Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Kwanzan nijibu swali langu kabla hujaniuliza lako. Katika listi ya Kikwete ni wangapi wa Gerezani na wangapi kutoka sehemu moja nyingine? mbona unakwepa?
Wa Gerezani niliowasikia na mmoja kumwona kwenye Tv ni familia ya Sykes tu.
 
Naomba nirejee katika mada hii kuonyesha mambo tunayoyajadili kila mara na utata wake.
Huko nyuma Mohamed said aliandika hivi na namnukuu
Mohamed Said;2694530]
Christian lecturers at Dares Salaam University are discouraging students from making references to thosetwo books. Dr. Harith Ghassany's book KwaheriUkoloni Kwaheri Uhuru, has also come up with more information on Nyererehitherto unknown in the Zanzibar Revolution and the bloodbath which followed."
Mohamed
Ahmed Rajabu ambaye ni Mzanzibar, Muislam na 'msemaji' wa wazanzibar, kama alivyo Mohamed anaichukuia Tanganyika, anamchukia Nyerere na anauchukia muungano. Yeye anamjibu Mohamed Said hivi ( Kwa hisani ya gazeti la Raia mwema)
Kwa hakika, kinyume cha baadhi ya watu walivyoandika hapakutokea mauaji ya kimbari. Aliyeanzisha uvumi huo alikuwa John Okello aliyeandika kwenye kitabu chake kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar kwamba watu zaidi ya elfu kumi waliuliwa. Okello aliongeza kwamba aliamrishwa na Yesu Kristo kuwakomboa ‘Waafrika' wa Zanzibar kutoka kwa ‘wageni'............................Hakuna ithibati yoyote kwamba watu waliouawa katika siku za mwanzo za Mapinduzi walifika elfu kumi. Ukweli ni kwamba jumla ya watu waliouawa siku hizo haipindukii 200, katika sehemu za mjini hawazidi 25.
Uzushi mwingine ni kwamba walipelekwa Watanganyika, Zanzibar wakiwa na silaha kwenda kupindua. Na si kweli kwamba Mapinduzi yalikuwa na msisitizo wa kikabila. Katika kipindi cha mwanzo cha Mapinduzi msisitizo ulikuwa wa kitabaka. Nyimbo zilizokuwa zikiimbwa kwenye Redio Zanzibar zikiwazungumzia ‘wakwezi na wakulima' na wafanyakazi kwa jumla na si makabila

Sasa ukweli hapa upo wapi? Na je, sikweli kuwa Mohamed Said kwa kutaka kitabu chake kitumike mashuleni itakuwa ni kuwapunza wanafunzi!
 
Wana ukumbi hebu nifahamisheni.
Siku nyingi sijatolea barazani.

Huu mdahalo bado unaendele?
Kama ndivyo nifahamisheni nirejee jamvini.
Unaendelea na ni wa kudumu. Mambo yenyewe ni yaleyale isipokuwa "headings" ndizo zinazobadilika kama ulooianzisha ulipopita JNIA mwaka 2006!
 
Wana ukumbi hebu nifahamisheni.
Siku nyingi sijatolea barazani.

Huu mdahalo bado unaendele?
Kama ndivyo nifahamisheni nirejee jamvini.

Karibu sana mzee mohamed ili uweze kujibu hoja mbali mbali humu jamvini.
 
Waungwana muwe mnasoma. Mnasema huyu mzee anamchukia nyerere na ni mdini. Tafuteni kitabu kinaitwa HII NI TANZANIA TUNAYOITAKA.Kimeandikwa na MUINJILIST KAMARA KUSUPA. Je yeye ana chuki gani na nyerere?. Jaman histor ushabik acheni. Huyu mzee muhamed said aliweka udin ktk kitabu chake lakini waliopigania uhuru hawakuwa na udini. Ila hii haifanyi kitabu chake kiwe cha uwongo. Kamara kusupa ktk kitabu chake ameandika katika uhuru, hakukuwa na mchango wa wasomi wala wakristu. Anyway anaetaka kitabu nimuazime kwa mda ani pm
 
yan haujadili hoja kabisa mohammed said yupo sahihi mfano-1-wakat wa kupigania uhuru wakristo wote walikua wanakatazwa makanisan kuwaondoa waingereza kwa madai ni wakristo wenzao 2-hicho chama cha taa kimeanzishwa nyumban kwa kluyst (abdalah) seykes nyumban kwake 3-huyo nyerere kaingia taa mwaka 1952 wakat taa imeanzishwa 1929 sio hvyo tu katibu mkuu wakat huo ni abdulwahd sykes ndo alimpokea nyerere kwenye chama 4-mikutano yote ya mwanzo ya taa na tanu ilikua dsm mpaka mwaka 1958 tabora ule mkutano wa ku
 
ule mkutano wa kura tatu.. 5-kabla ya nyerere wazee wa taa/tanu walimtaka Chief kidaha makwaia ndo awe mwenyekit na rais wa kwanza wa tanganyka huyu nyerere kaletwa na hamza mwapachu kwa kimemo mpaka kwa abdul wahd sykes 6-majina ya waanzilish wa tanu hao wa kanda ya ziwa mbona hakuna mtu yoyote majna yao ni kama ifuatavyo-Mshumi kiate,dosa aziz, Abdulwahd sykes,jumbe tambaza,suleyman takadir,hamza mwapachu,zubeir mtemvu,tewa said,titi mohamed,ally sykes...nyerere hajulikan hapo anafundsha mwapachu kwa sbb
 
nyerere nikikukuta peponi basi ntakimbia na sintokaa mahali hapo...
Coz hapo katu patakuwa si peponi.
 
Wewe jiulize mengi ila mie ndio niliyaona hivyo na nikawa na mshangao sana. Hata kama wametoka kabila moja what can you explain about kuweka nyimbo za ubeti 12, nyimbo za mapambio na sala ya bikira maria, neno la mungu ofisini . Vile vile kukosekana kwa mwislamu hata mmoja hapo ofisini unaweza kulibainishaje coincidence, lack of skills, favoritism, nepotism or what??? Mwislamu akiweka quran na qassida si mngelipiga makelele mpaka magazetini? NSSF tu mkiona watu wanaenda msikitini kufanya ibada yao ya wajibu mnalalama humu jamvini kila siku. Hizo ndio ofisi za serikali fanya utafiti uyaone.

Sikuwa na haja ya kuyachunguza zaidi kwani sicho kilichonipeleka huko nilienda kwa kazi maalum nikaondoka ya ngoswe nikamuachia ngoswe.
Mapambio ofisini?sala ya bikira maria?baba mchungaji?mapambio,wachungaji na katoliki wapi na wapi?
 
barubaru,
mimi sijaanza kumsoma leo wala jana mohamed said. Unapoitanguliza dini kwa kila jambo unakuwa hauna tofauti na mshirikina. Unabagua. Wazee wale wa kiislamu waliomkaribisha mwalimu kwenye taa wangekuwa kama mohamed saidi historia ya nchi hii ingekuwa nyingine kabisa.

nimependezwa sana na huu mjadala japo ulikua mwaka 2011, nakubaliana na ww kama wazee wa kiislam wangefanya harakat za uhuru kwa nafas ya nyerere, 2ngekua kama rwanda na burundi 2! 2ngekwisha.
 
Muwie radhi nduguyo huyo maana wakati mwingine nawe waweza kujikuta umesema kitu cha kumkwaza mtu na ikawa kumbe ni kughafirika tu kwa ubinadamu. Vizuri ni kufuata maxim yangu ya muda "hoja hujibiwa kwa hoja si viroja"

=kughafilika
 
nimependezwa sana na huu mjadala japo ulikua mwaka 2011, nakubaliana na ww kama wazee wa kiislam wangefanya harakat za uhuru kwa nafas ya nyerere, 2ngekua kama rwanda na burundi 2! 2ngekwisha.

Maoni yako si mabaya wala sishangai, kwani sijawahi ona nyoka kazaa mjusi.
 
ukiwa mjinga aliyetayari kuelimika jamii huwa inapata faraja.nyie majuha mnaofumbata udini kwenye kudai uhuru wa nchi yetu haki hiyo mnaipata wapi? ni misingi ipi ya udini iliyowekwa na mwalimu? hivi mzee Sykes si ndiye aliyemkaribisha mwalimu TAA.ndugu yangu akili yakuuliza juu ya huyu ni mkristu na huyu ni muislamu iliisha tang ningali mtoto
ni heri mbadilike
 
Back
Top Bottom