Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Nimefuatilia thread kwa muda mrefu ila nlipofika hapa nikaona niweke kambi kidogo.
Samahani kwa kunukuu post ya miaka 7 iliyopita dada yangu.
Hao waasisi wa TAA ni kina nani ukiondoa imani yao dini?
Alpha,
Wafuatao ndiyo waasisi wa African Association 1929: Kleist Sykes, Cecil
Matola, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamis, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima,
Suleiman Majisu, Raikes Kusi
na Rawson Watts.

Haya majina yamo katika mswada alioandika Kleist Sykes kabla ya kufariki
mwaka wa 1949.

Mswada huu ukaandikwa kama seminar paper na mjukuu wake Aisha ''Daisy
Sykes
akiwa mwanafunzi wa Education and History, University of East Africa,
Dar es Salaam Campus mwaka wa 1968 akiwa mwanafunzi wa John Iliffe.

Mwaka wa 1973 Iliffe alihariri kitabu na seminar paper hii ikawa moja ya sura
ya kitabu hicho, ''Modern Tanzanians,'' (1973) Daisy akiandika maisha ya babu
yake.

Kama Daisy asingeliandika historia ya maisha ya babu yake mengi katika historia
ya African Association yasingefahamika.

Nimejaaliwa kuwa mtafiti pekee niliyebahatika kuzisoma, ukimtoa John Iliffe,
Nyaraka za Sykes ambazo sasa zina miaka 90.

Ukipenda angalia rejea hii: Daisy Sykes Buruku, ‘The Townsman: Kleist Sykes’,
in Iliffe (ed) Modern Tanzanians, Nairobi, 1973, pp. 95-114.
 
Nimepitia hoja humu za kumuweka sawa MS!

Huyu binafsi namwona anagoja za kupotosha makusudi na mtu aliejaa hila! Maandiko yake yamejaa hila huwa Wigan alibi hata kusoma!
Mzizi...
Ikiwa umaona kuna kitu nimepotosha kiweke hapa nikione.

Tufahamishane mimi niko tayari kujifunza kwani kama nimekosea
ni kwa ajili ya upungufu wa kazi ya mikono ya binadamu yeyote
si kuwa nimekusudia kuandika uongo.
 
Mimi binafsi siujui umri wa huyu M Said labda ni wale wa wakati wetu wa miaka ya themanini walio lalamikia serikali kwamba wanakosa nafasi za elimu ya juu sababu ya waseminari na serikali kuzuia nafasi za kuingia form five kosa letu likiwa kufanya vizuri katika mitihani.

Matunda yake ni usomi kama wa kina Mohamed Said.
Mbase 1970,
Umri wanu ni miaka 67.
Hili la elimu ukitaka tujadili fungua uzi wake maalum na In Shaa Allah
nitakuja kuchangia.

Nina paper nyingi na makala ambazo nimendika kuhusu elimu.
Naamini sote tutanufaika ikiwa haja yetu ni ukweli:
  1. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  2. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
 
Mohamed Said ni mdini tu ndo kinachomsumbua.

Dadi,
Upo ushahidi kuwa Waislam ndiyo wanaodhulumiwa kwa ajili ya dini yao na tuhuma hizi zinafahamika kwani si za leo.

Ukitaka ushahidi wa hili soma, ''Religion and Development,'' P van Bergen, Madras 1981, Sivalon J. ''Kanisa Katoliki...'' Peramiho 1992 na Hamza Njozi, ''Mwembechai Killings...'' 2002.

Kitabu cha Njozi kimepigwa marufuku ni kosa la jinai kuwanacho.

Labda kama mimi ni mdini na hao waandishi wengine ni wadini ni kule kulisemea tatizo hili la ubaguzi.
 
Dadi,
Upo ushahidi kuwa Waislam ndiyo wanaodhulumiwa kwa ajili ya dini yao na tuhuma hizi zinafahamika kwani si za leo.

Ukitaka ushahidi wa hili soma Religion and Development P van Bergen, Madras 1981, Sivalon J. Kanisa Katoliki...Peramiho 1992, Hamza Njozi, Mwembechai Killings 2002.

Kitabu cha Njozi kimepigwa marufuku ni kosa la jinai kuwanacho.

Labda kama mimi ni mdini na hao waandishi wengine ni wadini ni kule kulisemea tatizo hili la ubaguzi.
Aisee!!!
Dini hizi hatari sana!!!
 
Mnavozozana kutetea dini zenu mpaka mnajisahau kuwa ninyi nyote ni wandengereko au wamakonde tena watanzania na waafrika...
Avriel,
Soma majibu yangu kwa utulivu hapa mimi sijatetea Uislam kwa kusema kuwa ndiyo dini ya haki nk.nk.

Yeye mwenzangu kasema maneno haya, ''Mohamed Said ni mdini tu ndo kinachomsumbua.''
Mimi nikamjibu kama ilivyo hapo chini:

''Upo ushahidi kuwa Waislam ndiyo wanaodhulumiwa kwa ajili ya dini yao na tuhuma hizi zinafahamika kwani si za leo.

Ukitaka ushahidi wa hili soma, ''Religion and Development,'' P van Bergen, Madras 1981, Sivalon J. ''Kanisa Katoliki...'' Peramiho 1992 na Hamza Njozi, ''Mwembechai Killings...'' 2002.

Kitabu cha Njozi kimepigwa marufuku ni kosa la jinai kuwanacho.

Labda kama mimi ni mdini na hao waandishi wengine ni wadini ni kule kulisemea tatizo hili la ubaguzi.''

Huu wala si mzozo kama unavyouita huu ni mjadala.

Ningetegemea wewe kama unataka kushiriki katika mjadala huu ungetaka kujua kama haya
nisemayo ni kweli na hizo rejea nilizoweka zinathibitisha shutuma za ubaguzi ambazo Waislam
wamekuwa wakilalamika kwa muda mrefu hasa katika Waislam kunyimwa elimu kwa hila.

Hizi shutuma ni nzito sana wala si za kujaribu kuzipuuza kwa maneno yako ati tunatetea dini zetu.

Hapa mimi natahadharisha kuhusu dhulma si suala la dini.

Dini inatumika kama sababu ya kutimiza dhulma hiyo na kitabu cha Njozi ndicho kilichoweka
wazi na ndiyo sababu ya kupigwa marufuku kwa kuwa ukweli ulikuwa wazi na hapakuwa na
majibu kupinga shutuma hizo.

Muhimu zingatia hili kuwa sijaandika haya kwa kujificha naandika kwa jina langu halisi kwani
siandiki uongo ushahidi Waislam wanao ni kiasi cha wahusika kuutaka wapewe.
 
Mambo yenu ya hisia za dini endeleeni kuyapambania kwakweli Mimi sijaona tatizo kama mnavokuza hisia hapa...
Nimesoma shule za serikali tukiwa watu wa dini tofauti kamwe sikuona upendeleo kutokana na dini ya MTU, napata tabu sana kuyathibitisha haya ila nimeshuhudia upendeleo mkubwa nikiwa chuo kilichoongozwa na mkuu wa kitivo muislam akiwapa upendeleo wanachuo wa dini take na kwakuwa sipendi ubaguzi nilimfuata kumueleza anachofanya na nikamweleza nitamripoti ngazi za juu bahati nzuri alihamishwa na kubadilishwa kazi kabisa...
Wasaidieni watu watende yaliyo mema kama dini zenu zitakavyo haya madai ya kihisia yana madhara sana wakati mwingine mnatengeneza watu wanaokuwa sana na mikakati ya kidini kuliko kufanya kazi....
 
Avriel,
Mbona sasa unakuja na lugha za ''mambo yenu...''
Ikiwa huna moyo wa stahamala ni bora ukasoma na kukaa kimya.

Haya ni mambo mazito, shutuma kubwa sana kwani dhulma ikiachiwa
inaangamiza,

Mfano uliotoa kuwa umeomuona Muislam anafanya dhulma nimeupokea
ila nitakueleza ukweli katika mafunzo ya Uislam.

Mwenyezi Mungu katika Qur'an anawaambia Waislam kuwa wasidhulumu
na wala wasikubali kudhulumiwa.

Ikiwa huyo ndugu yangu alikuwa anafanya dhulma hayo si mafunzo ya
Uislam na umefanya vizuri kumuonya.

Hili ndilo nilifanyalo mimi hapa.

Sasa nataka kukupa mfano wa dhulma na ushahidi wake.
Nakuwekea hapa hotuba ya Kitwana Kondo katika Bunge mwaka wa 1999:

''...lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.
Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini...''

Avriel,
Haya ndiyo mambo yanayofanyika nchini petu kwa sasa nusu karne kiasi wanaofanya
upuuzi huu wamekubuhu wanaona ''it is business as usual we will never get caught.''

Wala isikupitie kuwa mimi niko hapa kwa maskhara nayaweka haya hadhariani ili
wale wasiojua kama wewe wajue kuwa tunalo tatizo kubwa nchini petu na viongozi wetu
wachukue hatua stahiki.

1566936800460.png

Mahojiano na Mzee Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga TV Imaan Morogoro
2012
 
Dadi,
Upo ushahidi kuwa Waislam ndiyo wanaodhulumiwa kwa ajili ya dini yao na tuhuma hizi zinafahamika kwani si za leo.

Ukitaka ushahidi wa hili soma, ''Religion and Development,'' P van Bergen, Madras 1981, Sivalon J. ''Kanisa Katoliki...'' Peramiho 1992 na Hamza Njozi, ''Mwembechai Killings...'' 2002.

Kitabu cha Njozi kimepigwa marufuku ni kosa la jinai kuwanacho.

Labda kama mimi ni mdini na hao waandishi wengine ni wadini ni kule kulisemea tatizo hili la ubaguzi.

Mzee wangu, nikiri kwanza kuwa kuna mengi niliyojifunza kwenye makala zako. Ila naomba nikufahamishe kitu (sina shida na Waislamu japo nina shida na Uislamu lakini sio kwa kuwa prejudiced against it ila ni baada ya kuwa introduced kwao na nikaamua nilichokiamua baada ya kusoma maandiko), naomba uwe impartial kwenye maandiko yako. Kuna wadogo zangu (and I dare say wanangu) wanaopinga hata yale mazuri unayoyaandika kwa kuwa upo so prejudiced against all things non-islamic.
 
Mfiaukweli,
Ningependa kujua hizo ''prejudice,'' ambazo unaziona kwangu.
Sisi ni binadamu hatowezi kukosa kasoro.

Ukinionyesha nitazipima na hii itanisaidia sana katika fikra zangu.
 
Mfiaukweli,
Ningependa kujua hizo ''prejudice,'' ambazo unaziona kwangu.
Sisi ni binadamu hatowezi kukosa kasoro.

Ukinionyesha nitazipima na hii itanisaidia sana katika fikra zangu.
Tanzania haina Dini japo wananchi wake wako huru kuabudu dini yeyote...hatuwezi kubaguana kwa dini zetu ndio maana mkuu maada zako zinapata upinzani sana maana zimekaa kidini dini sana...unatupia picha humu watu wamevaa kanzu wakipigania uhuru wewe unawatambulisha kama uaislam badala uwatambue kama waTanzania na kanzu ni vazi tu.
 
Avriel,
Mbona sasa unakuja na lugha za ''mambo yenu...''
Ikiwa huna moyo wa stahamala ni bora ukasoma na kukaa kimya.

Haya ni mambo mazito, shutuma kubwa sana kwani dhulma ikiachiwa
inaangamiza,

Mfano uliotoa kuwa umeomuona Muislam anafanya dhulma nimeupokea
ila nitakueleza ukweli katika mafunzo ya Uislam.

Mwenyezi Mungu katika Qur'an anawaambia Waislam kuwa wasidhulumu
na wala wasikubali kudhulumiwa.

Ikiwa huyo ndugu yangu alikuwa anafanya dhulma hayo si mafunzo ya
Uislam na umefanya vizuri kumuonya.

Hili ndilo nilifanyalo mimi hapa.

Sasa nataka kukupa mfano wa dhulma na ushahidi wake.
Nakuwekea hapa hotuba ya Kitwana Kondo katika Bunge mwaka wa 1999:

''...lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.
Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini...''

Avriel,
Haya ndiyo mambo yanayofanyika nchini petu kwa sasa nusu karne kiasi wanaofanya
upuuzi huu wamekubuhu wanaona ''it is business as usual we will never get caught.''

Wala isikupitie kuwa mimi niko hapa kwa maskhara nayaweka haya hadhariani ili
wale wasiojua kama wewe wajue kuwa tunalo tatizo kubwa nchini petu na viongozi wetu
wachukue hatua stahiki.

View attachment 1191623
Mahojiano na Mzee Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga TV Imaan Morogoro
2012
Sijui ni mods au nini kinatokea thread michango yangu inafutwa hapa..
Sio mbaya
Nashauri ufanye uchunguzi wa kitaalam kujua kwanini wanafunzi wanafeli nadhani kifeli kwao hakuna uhusiano na dini zao..
Mmekuwa na viongozi wengi tena wasomi wa hiyo dini yenu sijajua kwanini hawaoni hayo unayaoyaita malalamiko ya dhuluma dhidi ya dini yenu
Mimi binafsi niwe mkweli, nawachukulia watu wa dini ya kiislam Tanzania kuwa ni walalamikaji sana na wasioridhika daima mpaka washike hatamu ndipo watajiona hawaonewi, wakati huo nchi ina makundi mengi ya kidini sijawahi ona wakilalama kama waislam, halafu sizioni hizo fursa za kiuchumi, kijamii au kisiaasa anazopata MTU kutokana na kuwa wa dini ile au hii kikubwa nayaona madhira ya watanzania kukosa huduma stahiki hayabagui dini, watu hawana maji, madawa hospitalini, shule hazina vitendea kazi, wafanyakazi hawana malipo mazuri, na kadhia nyingine nyingi bila kujali dini...
Sasa hii dhana ya dhuluma kwa waislamu bado inanitia mashaka sana wakati huo hao waislamu ndio wamekuwa wakipewa Mali za serikali kwa upendeleo, sijaona wasabato wakipewa majengo bure waanzishe chuo kikuu bali waislamu hupewa, sijawahi ona ndani ya taasisi ya kiislamu kuna MTU wa dini nyingine atapewa Uhuru wa kuabudu bali wailasmu wamepewa misikiti ndani ya majengo ya wakristo, ni ikitokea kuna taasisi ya serikali kiongozi wa juu ni muislam basi tegemea atakoleza ajenda ya kuwakusanya waislamu toka pande zote wafanye kazi kwenye taasisi hiyo na watajitahidi hata kama kuna msikiti mita mia mbili kutoka ofisi iliko watataka humo ndani ujengwe mwingine na zifuatwe sheria za kiislam eneo hilo....
Huu ndio uislam ninaoushuhudia mtaani niishipo....

Teteeni imani zenu msikandamize wengine kwa hila ya aina yoyote, suala la imani MTU halazimishwi ni Uhuru wa kuchagua, na wakati mwingine MTU anaweza iga imani kwa kufurahishwa na matendo ya muumini....Mungu akiamua kuwataka watu wawe wa imani Fulani hakuna force ya nje itakayozuia...ishini kwa upendo...
 
Tanzania haina Dini japo wananchi wake wako huru kuabudu dini yeyote...hatuwezi kubaguana kwa dini zetu ndio maana mkuu maada zako zinapata upinzani sana maana zimekaa kidini dini sana...unatupia picha humu watu wamevaa kanzu wakipigania uhuru wewe unawatambulisha kama uaislam badala uwatambue kama waTanzania na kanzu ni vazi tu.
Na bahati mbaya Uhuru ulipiganiwa na nchi nzima bila kujali dini za wahusika kisha yeye analazimisha watambulike waislamu pekee wa pwani na daslam ndio wapigania Uhuru wa kweli...
Yule msshamba kutoka butiama aliwazidi wote japo wao walikuwa mjini akawa mwenyekiti pendwa kabisa...
 
Hili ni suala nililoliibua huko nyuma; kwamba hakuna ushahidi wowote wa kihistoria kuwa wapigania uhuru wa nchi yetu walifanya hivyo kwa ajili ya Uislamu wao au kuongozwa na falsafa na mafundisho ya Kiislamu; wanaweza kuwa waliamini hivyo lakini wengi walipigania uhuru kwa sabau walikataa kutawaliwa na wageni na katika hilo hawakuwa tofauti kwani Wakristu, Waislamu na Wapagani wa TZ wote walikuwa chini ya utawala wa mkoloni. Ushahidi pekee alionao ni wa kusema kuwa wanaharakati wa kwanza wa uhuru jijini Dar wengi walikuwa ni Waislamu hili linaweza kuvutia watu wengine lakini halina mvuto wa kiakili. HIvi mtu akienda Mwanza na kukuta wanaharakati wengi ni Wasukuma au Wanyamwezi anaweza kushangaa sana? Au kwenda Mbeya na kukuta kuwa wanaharakati wa mwanzo walikuwa ni Wanyakyusa tunaweza kusema kuwa ni kwa bahati mbaya?

Hivi leo, wanaharakati za mabadiliko Zanzibar wengi wao ni Waislamu hii ina maana gani? Je, tunaweza kusema kuwa harakati za mabadiliko ya kisiasa Zanzibar zimeletwa na Waislamu tutakuwa tunasema jambo moja profound?

Tatizo ni kuwa Nyerere ni kizuizi na alama ya tatizo kwa wanaotaka kuandika historia hiyo mpya. Na hasa kama historia inayotaka kumuonesha kuwa Nyerere alikuwa na chuki ya Waislamu halafu wakati huo huo mtu anadai anapicha nyingi za Nyerere na wazee wa Waislamu ambao wazee hao wamezitunza - sielewi kwanini wametunza picha za mtu aliyekuwa na chuki nao! Ni sawasawa ukute Wayahudi wanapicha za Hitler halafu wanataka kuzionesha kwa furaha kuwa Hitler alipiga picha nao; miye ningedhania lingekuwa ni jambo la aibu kwa wazee wa Kiislamu ambao Bw. Said anawataja kuonekana na Nyerere hasa kina Shehe Takadir na wengine.. ingekuwa ni jambo la fedha kwa mtoto wao au kijana wao leo hii kutaka kuonesha kuwa wazee wake walikuwa karibu hivyo na mtu aliyeuchukia Uislamu na kuwadhulumu Waislamu.

Binafsi ningeona ni kweli walikuwa wanamchukia kama wangeitisha mkutano wa hadhara na kuzichoma hizi picha hadharani kuonesha chuki yao dhidi ya Nyerere!
Umeongea vizuri Sana inawezekanaje Wayahudi watunzwe picha walizopiga na Hitler?
 
Tanzania haina Dini japo wananchi wake wako huru kuabudu dini yeyote...hatuwezi kubaguana kwa dini zetu ndio maana mkuu maada zako zinapata upinzani sana maana zimekaa kidini dini sana...unatupia picha humu watu wamevaa kanzu wakipigania uhuru wewe unawatambulisha kama uaislam badala uwatambue kama waTanzania na kanzu ni vazi tu.
Sajojo,
Kuwepo na picha ya Baraza la TANU 1954 wajumbe wake wamevaa kanzu ni udini?

Historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ndivyo ilivyokuwa.

Tunawezaje kubadili ukweli huu?
 
Na bahati mbaya Uhuru ulipiganiwa na nchi nzima bila kujali dini za wahusika kisha yeye analazimisha watambulike waislamu pekee wa pwani na daslam ndio wapigania Uhuru wa kweli...
Yule msshamba kutoka butiama aliwazidi wote japo wao walikuwa mjini akawa mwenyekiti pendwa kabisa...
Avriel,
Historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika haiko kama hivyo unavyotamani wewe iwe.

Historia ya TANU mimi naijua vizuri sana kwa kuwa waasisi wake mimi ni wazee wangu.

Nilipoona imeandikwa sivyo ndipo niliponyanyua kalamu na kuandika kusahihisha historia hiyo iliyokuwapo.

Hebu soma kipande hiki hapo chini nimemuandikia kijana mmoja leo asubuhi.

Soma na unifahamishe kama historia hii inafanana hata kwa mbali na historia ya TANU na uhuru unayoijua wewe:

"Napenda kuchangia kidogo niyajuayo kuhusu Chief David Kidaha Makwaia.

Kwanza mimi nilipata bahati ya kukutana na Chief Kidaha hapa Dar es Salaam
mwaka wa 1968.

Mwanae Edward Makwaia nilikuwa nasomanae darasa moja St. Josephs Convent School basi siku moja akaniambia kuwa baba yake amekuja kutoka Nairobi kwa hiyo nimsindikize kwenda kumwamkia.

Hivi ndivyo nilivyobahatika kumuona Chief Kidaha.

Lakini wakati ule mimi mtoto sikuwa najua kwa nini Chief Kidaha alikuwa anaishi
Kenya.

Chief Kidaha baada ya uhuru aliwekwa kizuizini Tunduru kupitia Preventive Dentition Act ya 1962 na baada ya kutoka aliamua kuhama nchi na kwenda Kenya.

Chief Kidaha Kidaha ni mtoto wa Chief Makwaia Mohamed Mwandu wa Busiya.

1566962505965-png.1191693

mohamedsaidsalum.blogspot.com
CHIEF EDWARD ANTHONY MAKWAIA WA BUSIYA
Chief Makwaia Mohamed Mwandu Nimeona tangazo la Busiya Chiefdom katika mitandao ya kijamii na nikaangalia, ‘’clip,’’ yake. Hili ni ta...
mohamedsaidsalum.blogspot.com mohamedsaidsalum.blogspot.com

Wakati nafanya utafiti wa kitabu cha Abdul Sykes katika miaka ya 1980s nilikutana na Chief Kidaha Makwaia kwenye Nyaraka za Sykes kupitia barua aliyoandika Dr. Wilbard Mwanjisi.

Dr. Mwanjisi alipochaguliwa kuwa Rais wa Tanganyika African Government Servant
Association (TAGSA) mwaka wa 1951 aliandika makala kali sana katika jarida la chama, makala ambayo aliwashambulia Waingereza kiasi Rashid Kawawa akiwa mwanakamati wa Halmashauri Kuu ya TAGSA aliandika barua kuonya kuwa makala hiyo isichapwe bila ya kujadiliwa na Halmashauri Kuu ya TAGSA.

Katika makala hii Dr. Mwanjisi aliitaja hotuba ya Chief Kidaha Makwaia ndania ya LEGCO kuwa ni hotuba muhimu sana na akamsifia Chief Kidaha Makwaia kuwa ni mwanasiasa makini wa kupigiwa mfano (‘Doctor Mwanjisi Speaks to TAGSA’ 22 nd December, 1951(Sykes' Papers),

Katika hotuba hiyo Chief Kidaha alikuwa anaishauri serikali ya Kiingereza kuondoa ile sheria ambayo ilikuwa inawapiga marufuku Waafrika wafanyakazi wa serikali kujishughulisha na siasa.

Kitu ''interesting,'' katika kipindi hiki ni kuwa Chief Kidaha alikuwa na mazungumzo na Katibu wa TAA, Abdul Sykes, mazungumzo haya yakifanyika nyumbani kwa Abdul Sykes, Abdul akijaribu kumshawishi Chief Kidaha aingie TAA ili wamchague kama Rais kisha waunde TANU na kudai uhuru wa Tanganyika.

Mazungumzo haya hayakufanikiwa.

Baada ya uhuru Dr. Mwanjisi na yeye aliwekwa kizuizini na kama alivyofanya Chief Kidaha baada ya kutoka kizuizini alikwenda kuishi Kenya.

Na bahati mbaya sana waandishi wa historia ya TANU hawakutaka kufanya mahojiano yoyote na marehemu Ally Sykes katika historia ya TANU na kwa hili historia iliyokuja kuandikwa ikakosa mengi muhimu katika harakati za kudai uhuru wa Tanganyika.

Hii ndiyo sababu Chief Kidaha Makwaia haonekani kokote katika historia ya kuunda TANU na kudai uhuru wa Tanganyika.

Ningependa kuhitimisha kwa kueleza kuwa baada ya kutawazwa kwa Malkia Elizabeth, uongozi wa TAA ulituma salamu za pongezi kwa Malkia kwa kutawazwa kwake barua ya pongezi ilitiwa sahihi na Rais wa TAA Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi Budohi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes."

Bwana Avriel,

Hii ndiyo historia ya TANU na nimezishika nyaraka hizo kwa mikono yangu na nimezisoma kwa macho yangu nazijua fika kama primary source zilizonisaidia kuandika historia hii.

Soma kitabu cha Abdul Sykes ndani kuna mengi yatakayokushangaza.

Hayo hapo juu ni Waingereza wanasema, "tip of the ice berg," yaani ni kitu kiduchu na ni kidogo sana.

Haifai mtu kunga'nga'nia ujinga wakati elimu ya kujifunza ukawa mwerevu ipo na ya bure.

Mimi hapa natoa elimu, darsa la historia bila khiyana bure kabisa sitozi senti moja.

Vyuo Vikuu Marekani na kwingi duniani huniita kwa gharama zao kusomesha hii historia wenyewe wanaita, "corrective history."
 
Tanzania haina Dini japo wananchi wake wako huru kuabudu dini yeyote...hatuwezi kubaguana kwa dini zetu ndio maana mkuu maada zako zinapata upinzani sana maana zimekaa kidini dini sana...unatupia picha humu watu wamevaa kanzu wakipigania uhuru wewe unawatambulisha kama uaislam badala uwatambue kama waTanzania na kanzu ni vazi tu.

Sajosojo,
Hukuweka hizo ''prejudice,'' na nilijua hutaweza sasa umekuja na mengine.

Hofu yako kama ni Uislam nakuwekea hapo chini makala tatu zinazoeleza vipi dini (ukipenda Uislam) ulivyowaunganisha Watanganyika katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika:
  1. https://www.jamiiforums.com/threads...mu-julius-nyerere-dar-es-salaam-1952.1565401/
  2. https://www.jamiiforums.com/threads...-kuundwa-kwa-tanu-1954.1565864/#post-30901522
Usifanye haraka ya kutaka kunijibu soma ujifunze historia na hali ya siasa ilivyokuwa Dar es Salaam ya miaka ile kuanzia 1929 Kleist na wenzake walipounda African Association hadi 1950s wanae Abdul na Ally walipoingia katika uongozi wa TAA tena kwa kuwapindua wazee wao wakiongozwa na Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa rais wa TAA wakati ule.

Usitishike na historia hii wewe jiulize kwa nini wakati hawa vijana wanachukua uongozi mwaka wa 1950 waliona lazima waunde TAA Political Subcommittee na katika wajumbe wa kamati hiyo wawepo Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, John Rupia, Steven Mhando, Hamza Mwapachu na Abdul Sykes?

Mapadri walikuwapo jiulize kipi kiliwazuia wao kujitokeza mbele kupambana na Waingereza?

Jiulize pia kwa nini Kenya walikuwa Wakikuyu peke yao ndiyo walionyanyua silaha kupigana
na Waingereza?

Lazima ipo sababu.
Kutaka kujua matukio kama haya ndiyo usomi.
 
Back
Top Bottom