katika (karne tano za mwanzo)..

Father of the Nation, baba wa taifa..

1. Padre
2. Kasisi
3. Kiongozi katika nyumba ya mapadre
4. Baba Mtakatifu ~( NYERERE)
5. Jina la kupanga ~ Christmas Baba Noel.

Nadhani nafasi ya Nyerere ipo wazi kwenye tafsiri hii sahihi ya baba
 
Back
Top Bottom