Wa Gerezani niliowasikia na mmoja kumwona kwenye Tv ni familia ya Sykes tu.Kwanzan nijibu swali langu kabla hujaniuliza lako. Katika listi ya Kikwete ni wangapi wa Gerezani na wangapi kutoka sehemu moja nyingine? mbona unakwepa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Gerezani niliowasikia na mmoja kumwona kwenye Tv ni familia ya Sykes tu.Kwanzan nijibu swali langu kabla hujaniuliza lako. Katika listi ya Kikwete ni wangapi wa Gerezani na wangapi kutoka sehemu moja nyingine? mbona unakwepa?
Wa Gerezani niliowasikia na mmoja kumwona kwenye Tv ni familia ya Sykes tu.
Ahmed Rajabu ambaye ni Mzanzibar, Muislam na 'msemaji' wa wazanzibar, kama alivyo Mohamed anaichukuia Tanganyika, anamchukia Nyerere na anauchukia muungano. Yeye anamjibu Mohamed Said hivi ( Kwa hisani ya gazeti la Raia mwema)Mohamed Said;2694530]
Christian lecturers at Dares Salaam University are discouraging students from making references to thosetwo books. Dr. Harith Ghassany's book KwaheriUkoloni Kwaheri Uhuru, has also come up with more information on Nyererehitherto unknown in the Zanzibar Revolution and the bloodbath which followed."
Mohamed
Kwa hakika, kinyume cha baadhi ya watu walivyoandika hapakutokea mauaji ya kimbari. Aliyeanzisha uvumi huo alikuwa John Okello aliyeandika kwenye kitabu chake kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar kwamba watu zaidi ya elfu kumi waliuliwa. Okello aliongeza kwamba aliamrishwa na Yesu Kristo kuwakomboa ‘Waafrika' wa Zanzibar kutoka kwa ‘wageni'............................Hakuna ithibati yoyote kwamba watu waliouawa katika siku za mwanzo za Mapinduzi walifika elfu kumi. Ukweli ni kwamba jumla ya watu waliouawa siku hizo haipindukii 200, katika sehemu za mjini hawazidi 25.
Uzushi mwingine ni kwamba walipelekwa Watanganyika, Zanzibar wakiwa na silaha kwenda kupindua. Na si kweli kwamba Mapinduzi yalikuwa na msisitizo wa kikabila. Katika kipindi cha mwanzo cha Mapinduzi msisitizo ulikuwa wa kitabaka. Nyimbo zilizokuwa zikiimbwa kwenye Redio Zanzibar zikiwazungumzia ‘wakwezi na wakulima' na wafanyakazi kwa jumla na si makabila
Say NO to UDINI na UBAGUZI NCHINI.
Unaendelea na ni wa kudumu. Mambo yenyewe ni yaleyale isipokuwa "headings" ndizo zinazobadilika kama ulooianzisha ulipopita JNIA mwaka 2006!Wana ukumbi hebu nifahamisheni.
Siku nyingi sijatolea barazani.
Huu mdahalo bado unaendele?
Kama ndivyo nifahamisheni nirejee jamvini.
Mohamed Said,Wana ukumbi hebu nifahamisheni.
Siku nyingi sijatolea barazani.
Huu mdahalo bado unaendele?
Kama ndivyo nifahamisheni nirejee jamvini.
Wana ukumbi hebu nifahamisheni.
Siku nyingi sijatolea barazani.
Huu mdahalo bado unaendele?
Kama ndivyo nifahamisheni nirejee jamvini.
Mapambio ofisini?sala ya bikira maria?baba mchungaji?mapambio,wachungaji na katoliki wapi na wapi?Wewe jiulize mengi ila mie ndio niliyaona hivyo na nikawa na mshangao sana. Hata kama wametoka kabila moja what can you explain about kuweka nyimbo za ubeti 12, nyimbo za mapambio na sala ya bikira maria, neno la mungu ofisini . Vile vile kukosekana kwa mwislamu hata mmoja hapo ofisini unaweza kulibainishaje coincidence, lack of skills, favoritism, nepotism or what??? Mwislamu akiweka quran na qassida si mngelipiga makelele mpaka magazetini? NSSF tu mkiona watu wanaenda msikitini kufanya ibada yao ya wajibu mnalalama humu jamvini kila siku. Hizo ndio ofisi za serikali fanya utafiti uyaone.
Sikuwa na haja ya kuyachunguza zaidi kwani sicho kilichonipeleka huko nilienda kwa kazi maalum nikaondoka ya ngoswe nikamuachia ngoswe.
barubaru,
mimi sijaanza kumsoma leo wala jana mohamed said. Unapoitanguliza dini kwa kila jambo unakuwa hauna tofauti na mshirikina. Unabagua. Wazee wale wa kiislamu waliomkaribisha mwalimu kwenye taa wangekuwa kama mohamed saidi historia ya nchi hii ingekuwa nyingine kabisa.
Muwie radhi nduguyo huyo maana wakati mwingine nawe waweza kujikuta umesema kitu cha kumkwaza mtu na ikawa kumbe ni kughafirika tu kwa ubinadamu. Vizuri ni kufuata maxim yangu ya muda "hoja hujibiwa kwa hoja si viroja"
nimependezwa sana na huu mjadala japo ulikua mwaka 2011, nakubaliana na ww kama wazee wa kiislam wangefanya harakat za uhuru kwa nafas ya nyerere, 2ngekua kama rwanda na burundi 2! 2ngekwisha.